Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers

Hao ni Makomandoo

Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200

Sasa hapo ni swala la hesabu
Acha masihara mkuu ... huo ulinganifu hauna ukweli.
 
Namimi sijakusudia kuwa wewe umesema uongo, bali nimemaanisha kama uliwahi kuiangalia hiyo Movie ya SISU na kuiona kama ni uongo basi ulitakiwa ukubaliane na unachokiona kwasababu sio kila kitu ni uongo
Ukiachana na tu movie ya SISU kuna jambo huwa halisemwi sana wanaolifahamu wachache sana hasa hao unaowazungumzia.

Kuna bwana alikuwa anaitwa Minolis Bikakis huyu alikuwa commando wa ugiriki mwambie jamaa amsome japo kwa historia atapata picha walau kidogo yale aliyofanya dhidi ya waturuki katika uvamizi wao dhidi ya Cyprus.

Pia kuna bwana wa kiyahudi anaitwa Mier Har- Zion. Watu huwa wanabeza humu kuona commando kupasua mbao, tofali au tiles ama kukunja nondo vile ni vitu vya kuupa utimamu mwili ila kuna mambo zaidi ya hayo.

Commando wa nchi zilizo endelea technology pia inawafanya kuwa bora zaidi ila ajue commando training ile ni tier 1 dunia nzima hawatofautiani anavyofikiri.
 
Kwani Nguvu ya kijeshi ya Taliban ipoje? Maana hawa jamaa wamepigana na Usa na USSR kwa miaka kama 70 sasa hivi.
 
Here are the top 10 countries with most military satellites

  1. United States: 239 🇺🇸
  2. China: 140 🇨🇳
  3. Russia: 105 🇷🇺
  4. France: 18 🇫🇷
  5. Italy: 13 🇮🇹
  6. Israel: 11 🇮🇱
  7. India: 9 🇮🇳
  8. Germany: 7 🇩🇪
  9. United Kingdom: 6 🇬🇧
  10. Spain: 6 🇪🇸
The big quantity of satellites does not mean that a certain country is more advanced in military communications,you may have several satellites very affective with a modern cutting age technology, instead of piling up the space with satellites of the 80ties technology.
 
Nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha bunduki duniani

1. Marekani:
- M16 / M4 Carbine (Bunduki za aina ya carbine)
- M249 SAW (Mitraili)
- M240 (Mitraili ya daraja kubwa)
- Barrett M82 (Risasi moja kwa moja, sniper rifle)

2. Russia:
- AK-47 / AK-74 (Bunduki za kivita)
- PKM (Mitraili)
- SVD Dragunov (Sniper rifle)
- PP-19 Bizon (SMG - Submachine gun)

3. China:
- Type 56 (Toleo la AK-47 la China)
- Type 81 (Bunduki ya kivita)
- QBB-95 (Mitraili)
- QBZ-95 (Bunduki ya kivita ya bullpup)

4. Ujerumani:
- Heckler & Koch G3 (Bunduki ya kivita)
- Heckler & Koch MP5 (SMG)
- Heckler & Koch G36 (Bunduki ya kivita)
- Rheinmetall MG3 (Mitraili)

5. Uingereza:
- L85A2 (Bunduki ya kivita)
- L86 LSW (Light Support Weapon)
- L115A3 (Sniper rifle)
- SA80 UGL (Bunduki ya kivita yenye grenade launcher)

6. Italia:
- Beretta AR70/90 (Bunduki ya kivita)
- Benelli M4 (Shotgun ya kivita)
- Franchi SPAS-12 (Shotgun ya kivita)
- Beretta CX4 Storm (Carbine)

7. Ufaransa:
- FAMAS (Bunduki ya kivita)
- FR F2 (Sniper rifle)
- AA-52 (Mitraili)
- MAC-50 (Sidearm)

8. Israel:
- IMI Galil (Bunduki ya kivita)
- Tavor X95 (Bunduki ya kivita)
- Uzi (SMG)
- Jericho 941 (Sidearm)

9. Brazil:
- IMBEL IA2 (Bunduki ya kivita)
- Taurus CT40 (Carbine)
- IA2 CQC (Compact carbine)
- IA2 FAL (Bunduki ya kivita)

10. India:
- INSAS Rifle (Bunduki ya kivita)
- AKM (Toleo la India la AK-47)
- Dragunov (Toleo la India)
- Glock 17 (Sidearm)
 
The big quantity of satellites does not mean that a certain country is more advanced in military communications,you may have several satellites very affective with a modern cutting age technology, instead of piling up the space with satellites of the 80ties technology.
Mention two African countries which own military satellites
 
South Africa,Algeria,and Egypt
Hii hata mimi nimeiona hapa

Screenshot_20230831-161143.png
 
View attachment 2734303

Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali

Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.

Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020

  1. The United States — $778 billion
  2. China — $252 billion
  3. India — $72.9 billion
  4. Russia — $61.7 billion
  5. United Kingdom — $59.2 billion
  6. Saudi Arabia — $57.5 billion
  7. Germany — $52.8 billion
  8. France — $52.7 billion
  9. Japan — $49.1 billion
  10. South Korea — $45.7 billion

Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Uwezo wetu wa medani utatufananisha na nani makomando wetu hawaogopi moto wakiamua kusonga mbele
 
Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers

Hao ni Makomandoo

Na value ya Komandoo nadhani unaijua

Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200

Sasa hapo ni swala la hesabu
Acha uongo.
 
Hawa pamoja na wanasiasa wao, huwa wanatudharau sana wananchi
 
Vile vile kuna utofauti kati ya Komando wa US na Komando wa Kiafrika

Kutokana na nature ya watu wa Africa kuwa ni watu wenye nguvu basi usitegemee kumuona Komando wa US amzidi Komando wa Kiafrika
Uongo mwingine huu.
 
Back
Top Bottom