Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

shikamoo
 
Unaposema mizimu ilikuwepo unamaanisha kwamba sasa hivi haipo?
 
Nipo kaka sema nchi za watu so mida tunapishana halafu busy sana
Aisee huku ni mwendo wa kutumbuana tu...ikifika zamu ya walozi na washirikina sijui itakuwaje
 
Anayedai anaongea na wafu anajidanganya.Hakuna yeyote mbinguni wala ardhini awezaye kuwazungumzisha wafu isipokua ni Mwenyezi Mungu.Sauti wanazosikia ni za mashetani.Hawa wamepewa uwezo wa kujibadilisha umbo lolote na kutumia ya sauti ya kiumbe yeyote hasa mwanadamu ili kutimiza malengo yake.Na kwa mtego huu,wengi wamenasa.Mtu anajua anaongea na baba 'ake aliye kaburini kumbe anaongea na shetani aliyeteka nyara Sauti ya baba 'ake ili kumpoteza.Na hata hiyo inayodaiwa ni mizimu,ni mashetani tu hayo.Shetani na majeshi yake wana mbinu nyingi,wana maarifa na uwezo mkubwa wa kututia kwenye maangamizi.Tujihadhari na hawa viumbe.
 
Mzee kuna kipindi nikiwa mdogo, nshawahi cheki muvi moja hv ilikuwa inaeleza kuhusu hayo mambo but skumbuki jina lake unaweza kufaham nyingine yyte ,naikumbuka coz kuna mtu alikuwa anatafsiri
 
Mama yangu alilazwa muhimbili,jioni ya mwisho kwenda kumuona alionekana kama ameshapona na kesho atatoka,lakini asubuhi tulipokwenda alikuwa amewekewa ooxygen,na ndio ikawa mwisho wa siku zake hapa duniani,niliumia sana kwa sababu nilikuwa na maswali mengi sana ya kumuuliza,ambayo hadi leo sina majibu yake.
 
Kuna marehemu babu yaani ni kaka ake na na marehemu babu yangu kizaa mama.....alikuwa akiishi Bariadi alikuwa akinipenda sana alikuwa akinisistiza sana niende kumtembelea bariadi.... Lakini alifariki Mimi sijawahi kwenda kwakwe....lakini siku zilivyokwenda nilikuja kuota ....na ongea nae akinilaumu kwanini sijaenda kwake mpaka amefariki ety hii imekaaje@Mshana lakini toka siku hyo sijawahi kumuota tena ilikuwa miaka ya kabla ya 2008
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa mimi
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123] [emoji125] [emoji123] [emoji123]
 

Ni kweli kumekuwa na maendeleo mengi ya kisayansi ila tusiyoyajua ni mengi kushinda tunayoyajua.
Mshana tafuta kitabu kinaitwa:
Witnesses from the Grave: The Stories Bones Tell


 
Ni kweli kumekuwa na maendeleo mengi ya kisayansi ila tusiyoyajua ni mengi kushinda tunayoyajua.
Mshana tafuta kitabu kinaitwa:
Witnesses from the Grave: The Stories Bones Tell


Poa na hiki pia ni noma
 
hizi ni hadithi tu zisizo na ukweli wowote mtu akishakata roho hakuna mawasiliano yoyote yanayobakia ,kwa nini mnaamini amini tu na propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…