Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Mkuu unaenda mbali sana usipoteze Mb zako bure hapa Africa ss hata top 10 hatupo ndo itakuwa huko duniani haya si maajabu
 
Vile vile kuna utofauti kati ya Komando wa US na Komando wa Kiafrika

Kutokana na nature ya watu wa Africa kuwa ni watu wenye nguvu basi usitegemee kumuona Komando wa US amzidi Komando wa Kiafrika
😁😁😁😁 Kumbe ukomando ni nguvu,
 
Umepata kigezo kimoja tu!Operations na vifaa!japo vifaa havikupi ushindi wa medani!

Ni Operations + Mikakati + Nidhamu

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Marekani kweli Taifa kubwa.

Ukiona Taifa lina idadi kubwa ya wanajeshi lakini haiwekezi pesa nyingi zaidi kwenye jeshi mfano marekani, basi hao wanajeshi ni wa kudhibiti wananchi zaidi kwa maoni yangu.
 
Jeshi linaundwa mahsusi kwa ajili ya vita, pasipo na vita wanajeshi hawana kazi zaidi ya mazoezi....Katika hali kama hiyo ndipo siasa majungu na ukatili kwa raia hutamalaki.
Kwa kuliona hilo, mipango ya peace keeping missions hupangwa ili wapiganaji wasianze kujihusisha na mambo yasiyofaa, mfano kusaka wanaovaa nguo zinazofanana na sare za Jeshi.
 
Kwani Nguvu ya kijeshi ya Taliban ipoje? Maana hawa jamaa wamepigana na Usa na USSR kwa miaka kama 70 sasa hivi.
Kuwalinganisha wahuni Taliban wanaopigana kwa kuvizia na US ARMY ni udhaifu wa mfumo wa kufikiri!
Marekani ni next level! Taleban hawezi kuwa contest hata Pakistani.
 
Kuwalinganisha wahuni Taliban wanaopigana kwa kuvizia na US ARMY ni udhaifu wa mfumo wa kufikiri!
Marekani ni next level! Taleban hawezi kuwa contest hata Pakistani.
Ila wameondoka na kuwaachia Nchi, Same kwa Vietnam, vita si nguvu tu muelewe hili.
 
Ila wameondoka na kuwaachia Nchi, Same kwa Vietnam, vita si nguvu tu muelewe hili.
Vita pia ni propaganda, dunia itafikiri vipi kuhusu wewe kumbuka hilo?

USA angeweza kuwaua karibu watu wote Afriganistan, Iraq, Korea, Vietnam.

Lakini ange loose moral ground.
 
Vita pia ni propaganda, dunia itafikiri vipi kuhusu wewe kumbuka hilo?

USA angeweza kuwaua karibu watu wote Afriganistan, Iraq, Korea, Vietnam.

Lakini ange loose moral ground.
Hapo unaongelea theory, mwanadamu akishakua threatened anabadilika na kuwa kiumbe kingine kabisa. Ikipigwa Nucleur kadhaa tu basi strategy inabadilika, sio rahisi Kama unavyofikiria kutekeza nchi nzima, hasa hizo kubwa.
 
Funguka, fafanua zaidi.
 
Ule ni mtego Kuna watu mnatafutwa na mtapatikana maana mnawashwawashwa....[emoji1787]
Mtego wa kukamata wapumbavu kama wew usitishe watu ..... ivi tunajigamba tuna jeshi ambalo mpaka leo haituambii kigogo ndo nani [emoji848]
 
Samahani mtoa mada kwanza kuiweka Tanzania [emoji1241] na hizo nchi una kosea labda useme Africa nzima budget yake ipo ndani ya top 10 duniani?
 
Samahani mtoa mada kwanza kuiweka Tanzania [emoji1241] na hizo nchi una kosea labda useme Africa nzima budget yake ipo ndani ya top 10 duniani?
Je unataka kuongeza jambo lolote kwa msemaji wa JWTZ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…