Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

Ukiona mtu anakimbilia personally kukuattack kwa matusi umemshinda hoja, hoja hupingwa na hoja na si matusi! Ni IQ ndogo nakuunga mkono🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nashangazwa mtu anakua na heart burn juu yangu wakati sina effects zozote kwenye maisha yake. Pia sitegemei lolote toka kwake!!
It's Weird
 

Bahati nzuri neno lako si sheria,wewe unaona hamna kitu,lakini wapo watu mamilioni wanamwona ana VITU so humpunguzii kitu,kwani yake yanamwendea.

Kama ana uwezo wa kuplay ktk kazi zaidi ya,moja mwache aplay si kosa kwani hata akina Denzel sonetimes wanaigiza wao na kua director at the same time.

Wewe wasema hana management,lkn unachoongea na impact ya management ktk mafanikio ya Mondi vitu viwili tofauti.Kwa East Africa wasanii wenye management bora ni Diamond na Sauti Sol kwani sababu achievement na impact unaziona.

Alafu kuiga Mondi si wa kwanza na kuiga si Dhambi as long umefuata sheria.Alafu uzuri anaiga anapatia mwisho wa siku yy kama yy anaingiza hela na hamna anayekatazwa kurudia kazi za mtu.Lady Jaydee mpaka sasa kisharudia kazi za watu tatu na still bado she is the best,Burnaboy karibia Carrier yake yote ya mziki kasample kazi kibao za Fella Kuti,ila kwa kuwa kafanya Diamond nongwa.
.
Hamna mtu anayefichiwa makucha kwani hata ww ukipinga number zitaongea kwenye Digital platforms,Shows,Endorsements,ktk Chats kubwa za vituo vikubwa,Events kubwa zenye hadhi.

Alafu ktk maisha kuna state ambayo ukifikia hata kama watu hawatokupongeza au kukukubali basi mawe yatapaza sauti na kukupongeza,we kama humkubali ni wewe umeamua KIMPANGO WAKO.
 
huu sio ushabiki peke yake, hebu sema nini kiko nyuma ya hii sumu ya swila ulotema hapa, it seems kuna maumivu makubwa sana

Mkuu tunaompenda kiba hawezi kusema tuna IQ ndogo

Mkuu, yaani unaempenda wewe na sababu zako, utashi wako, akili yako, maamuzi yako mtu akutukane??

Ebu acha unyumbu kuwa honest
 

Selfish sana, wajuaji,wanajiona wamepatia maishaz watu wa kutaka wasikilizwe, wivu na ugomvi kila sik
Tabia za hao jamaa ni 'vyote vyangu"

Wakatili na roho ngumu¡
 
Yaaaaani wewe sijui platinum dudu gani ingelikuwa mimi huu uzi umeshachafuka zamani sana.
Embu mtake radhi hata kama ana madhaifu hayo hatukupaswa kuyajua.
 
bilgert ndio nini...Manyumbu wa Diamond rudini shule...Ali Kiba noma atawapa pumu au corona kumuwazawaza
 
Selfish sana, wajuaji,wanajiona wamepatia maishaz watu wa kutaka wasikilizwe, wivu na ugomvi kila sik
Tabia za hao jamaa ni 'vyote vyangu"

Wakatili na roho ngumu¡

Yaani such anger and hostility it’s just too much, Papa God I pray that you heal these souls that are bleeding.. Amen!
 
Kwa haya matapishi tu inaonesha ni namna gani ALI KIBA anawanyima usingizi, na haya uloandika ni maumivu ya kuona why ALI KIBA ana fan base kubwa huku tamaa yako ni kuona watu wote wanamshabikia Diamond huo ni ujinga kuona unachokiona wewe sahihi Basi Kila mtu aone kama uonavyo wewe,ni ujinga na upungufu wa akili na ni zaidi ya utoto,ukiacha Diamond na Ali Kiba kuna MESSI na RONALDO, kuna SIMBA na YANGA, kuna BARCELONA na MADRID kuna MANCHESTER na ARSENAL Kila mtu ana sababu ya kushabikia anachopenda kwa sababu zake anazoziona yeye zinamfaa,
Unashangaza unapozungumzia madhaifu ya Diamond kama siyo issue huku ya Ali Kiba ukiyakndamiza na kuonekana n mtu asiyejielewa.
Kwenye NDOA ambayo kimsingi ni mahusiano ya kimapenzi wote WAMEFELI yule mke wake karudi kwao huyu mwingine kazaa na wanawake watatu na wote wameshindwana kuishi pamoja.
Kuhusu Muziki kama kusema Ali Kiba kafeli kwa sababu ya vijana wake kuondoka hata Diamond alikimbiwa na HARMONIZE na MAVOKO.
Nadhani kingine ambacho kinakuumiza ni namna ambavyo Ali Kiba huwa hazungumzii issue binafsi kama ambavyo jamaa yenu amekuwa akifanyana kifupi wasanii wenye mkwanja wapo wengi sema siyo Kila mtu aweke mambo yake wazi akina AY,JAYDEE,KIBA ,ni wasanii wanamiliki mkwanja wa kutosha tu bro hiyo kaa nayo.
Mwisho huu ni mwaka karibu wa 5 mnalilia na kumfananisha Kiba na Boss wenu huku mkilalamika Kiba hajui kuimba hajui biashara tufunge mjadala MMAKONDE HUYOOOOO KATOKA WCB anajua kuimba na anajua BIASHARA hebu mlinganisheni huyo bwana na boss wenu huyu ALI KIBA asiyejua kuimba wala biashara achaneni nae mnasemaje katika hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha au ulishika mapaja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mashabiki wa Diamond wanmshabikia na Kiba pia?..nani alianza kwenye Muziki kati ya Kiba na diamond,watu walianza kumshabikia tangu diamond hajaingia kwenye tasnia shida ipo wapi?..
MWISHO ANAYEWAKILISHA NCHI NI DIAMOND KAKA KIBA NI MSANII LOCAL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapuuzi... wanamaumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…