Uwezo wa kijeshi na kijasusi wa cuba ukoje?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Wadau wa jukwaa hili habari zenu.

Hua najiuliza kwa miaka mingi uwezo wa kijeshi na kijasusi wa wa nchi ndogo ya cuba ambayo ni kisiwa tu. Kwa miaka mingi nikiwa bado mdogo sana nimekua nikisikia sifa nyingi za kijeshi na zakijasusi za nchii hii. Sio siri Marekani imekua ikiisakama sana nchi hii kujaribu kupenyeza chokochoko zake ili kupindua utawala uliokuwapo wa Marshal Castro lakini wameshindwa.

Askari kadhaa wa afrika walisoma Cuba, majasusi kadhaa walisoma Cuba. Majeshi ya Cuba yalikaa Angola kusaidiana na serikali ya Angola ili kuwadhibiti Makaburu na mabeberu.Makaburu wakishirikiana na UNITA wakishauriwa na Marekani Hawakutia mguu Angola.Ilibidi makubaliano yafanyike ndipo majeshi ya CUBA yakaondoka kwa awamu.

Cuba imewekewa vikwazo na marekani lakini hadi leo inadunda. Wadau hii nchi ina uwezo gani. Nasikia Markani ilipenyeza majasusi wake wengi tu kwenda kuivuruga nchi hii lakini wengi walidakwa.Natambua kuna makombora ya Urusi.Je Cuba ina uwezo huo au kuna la ziada?
 
Dunia imebadilika na hata mbinu za kijeshi zimebadilika sana. Kipindi cha nyuma zaidi uwingi wa wanajeshi katika vikosi ilikwa strategy moja muhimu sana. Kwamba sasa utakuwa na bunduki nyingi sana na vifaru vingi sana unapoenda kwenye mipaka kwa adui yako. Hiki ni kipindi cha vita ya kwanza na ya pili ya Dunia. Kila mtu mkakamavu alitakiwa kuingia jeshini kuongeza idadi na uimara wa jeshi. Naam World war I, II na vita katika era hiyo.

Lakini uwingi wa wanajeshi goi-goi na wenye mahitaji kedekede ikawa mzigo mzito kwa nchi. Wachache ambao ni imara wenye mafunzo ya hali ya juu na wenye mbinu madhubuti wakawa ndio habari mpya ya mikakati ya kivita. Hapa vikatokea vikosi vya makomando vya hali ya juu. Makomando sita wanaweza iteketeza kambi nzima ya adui. Komando mmoja anaweza funga operation nzito ambayo kikosi kizima kingetumwa. Ndio enzi za Cuba, Marekani wakati wa Vietnam war, Israel, Urusi na hata sisi tulikuwa nao/ tunao vikosini kwetu.

Baada ya hapo ikaingia technolojia, ambapo wanasayansi wanatengeneza silaha nzito sana ambazo kwa nchi kuwa nazo tu unapata heshima na adui yako ananyanyua bendera nyeupe juu maana ni hasara tu kutwangana. Unafanya gwaride unaonesha hadharani baadhi ya vifaa vyako vya kivita na wale maadui wanaahirisha, wanarudi kujipanga upya. Hizi ndizo zama za sasa. Mataifa yako katika mbio za kununua na kuunda silaha nzito nzito kama insurance policy ya kivita.

Nafasi ya Makomando imebaki katika operations maalum na sio vita kwa ujumla. Likidondoka atomic hata kwa bahati mbaya hamna komando wala mgambo anaebaki. Hapo sasa kwa hali ya uchumi ya Cuba ambayo ilitegemea pia msaada wa mshirika wake wa kiitikadi USSR, ikawa nyuma. Nuclear war heads, war ships, nuclear reactor submarines, military aircrafts, military satellites na ready-to-act army inahitaji budget kubwa sana na zile nchi zenye uchumi mzuri ndio zikaweza kuafford hii aina mpya ya mkakati wa jeshi.

Unaweza kuona nafasi ya Cuba sasa.
 
Safi mkuu shukrani kwa elimu, upande wa ujasusi wanasimamia wapi mkuu??!!!
 
Pia nadhani ujasusi wa kisasa unahitaji technologia ya kisasa zaidi.

Nadhani vyote, watu waliokwiva kitaaluma nidhamu na uzalendo, teknolojia, katiba, sera, wasimamizi wa mambo ya fedha na siasa za ndani na nje!!!
 
Safi mkuu shukrani kwa elimu, upande wa ujasusi wanasimamia wapi mkuu??!!!

Mkuu OLESAIDIMU Katika ujasusi Cuba ni mahiri na "one of the best in the world". Pengine katika hili wako vizuri sana kushinda maeneo mengine. Unajua kutokana na sera na itikadi ya Cuba, kama wasingekuwa na taarifa muhimu za kijajusi wangesambaratishwa vibaya na zamani sana. Walijijenga sana katika hili na mfumo wao ni ule wenye standard za mrusi. Wana uzalendo wa hali ya juu sana na ni wazuri wa kuvaa ngozi yoyote.

Ujasusi wa Cuba si kama wa nchi nyingine wao walijikita zaidi kumuangalia USA kama mpinzani mkuu na sio kuangalia nchi nyingi huyu anafanyaje na anaendaje. Hivyo mikakati ya ukusanyaji wa taarifa za kijasusi wa Cuba zaidi ni dhidi ya Marekani na washirika wake, hususan NATO na wengineo. DI wana mitandao mikubwa ya majasusi ndani ya Marekani na Ulaya Magharibi mpaka ngazi za kati za utawala. Katika kipindi kirefu wamekusanya taarifa lukuki na kusababisha mipango ya US dhidi ya utawala wa Castro iwe na matundu. Mbaya zaidi katika kipindi hiki walishirikiana kwa karibu na KGB na kujikusanyia taarifa kwa njia nyingi ikiwemo kuingilia mawasiliano ya radio, simu, computer na kutumia insiders.

Sasa Cuba anauza taarifa hizi kwa wapinzani wa Ubeberu maana ana mahitaji mengi (uchumi mbaya) na alibanwa sana na Embargoes. North Korea, Iran, Venezuela, China na wengine wananunua taarifa kwa kubadilishana na kile Cuba anachohitaji. Hakika Cuba kwa hili ni mwiba mbaya kwa Marekani.
 
Last edited by a moderator:

Sir yes sir!!!
 
Last edited by a moderator:
Cuba alikuwa proxy wa USSR(Kwa sasa Urusi). Unavyoongelea Cuba unaongelea Urusi. Huu uhusiano ni kama ule wa US na Israel
 
Mkuu Monstgala bahati mbaya natumia simu ya tochi, ila chukua like za kutosha.
 
Taarifa za kijasusi kama bidhaa. Sasa mkuu unaweza kuelezea ni jinsi gani biashara hii hufanyika?
 
Last edited by a moderator:
Cuba alikuwa proxy wa USSR(Kwa sasa Urusi). Unavyoongelea Cuba unaongelea Urusi. Huu uhusiano ni kama ule wa US na Israel

Ndio, lakini sasa si kwa uzito kama kipindi kile cha vita baridi. Na kuna hali ya Mrusi kubeba mzigo ambao pia angetamani kuushusha. KGB officers wengi waliondoka Havana baada ya orchestrated information tapping kuanuliwa. Facilities ni za Mrusi na zamani barter trade ilifanyika kwa mahusiano haya. Muundo huu wa nipe nikupe Cuba kaendelea nao katika mahusiano mapya kwa wapinzani wa mabeberu.

Kwa kuwa Mrusi anajua impact ya kuwa na jirani mbaya na ni mmoja wa waasisi wa mchezo huo basi katumia nguvu zote anazoweza ili asichezewe same game kupitia Crimea.
 
Taarifa za kijasusi kama bidhaa. Sasa mkuu unaweza kuelezea ni jinsi gani biashara hii hufanyika?

Unapewa taarifa unazohitaji nawe unalipia kwa njia mbalimbali zinazokubaliwa kati ya pande mbili. North Korea anahitaji taarifa ya technolojia fulani ya anti-missile systems kama DI wanazo files wanamuuzia nae kwa mrejesho ana-repair silaha zao ambazo zimechakaa sana.
 
shukrani Monstgala kwa elimu hii. ila mbona Raul anaonekana kidogo kama anataka kukuza mahusiano na US. Yani kama anataka kulegeza msimamo hivi au nini? na speaking of Crimea, Ukraine ilikuwa chini ya utawala wa swahiba wa urusi je kuondolewa kwake na hatimae akamega Crimea yake JE kimkakati sio kushindwa? maana kama ni mikataba ya kibiashara, kijeshi na kadhalika inahamia kwa US na washirika wake! pia kwenye hiyo circle ya mahasimu wa US, inaonekana kama wanapotea mmoja baada ya mwingine. Assad(mshirik wa Urusi) ndio huyo anapotezwa taratibu, Hassan Rouhani( mshirika wa urusi) ameanza kulegeza msimamo wake tayari na analegeza msimamo, venezuela yule kidume Chavez ameondoka, Mbona US inaonekana inaelekea kuwa win hawa? Na nguvu hasa Urusi mbele ya US ikoje? kwa nini aliweza kupokonywa makoloni yake na ushirikiano ukahamishiwa kwa US? angalia mfano wa Afhanistan US alivyosaidia kupigwa kwa mrusi na sehemu nyingi tu! na Gorbachev anahusika vipi na kuanguka Urusi? je alikuwa kibaraka? Leo kinachomtokea china na Hong Kong sio kilichomtokea Urusi na Ukraine? vipi China anakubali Taiwan kuwa ally mkubwa na US. US kama anawashinda hivi wenzake au ni vipi

Cc OLESAIDIMU
mossad007
 
Last edited by a moderator:
shukrani Monstgala kwa elimu hii. ila mbona Raul anaonekana kidogo kama anataka kukuza mahusiano na USA. Yani kama anataka kulegeza msimamo hivi au nini?

Win-win situation inajengwa hapo. US hawafaidiki tena na uhusiano mbaya kati yake na Cuba na pia wananchi wa Cuba wameumia sana kwa kipindi kirefu kiuchumi. Raul toka mwanzo ni mpenda maendeleo ingawa kaka yake ni mwenye msimamo mkali sana. Raul anataka smooth transition to better Cuba anapoondoka, lakini pia hapendi ujanja ujanja (mabeberu ndio zao). Mahusiano yatafunguka tu ila kutakuwa na compensation ya kitakachopotea. i.e Cuba anauza intelligence na US anahitaji kuzima hii biashara kwa kuwa na uhusiano mzuri. Cuba anaangalia situation itakuwa na faida gani kwa future ya kisiwa na watu wake.
 
shukrani Monstgala kwa elimu hii. ila mbona Raul anaonekana kidogo kama anataka kukuza mahusiano na US. Yani kama anataka kulegeza msimamo hivi au nini? na speaking of Crimea, Ukraine ilikuwa chini ya utawala wa swahiba wa urusi je kuondolewa kwake na hatimae akamega Crimea yake JE kimkakati sio kushindwa? maana kama ni mikataba ya kibiashara, kijeshi na kadhalika inahamia kwa US na washirika wake! pia kwenye hiyo circle ya mahasimu wa US, inaonekana kama wanapotea mmoja baada ya mwingine. Assad(mshirik wa Urusi) ndio huyo anapotezwa taratibu, Hassan Rouhani( mshirika wa urusi) ameanza kulegeza msimamo wake tayari na analegeza msimamo, venezuela yule kidume Chavez ameondoka, Mbona US inaonekana inaelekea kuwa win hawa? Na nguvu hasa Urusi mbele ya US ikoje? kwa nini aliweza kupokonywa makoloni yake na ushirikiano ukahamishiwa kwa US? angalia mfano wa Afhanistan US alivyosaidia kupigwa kwa mrusi na sehemu nyingi tu! na Gorbachev anahusika vipi na kuanguka Urusi? je alikuwa kibaraka? Leo kinachomtokea china na Hong Kong sio kilichomtokea Urusi na Ukraine? vipi China anakubali Taiwan kuwa ally mkubwa na US. US kama anawashinda hivi wenzake au ni vipi

Cc OLESAIDIMU
mossad007

Mimi na amini kitendo cha inayoitwa BRICS kuonyesha muelekeo unao tishia maslahi ya us na washirika wake kutawagharimu sana china. Hili ni suala la muda tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom