Mkuu kamba nyinngine sio kabisa... noti ya elfu kumi miaka ya sabini???
Fix nyingine sio kabisa.
Mfu ni mfu na hatuna uwezo wowote iwe wa kimwili au wa kiroho kuweza kumuita na kuongea
Mbona Naskia Kwamba Marehemu Uwa Anaskia Kla Ki2,pia Ata Ukpta Makaburini Uwa Wanaskia Na Ndio Maana Dini Ya Kiislaam Inashaur 2toe Salam 2napopta Makabrin.
Kule makaburini kuna roho ziko live kabisa na maisha yanaendelea kama kawa anayebisha anitafute nimpeleke picnic ya bure
Nafurahi kusikia hivyo kama hutajali weekend hii panga muda twende na wengine wawili watatu
Poa, ila niko serious Mshana,
Ila tunaenda makaburi gani?
Maana kuna mengine huenda hayaingiliki.
Lakini, kwanini wale waambiwao wakaroge usiku wa manane makaburini hufanikisha azma zao pasi na woga?
Nilishawahi fukia dawa kaburini usiku wa manane lakini sikushuhudia chochote, ndio maana huenda napinga.
Ila....huenda sijui nyuma ya pazia
I mean it n am serious tutatafuta nje ya mji haya ya mjini ni full vibaka
I may not know exactly the defference of soul and spirit but i remember reading it somewhere.
The Soul
Soul is a religious term but it includes our mind, from which we derive our thoughts, our mentality, and our heart. The soul is in constant interaction with your body. For
example, the physical
body lets us know when its hungry and
craves certain tastes. These signals are sent to the brain and the mind tries to work out a solution to answer that need. A more developed mind can overcome the immediate desires of the body in favor of long-term health. There are the parts of our mind that deal with daily life decisions, but there are also the deeper parts of our soul that deal more with our higher level subconscious self. This part of ourselves becomes fully active when our body sleeps and reaches the dream state. Though our body appears to be doing nothing except maybe breathing, our soul is extremely active having its own experiences.
hii ni mbinu ya shetani ibilisi ya kutaka kuwafanya watu wawe kinyume na mafundisho ya biblia kuhusu wafu ila ukweli ni kwamba ukishakufa ndio mwisho wa maisha yako hakuna kinachoendelea tena.