Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Katiba ni kwa ajili ya walafi kuweza kuingilia ikulu,baada ya kusambaza gilba za uongo kila pahala/
We need to change mindset zetu.
Kwanini tuko na katiba kwanini kwa asilimia kubwa tunaitiii.
Alipofariki Magufuri, wote kama Taifa tulirudi kwenye Katiba,
Alipoondolewa Nchimbi wote tumerudi kwenye katiba.
Hii inaonesha
KATIBA ni muhimu.
TOfauti na wewe unavyodai?
 
Dogo nilishamshauri mara kibao atafute shughuli ya kufanya anakaza kichwa TU.

Cc secretarybird
Dogo kifurushi Cha Azam kikisha pale Kwa shemeji yake, anakwenda kwa rafiki yake Ayubu, anaomba simu na kuanza ku-type tu humu ilimradi mawazo na hasira za kutoangalia sinema zetu zimtoke.
 
Hakuna kiongozi wa chadema ana low thinking capacity hilo nalikataa, la msingi aweke huo ushahidi wa maandishi au video/sauti tuone /tusome
Wanachedema ni watakatifu?
Unazingua aisee kwenye hili sikuungi mkono
 
Dogo kifurushi Cha Azam kikisha pale Kwa shemeji yake, anakwenda kwa rafiki yake Ayubu, anaomba simu na kuanza ku-type tu humu ilimradi mawazo na hasira za kutoangalia sinema zetu zimtoke.
Dogo anatakiwa aache porojo atafute shughuli ya kufanya

Ujobless na kukaa kwa shemeji aah ni hatari sana
 
Tatizo kubwa zaidi ni IQ za Waafrika, wengi wa Waafrika IQ zao ziko chini ya 75.
 

Upo sahihi sana.
 
Ni kwasababu ya Polisi
Nukta
 
Dogo kifurushi Cha Azam kikisha pale Kwa shemeji yake, anakwenda kwa rafiki yake Ayubu, anaomba simu na kuanza ku-type tu humu ilimradi mawazo na hasira za kutoangalia sinema zetu zimtoke.
Subiri niku-ignore sababu nikikujibu nakupa kichwa
 
Sikilizaga kwanza point uskurupuke TU kulaumu
 
Kaongea ujinga ilo liko wazi
Katiba ndo inashape fikra za watu wa nchi husika

Kama katiba ikisema usipolipa kodi hutachukuliwa hatua zozote wewe unadhani watu watalipa kodi
Lema kasema fikira zisiwe kama za ccm vinginevyo hata tukipata katiba mpya mawazo yakawa kama ya ccm hatutapata tunachokitalajia shighulisha ubongo wako kabla hujalaumu.
 
Lema kasema fikira zisiwe kama za ccm vinginevyo hata tukipata katiba mpya mawazo yakawa kama ya ccm hatutapata tunachokitalajia shighulisha ubongo wako kabla hujalaumu.
Hiyo umesema wewe ila yeye amesema tofauti na wewe ulivyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…