Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha masihara mkuu ... huo ulinganifu hauna ukweli.Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
Ukiachana na tu movie ya SISU kuna jambo huwa halisemwi sana wanaolifahamu wachache sana hasa hao unaowazungumzia.Namimi sijakusudia kuwa wewe umesema uongo, bali nimemaanisha kama uliwahi kuiangalia hiyo Movie ya SISU na kuiona kama ni uongo basi ulitakiwa ukubaliane na unachokiona kwasababu sio kila kitu ni uongo
The big quantity of satellites does not mean that a certain country is more advanced in military communications,you may have several satellites very affective with a modern cutting age technology, instead of piling up the space with satellites of the 80ties technology.Here are the top 10 countries with most military satellites
- United States: 239 🇺🇸
- China: 140 🇨🇳
- Russia: 105 🇷🇺
- France: 18 🇫🇷
- Italy: 13 🇮🇹
- Israel: 11 🇮🇱
- India: 9 🇮🇳
- Germany: 7 🇩🇪
- United Kingdom: 6 🇬🇧
- Spain: 6 🇪🇸
Mention two African countries which own military satellitesThe big quantity of satellites does not mean that a certain country is more advanced in military communications,you may have several satellites very affective with a modern cutting age technology, instead of piling up the space with satellites of the 80ties technology.
South Africa,Algeria,and EgyptMention two African countries which own military satellites
Can you give me the names of those satellites?South Africa,Algeria,and Egypt
Ya Egypt inaitwa TIBA 1Can you give me the names of those satellites?
Uwezo wetu wa medani utatufananisha na nani makomando wetu hawaogopi moto wakiamua kusonga mbeleView attachment 2734303
Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali
Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.
Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020
- The United States — $778 billion
- China — $252 billion
- India — $72.9 billion
- Russia — $61.7 billion
- United Kingdom — $59.2 billion
- Saudi Arabia — $57.5 billion
- Germany — $52.8 billion
- France — $52.7 billion
- Japan — $49.1 billion
- South Korea — $45.7 billion
Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Acha uongo.Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
Sasa turudi kwenye yetu ambayo ni namba sita kwa ubora.Ya Egypt inaitwa TIBA 1
Ta Nigeria inaitwa DELSAT 1
Uongo mwingine huu.Vile vile kuna utofauti kati ya Komando wa US na Komando wa Kiafrika
Kutokana na nature ya watu wa Africa kuwa ni watu wenye nguvu basi usitegemee kumuona Komando wa US amzidi Komando wa Kiafrika
Lakini JWTZ hawakusema wamekuwa namba 6 kwa umiliki wa Military satelliteSasa turudi kwenye yetu ambayo ni namba sita kwa ubora.
We Mkuu unless we huwezi kufanya basi kila kitu kwako ni uongo tuUongo mwingine huu.