Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Wachagga huwa awanaga akili ...chunguzeni kwa makini...wapo very low logic .... ila wana sifa ya uchu wa pesa . Hii inawafanya kutafuta sana pesa na kifanya watu kudhani wana akili..
 
Hiyo umesema wewe ila yeye amesema tofauti na wewe ulivyosema
Kasema bila mabadiriko ya fikila hata tukipata katiba mpya ni bule kumbe wewe nini hujakielewa hapo au ndio ubongo robo nini lema kawaambia WA Tanzania wanapo dai katiba mpya iwe sambamba na mabadiriko ya fikira
 
Kasema bila mabadiriko ya fikila hata tukipata katiba mpya ni bule kumbe wewe nini hujakielewa hapo au ndio ubongo robo nini lema kawaambia WA Tanzania wanapo dai katiba mpya iwe sambamba na mabadiriko ya fikira
Katiba ndo inabadilisha fikra na kushape

Kama katiba ikisema Rais atakuwa na uwezo wa kushtakiwa akimaliza urais wake unadhani atakula rushwa au kufanya ufisadi
 
Kama upo kutafuta wa kubishana nae mimi sipo huko mkuu
Sio kubishana najaribu kukuonyesha watu wanakuwa shape na katiba ya nchi husika

China kiongozi wananyongwa wakiiba ila afrika ni ngumu sana kwa kiongozi anayeiba kunyongwa we unadhani tatizo ni fikra au sheria natumaini jibu unalo
 
Ameyanena hayo kwenye muktadha upi!!?
Ni vyema ukaweka hapa video yote alipokuwa akiyaongea hayo tafadhali.
 
Sidhani kama umeelewa
 
Hapana hapa sikuungi mkono
Viongozi wa chadema ni binadamu wanaweza kukosea
Sio lazima niungwe mkono kwa mtazamo na mawazo yangu, ni kweli hakuna binadamu mkamilifu lakini kukubaliana au kutofautiana mitazamo nako ni hali ya kawaida.

Note: Niliomba ushahidi wa andiko au video iliyomfanya huyu mleta uzi kuandika andiko la hovyo kama hili

Chadema

Lissu Tundu
Heche John
Mnyika JJ
Brenda Rupia
Godbless Lema

CCM

Samia SH
Wassira Steven
Asha Rose Migiro
Kihongosi Keenan
Na Mjumbe yeyote yule

Pambanisha hizo timu tuone ni timu gani itaibuka na ushindi ukiachana na mapungufu ya kibinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…