lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Wadau wa jukwaa hili habari zenu.
Hua najiuliza kwa miaka mingi uwezo wa kijeshi na kijasusi wa wa nchi ndogo ya cuba ambayo ni kisiwa tu. Kwa miaka mingi nikiwa bado mdogo sana nimekua nikisikia sifa nyingi za kijeshi na zakijasusi za nchii hii. Sio siri Marekani imekua ikiisakama sana nchi hii kujaribu kupenyeza chokochoko zake ili kupindua utawala uliokuwapo wa Marshal Castro lakini wameshindwa.
Askari kadhaa wa afrika walisoma Cuba, majasusi kadhaa walisoma Cuba. Majeshi ya Cuba yalikaa Angola kusaidiana na serikali ya Angola ili kuwadhibiti Makaburu na mabeberu.Makaburu wakishirikiana na UNITA wakishauriwa na Marekani Hawakutia mguu Angola.Ilibidi makubaliano yafanyike ndipo majeshi ya CUBA yakaondoka kwa awamu.
Cuba imewekewa vikwazo na marekani lakini hadi leo inadunda. Wadau hii nchi ina uwezo gani. Nasikia Markani ilipenyeza majasusi wake wengi tu kwenda kuivuruga nchi hii lakini wengi walidakwa.Natambua kuna makombora ya Urusi.Je Cuba ina uwezo huo au kuna la ziada?