Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

Yaani alivyoanza sasa[emoji119][emoji119][emoji119]
Haki hizi id fake zinatusaidia sana. Nimekumbuka enzi za shule na msemo wa "msuli tembo, matokeo sisimizi"
😂😂😂😂😂

ila kiukweli nafikiri Da'Vinci mwenyewe aliko huko bila shaka anasikitika kweli kuona jina lake linatumiwa na watu wasiostahili
 
Kwani IQ na ushabiki wa muziki vinahusianaje? Kama wanaomshabikia diamond wana IQ kubwa vipi wale mashabiki wa Michael Jackson IQ zao zitakuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekurupuka kujibu tu rudia tena kusoma nilichoandika "sio wote". Mbona kiswahili chepesi niliandika?
 


Kama saut solo na diamond ndio wanaosifika kuwa na management nzuri, kuna haja ya kuchunguza vigezo walivyotumia kuzipa hadhi ya ubora hizo management

Alianza diamond kwenye zilipendwa kuiga video idea ya migos walk it like talk it, saizi naona nao sauti solo wameiga idea ya video hiyo hiyo kwenye wimbo wao mpya

Kipaji ni pamoja na kuwa na ubunifu fanya kitu ambacho kinaweza kuwa inspire watu kama hao unaowaiga walivyoweza kuku-inspire mpaka ukaipenda idea yao
 
Sisi mashabiki wa Sholo Mwamba hatujui hiyo IQ inauzwa wapi wala bei yake. Sisi ni kutimua vumbi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timua tu baba, cha msingi unapata burudani.
 

Kwa hiyo management zao mbaya kisa wamerudia wamerudia video za watu 😀😀😁😆,tunatofautiana mimi management naipima kwa kuwa na uwezo wa kupush nyimbo za msanii zifike mbali na kufanya vizuri ktk nchi mbalimbali kupitia music platforms na kupata show nyingi na kubwa inchi mbalimbali.

Harmonize mfano wa watu waliokuwa inpired na Mondi,alafu kuhusu video hamna jipya chini ya jua,video kibao idea zake zinarudiwa katizame Avant ft Nicole,TI ft Keri Hilson,Lulu Diva ft Blue zote idea zinafanana.

"Alianza diamond kwenye zilipendwa kuiga video idea ya migos walk it like talk it, saizi naona nao sauti solo wameiga idea ya video hiyo hiyo kwenye wimbo wao mpya"




We jamaa mziki hujui na si mfuatiliaji na unapayuka tu video ya Zilipendwa imetoka 2017 ,video ya Migos imetoka 2018 sasa nani kaiga video ya mwenzie au nani kamwiispire mwenzio?Huoni hapo kama Diamond kawainspire Migos.

Naona umeamua kubisha ila tatizo huna reference.
😂😂😂😂
 
Acha kutudanganya mzee zilipendwa imetoka mwaka 2017 nyimbo ya migos imetok 2018 hapo nani amemuiga mwenzie alafu kitu kingin kwenye mzik siku hiz hakun kitu kipya watu wanatumia vitu vya zaman wanavileta kwenye usasa na ndo maana hata burnaboy anasifiwa now lakin nyimbo zake nying anafanya sampling ya nyimbo za fela kuti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa sana hapo alivyosema diamond kaiga video ya migos hatuwez jua labda diamond alitumia time travel akaiba idea alaf akulud 2017 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jose nielekeze namna ya kupost YouTube video humu jamiiforum infact situmii app ya jamiiforum.
 
Jose nielekeze namna ya kupost YouTube video humu jamiiforum infact situmii app ya jamiiforum.
Hizo screenshots unapost kama unavyopost picha,ila video youtube ukitaka kuipost,browse kwa kutumia browser (mf Mozilla,Chrome,Opera) ,alafu kwa juu ikopi link yake alafu unapaste tu kawaida.
 
Big up
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hata kabla ya Diamond wasanii walikuwa wanalipwa hela ndogo kwenye matangazo wamekuja kujifanya expensive baada ya Diamond kujibrand.

Sidhani Diamond anaweza kutangaza tangazo la nguvu za kiume au waganga wa kienyeji maana hawawezi kumlipa .
Uzuri Domo huwa haongei yeye anajibu kwa kuendelea kuchapa kazi.

Linapokuuja swala la kuchapa kazi namkubali sana huyu jamaa.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Hizo screenshots unapost kama unavyopost picha,ila video youtube ukitaka kuipost,browse kwa kutumia browser (mf Mozilla,Chrome,Opera) ,alafu kwa juu ikopi link yake alafu unapaste tu kawaida.
Je ukitaka ku upload YouTube video?
 
Da'Vinci mdogo wangu,cheki watu wanavyopangua hoja zako hapa,dooh
 
sometimes kujibu kwa haraka bila utulivu unaweza kumpa mtu credit pasi na sababu,tulia msome jamaa btwn the lines pangua hoja zake pasi na hasira,tumia ukongwe na uzoefu wako jf kupangua hizo paragraph zake,otherwise watu wanaosoma hii mada mtawapa pa kushikilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…