Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Ulichopaswa kufanya ni kuongea tu na kumwambia kila kitu, asingeweza kukujibu kwakuwa tayari alishaachana na nafsi lakini amini usiamini ungeyapata majibu kwa namna ya ajabu kabisa

Dah! Mkuu yaan nataman hii maada ningeisoma kabla ya kifo cha babaangu.
Maana siku mbili kabla ya kifo chake alinipigia simu na kuniambia nipange safar niende kuna jambo anataka kuongea na mm. Na mpaka anakufa hakuweza kuacha ujumbe wowote
 
roho ni pumzi tu, ukifa ikitoka imetoka, anayesemammengine ati roho ina akili sijui inatoka inatembeatembea ni fix tu, wanaosema wameona marehemu waende tu kumuona daktari, watu wengi ni wagonjwa wana hallucinatenzaidi ya watu mnavofikiri, ila kusema ati marehemu kamuongelesha hua ni story tu hakuna ukweli wowote.. Tumejazwa madudu washa toka utotoni, inabidi tusiendelee kuwajaza watoto wanaokuja wasiendeleze ujinga miaka ijayo

:thumbdown:
 
Sabrina kiukweli ni kwamba roho haifi hata siku moja maandiko ya dini na imani zote yanathibitisha hivyo, kinachotofautiana ni maelezo tu na ufafanuzi kwamba
-Baada ya maisha haya kuna pepo na jehanam kutegemeana na matendo binafsi ya MTU
-kwamba ufufuko siku ya mwisho, roho zilizolala kaburini zitakapoamshwa kwa ajili ya hukumu
-kwamba kuna rebirth/reincarnation
-kwamba kuna mizimu majini vinyamkera mashetani na vizuka
-kwamba kuna miungu

Vyote hivyo hapo hakuna mahali popote panapoonyesha kuwa kuna siku roho itakufa, roho haifi kwakuwa ni energy/ vital energy ni kitu kisichoonekana kwa macho wala kwa darubini

Roho ipo potepote haina wakati SAA muda urefu ufupi unene ujazo rangi, nk! Roho haili hainywi haina hisia zozote haikamatiki wala haifugiki(sio kwa maana ile ya kunguru)
Roho ipo wakati wote na mahali pote , haitakaa itokee duniani roho ife never

Mkuu unatoa somo makin sana
 
Hungry ghosts hawana nafasi tena na kama ipo huwachukua kipindi cha KALPA moja kuweza kurudi kuwa binadamu KALPA moja hupimwa kwa kipimo cha jiwe moja la tani tano limegwe kipande kidogo kisochozidi robo kilo kila mwaka maramoja mpaka liishe hiyo ndio KALPA
Tulikuwa tunafanya ibada za kuwalisha kwakuwa wana matumbo makubwa lakini makoromeo yao kila kinachotaka kupita huunguzwa na moto mkali na kuyeyuka hapohapo

Hivyo basi wakati wa chakula tulikuwa tunafanya ibada ya kupoza ule moto ili japo maji na chakula kidogo kipite ndio maana wanaitwa hungry ghost

Kuweza kushuka na kuwa katika kiwango cha mwisho cha u binadamu ni pale mtu anapo fanya matendo ya kinyama na kutisha kabisa kwa viumbe hai ambayo hayasemeki hasa kutoa uhai wa viumbe vingi kwa wakati mmoja

Aisee kumbe ulimwengu mpana hivi...
 
wa kwako mamkwaningi yasingmdamtuliwa

Ndio, kitu kama hakina msaada wowote katika maisha ya binadamu, hakina haja ya kujifunza kwani ni kupoteza mda tu. Hasa pale mtu anayekijua kushindwa kukiprove bila kuacha mashaka.[/QUOTE]

Achana na hii maada kama unaona haina faida.
 
Hii ntamwomba Ishmael anifungue akili kwa upande wa pili...
There is a lot of confusion surrounding the concepts of Reincarnation and Rebirth. At first glance it seems like they are synonyms, but there is a big difference between these two concepts.

Apostle Paul very plainly rejects reincarnation in his letter to the Hebrews. (Hebrews 9:27-28). The Gnostics did believe in reincarnation, but they were squashed after the Council at Nicaea in 325 AD.

The doctrine of reincarnation, also referred to as transmigration, is taught by Hinduism, Jainism and Gnostic Christianity. It's main postulate is that there is an indestructible, eternal, personal element that travels from one life to the next. This element is called atman in the Hindu religion, jiva in the Jain faith and soul by Gnostic Christianity. Reincarnation assumes identity between the occupant of this body and, when this body dies, the occupant of the following body.

Christianity rejects reincarnation for the following reasons.
1. It is contradicted by Scripture (Heb 9:27).
2. It is contradicted by orthodox tradition in all churches.
3. It would reduce the Incarnation (referring to Christ's incarnation) to a mere appearance, the crucifixion to an accident, and Christ to one among many philosophers or avatars. It would also confuse what Christ did with what creatures do: incarnation with reincarnation.
4. It implies that God made a mistake in designing our souls to live in bodies, that we are really pure spirits in prison or angels in costume.
5. It is contradicted by psychology and common sense, for its view of souls as imprisoned in alien bodies denies the natural psychosomatic unity.
6. It entails a very low view of the body, as a prison, a punishment.
7. It usually blames sin on the body and the body's power to confuse and darken the mind. This is passing the buck from soul to body, as well as from will to mind, and a confusion of sin with ignorance.
8. The idea that we are reincarnated in order to learn lessons we failed to learn in a past earthly life is contrary to both common sense and basic educational psychology. I cannot learn something if there is no continuity of memory. I can learn from my mistakes only if I remember them. People do not usually remember these past "reincarnations."
9. The supposed evidence for reincarnation, rememberings from past lives that come out under hypnosis or "past life regression" can be explained-if they truly occur at all-as mental telepathy from other living beings, from the souls of dead humans in purgatory or hell, or from demons. The real possibility of the latter should make us extremely skittish about opening our souls to "past life regressions."

This is all I can say and thank you for tagging me.
 
dagii jongea huku tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Aah ndugu nishajisogeza hapa leo sinahaja na fainali yao hiyo
 
Well, this needs brainstorming...

Am busy...
 
Well, this needs brainstorming...

Am busy...
Hebrew 9:27 explains more and or puts more emphasis on why reincarnation contradicts the Scripture regarding the spiritual rebirth.
 
Back
Top Bottom