Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani


Lakini hapo hebu nambie kuna hiz wanasema misukule yan unaligwa na unakufa gafla lakini kumbe hukufa, labda ukute mdogo wako alifanywa msukule maana misukule waga inasumbua sana, mzim na msukule ni vitu 2 tofaut kabisa,
 

mkuu una elimu nyingi sana.
 
Mmh! Kwani watu wakisema 'Mzimu wa marehemu' wanamanisha nini? or Mzimu ni nini?


Kwa kidhungu inaitwa wondering soul/souls ni roho za marehemu zinazotangatanga, wakati majini ni viumbe roho ambavyo havizaliwi na binadamu


Naomba kujuzwa bayana uhalisia wa RED WORDS na tofauti yake uki-include na neno GHOST vina tofauti kati yake kiongozi, ama...?.

Na souls zinatakiwa zi-rest, hizi zinazotanga tanga naweza kupata maelezo juu yake ni zile zilizokufa/uliwa nje ya muda au ni zipi...?.

Extra one : ZOMBIES NA MISUKULE.

THANKS MKUU...!.
 

Hapo kama viumbe vipi mana kuna ssmiz tunakanyaga kuna, nyoka tunaua wadudu weng sana tunaua hasa ss binadam mbali nakuua bindama tutapata mateso kwa hawa viumbe tunaoua?
 


Well, nimesoma hii habari ila staki kusema kuwa aliuliwa kichawi huyu dogo wako coz mara nyingine wachawi huua kupitia sababu ya kitu fulani ili ionekane amekufa kwa kitu fulani.

Lakini pia, nilimuuliza mshana jr kuhusu roho ambazo zimekufa kabla ya muda wake inakuaje zinaitwaje sjajua amejibu vipi ntasoma mbele coz napita post baada ya post.

Ila pia tukumbuke kuwa misukule huwa inaskia njaa kama tuskiavyo tulio hai, sasa suala la yeye kuonba chakula hapa najaribu ku-connect DOTS coz kuna vitu bado naendelea kujifunza. Na mara nyingi napenda kujifanya sijui/kuuliza ili nijue zaidi.

LET ME GO BACK TO CLASS.
 
Last edited by a moderator:

Hiz insue bana zinaweza kuwa kweli maana hata mm 24yrs ago nilipozaliwa waliniita jina lakini hii ni maneno ninayoambiwagwa na bb angu mpaka sasa kwamba nililia jina wiki nzima slali naliaga tu, ikafika sehem nikawa sili wala kunyonya, ndipo wakanipeleka hospitali vipimo sina ugonjwa wwte ila kulia kupo pale pale na kula ni kdogo sana ndipo walipo fuatilia ktk matambiko na mizim, ikawa niitwe jina la baba ake na babu yng kizaaa baba yng mm, siku nimeitwa hila jina nililala vibaya sana zaid ya masaa14 na nilikula na kunyonya kama kawida, hivyo mshana yupo sahihi, ndo maana siku hiz mambo yamebadilika sana ktk maisha na majila pia kwa kupuuuza miiko na mizimu ya akina babu zetu hasa kabisa ni ile kuiga mambo ya wazung wakati wao wanamiiko na mzimu wanayoifuata kule ulaya, tutakuwa hivhiv na matatizo hayataisha, hasa kama haya mambo yakuita majina ya kizungu unaacha ya asili ni kosa kubwa sana
 
Last edited by a moderator:
Mh hatateew mgoja nimalizie nyagi kwanza nipate lakuchangia humu jukwaaani


Yeap. Kazi na dawa.

Kwa kuwa nimeamua kushinda kwenye huu uzi leo.

You Made Ma Day Buddy.
 
Wengine ni imaginations tu ambazo zikikomaa kwenye sense ya sita hujenga taswira halisi ya kitu


I wanna go deep down with this pia.

Nafkiri hili somo lina-relate sana kwenye meditation right...?.
 
mshana jr katika ubora Wake

Ni kweli ulilosema na nilishawahi lishuhudia
Maiti kuguna
Kukung'ang'ania
Kukauka
Au kugoma kuingizwa Kwenye nyumba Fulani ambayo aliikataa
 
Last edited by a moderator:
toka lini wafu wakaongea hizo iman haba kwamba wafu huadhibiwa wakiwa kaburin kitu ambacho hakiwazekan ktk hari ya kawaida,nackia hata sanda inachanwa kwenye masikio ili marehem asikie sauti?!

Inawezekana na ndivyo ilivyo
 
Niliwahi hadithiwa na bibi yangu kuwa
Roho hurudi kaburini siku ya alhamisi na huondoka ijumaa jioni

Je kunaukweli
Kwa maana nikienda kaburini jioni ya alhamisi nikiongea watasikia?
Kwanini waislam tunafundishwa kuwa tukikatisha makaburini tutoe salam?
 


BADO NASOMA.

Ni kama ilivyokwisha semwa hapo nyuma kuwa kuna msemo hutumiwa ujulikanao kama...

ME, MYSELF & I

ME = BODY

MYSELF = NAFSI

I = ROHO


Well, kwenye huo msemo hapo juu tunaweza kujifunza vingi tu, nidokeze kidogo...

ME.

Hii inawakilishwa na mwili ambapo kama tujuavyo kuwa mwili hufa ambalo ndio jumba linalobeba I, hii I ambayo ni ROHO. kwa kawaida hii huwa haifi. Kilichobaki ni...

MYSELF.

Hii ni NAFSI ambayo iko baina ya ME & I ambayo ni MYSELF = NAFSI, sasa kama nilivyosema kuwa ME inakufa ila I huwa haifi.

Kilichobaki ni hii MYSELF = NAFSI inakuaje, inakufa au haifi...?, ni swali ambalo unaweza ukajiuliza na ukajipa jibu mwenyewe ; tujaribu KUSHUGHULISHA bongo zetu angalau.

Lakini pia turudi kwenye msemo ambao umezoeleka sana si mara moja MIMI kupata kuuskia toka kwa watu tafauti, msemo huu unasema hivi...

KULLU NAFSI DHAAHIKATUL MAUT = KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI...

Sasa turudi kwenye uhalisia wa kauli hiyo, kwa nini imesemwa kuwa ITAONJA ?, kwa nini isingesemwa kuwa KILA NAFSI ITAKUFA ?, nini mantiki/logic ya kutumiwa neno KUONJA ?, na katika udadisi wangu ni kuwa, hayo maneno yametoka kwenye KITABU KITAKATIFU cha DINI YA KIISLAM tukiaminishwa kuwa ni MANENO YA MUNGU. Sasa kama nafsi ITAONJA UMAUTI it means kuwa ITAKUFA THE ITAENDELEA kuwa HAI kama ilivyokuwa kwa ME & I...?.

TAKE A BRAKE.AND, THINK ABOUT IT | AS A GREAT THINKER.


LET ME GO BACK TO CLASS.
 
Last edited by a moderator:
sante saana mshana jr somo zuri...kama hutajali je tofauti ya roho na nafsi ni nini????,

mtu akifa na nafsi inakufa???..


Anha...!

Kumbe ilishaulizwa huku.

BADO NASOMA.
 
Last edited by a moderator:
Roho ni uhai nafsi ni utambulisho
Nafsi haifi kwakuwa haina uhai bali nafsi hubaki kama utambulisho kinachokufa ni mwili kwa maana ya roho kuuacha mwili milele


Well, hivyo hapa tumeweza kuona kuwa NAFSI NA ROHO huwa hazifi ila kinachokufa ni MWILI PEKEE.

Na ndio mana nikasema kuwa KULLU NAFSI DHAAHIKATUL MAUT = KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI.

Nilijiuliza before kuwa kwa nini haikusemwa kuwa KILA NAFSI ITAKUFA, then nikauliza NINI MAANA YA KUONJA ?, KUONJA NI TOFAUTI NA KULA AU KUMEZA coz HUWEZI KULA BILA ya KUMEZA, kitu KINAPOMEZWA ndipo husemwa kuwa KIMELIWA lakini KUONJA ni kitendo cha KUTIA MDOMONI haijalishi kuwa KIMETEMWA AU KIMEMEZWA kinakuwa kipo BAINA NA BAINA ya KATIKATI ya kilipokuwa mwanzo i.e KWENYE SAHANI NA TUMBO kipo KATIKATO.

Na ndivyo ilivyo kwa NAFSI kuwa imesemwa kuwa ITAONJA UMAUTI, sitachelea kusema kuwa HAITAKUFA WALA HAITAKUWA HAI na ndio maana ikawa KATIKATI ya ME & I.

Mkuu watakaelewa watakuwa WAMEELEWA TU na wasioelewa inahitaji kutumia nguvu ya zaida kidogo kuelewa coz HII ILMU NI KUBWA MNO, sasa staki kuwapeleka THAT DEEP tusije tukawachanganya watu ila inahitaji UFAHAM NA UELEWA wa hali ya juu kwa mtu mwenye AKILI YA KAWAIDA kuweza kuelewa haya mambo coz DUNIA NI ZAIDI YA WANAVYOIJUA.


LET ME GO BACK TO CLASS.
 
Duu dagii imekuwaje tena? miss gisenyi ni vema ukayafahamu haya mambo ili siku ukikutana nayo usibabaike, ni vema kujifunza mambo mengi kadiri ya uwezavyo lakini tenda yale yenye manufaa tuu


Heh heh.

Hapa nadhani lilishaanza kukolea mkuu.

Very Funny...!
 
Last edited by a moderator:


Walau nimeweza kukuelewa hapa mkuu.

Education has no boundaries.

LET ME GO BACK TO CLASS | BADO NIPO DARASANI.
 
Roho ni uhai nafsi ni utambulisho
Nafsi haifi kwakuwa haina uhai bali nafsi hubaki kama utambulisho kinachokufa ni mwili kwa maana ya roho kuuacha mwili milele

Mshana nina shida nataka kuonana nawe ninamambo yangu nataka unipe elimu kwa maana nimehangaika sana
 
Mkuu mshana jr unaikumbuka hii, heh heh...


Mshana jr. Unaweza kutafsiri ndoto?


Hapana huo uwezo sina


Sorry kk. Ulishawai kuona saa kwa ndani kuna picha ya mtu au nembo fulani?


Mara nyingi zinakuaga saa za ukutani zile kubwa


Nakusikiliza hebu nifafanulie unacholenga kusema


Kwa mfano ulishai kuona vile saa za sigara aina ya sm au spot? Ambazo kwenye maduka mengi wanazo


Ambazo uwekwa ukutani. Kwa ufupi kabla ya mishale c kunakuwaga na namba za kuonyesha muda 1-12 nyingine zinakua za kirumi. Sasa kwenye zile namba kunakua na picha ya kitu flan au nembo ua kitu flan


Hebu ngoja nitafanya utafiti kwani kuna nini ndani yake?


Ninachotaka kama kuna sehemu wanayo hiyo huduma kwa dsm niwatafute. Ninafunga ndoa hivi muda c mref so nataka kutengeneza hiyo kitu ya picha zetu


Sjacheka the way nilivyocheka kwenye post za jamaa hata skumbuki mara ya mwisho nimecheka hivi ni lini aseee.

Jamaa kaniongezea UHAI leo kiasi flani mkuu dah, NI HATARI SANA.

THAT'S WHY I LOVE THIS PLACE | JF.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…