Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Kuna marehem alipigwa ngumi na mjane aliemwacha hadi ALIPIGA CHAFYA, DSM: katika hali ya taharuki mama mmoja ilikuwa 1992 hapa DSM alijikuta amemdufua marehem mmewe ngumi mbili za tumbo hadi marehem alipiga chafya na mguno wa ajabu baada ya kufia kwa kimada ambako alijenga nyumba na kununua gari na akati mke wa ndoa alitelekezwa akipika v2mbua kwenye nyumba ya kupanga ndugu walipofika waliamuru marehem atolewe mchepukoni na akarudishwa nyumba kubwa ndipo mke wa ndoa akiwa hajui akakuta watu wengi alipouliza kulikoni ndo akaambiwa ndani kuna mwili wa mmewe akaingia ndani akamfunua watu wakajua labda anampa busu la mwisho wakashangaa ngumi ya kwanza ya pili mara marehemu akaanza kuhema mara FYAKA FYAKA kumbe ilikuwa chafya due chezea hasira weye
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Mkuu tupe break hili kaburi kubwa sana, linahitaji nguvu nyingi kulimaliza kulifukua kwa sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji120]
 
Ukweli nikuwa Biblia ipo wazi kuwa "..mtakufa HAKIKA..." na kuwa "... wafu hawajui jambo lolote ..." once they are dead!
But the soul is alive.. What dies its a physical body.... The mortal
 
But the soul is alive.. What dies its a physical body.... The mortal
"Mtakufa HAKIKA" inamaanisha nini? Kama hakuna "kufa HAKIKA" basi shetani alimwambia ukweli Adam kuwa "... hakika hamtakufa, isipokuwa mtafanana na Mungu (ambaye ndiye asiyekufa pekee). The soul doesnt exist when we die. We dont die partially, we die 100% hakuna kumbukumbu, hakuna kinachobakia mpaka siku ya kiama mwenyewe atakaporudi kutufufua. If the soul remains alive, what is the resurrection for?
 
Do you know anything about rebirth? Or reincarnation? Do you really know what is resurrection mean? What dies is this visible body.. Soul once created can never be demolished in any way
Ndio maana siku ya ufufuo siku ya hukumu, wafu watakaofufuka sio wa kimwili tena bali roho na hukumu itakapopita ni either jehanum kwenye moto wa milele au mbinguni paradise kula bata milele... Hii ni kwa imani ya MUNGU mmoja
Kwa zile imani za waabudu miungu, ukifa roho yako itabadili makazi jumba kulingana na your past life... Unaweza kuzaliwa demon mnyama ama binadamu... And the circle continues to eternity.... There is no such a thing DEATH TO SOUL
 


Hiki kifo cha huyu mtoto kinaonyesha ni mkono wa MTU. Hii ndio feeling yangu sijui kwa nini.
 
Mshana niambie wazo la kutokufa kabisa kupingana na neno la Mungu la kuwa "...utakufa HAKIKA..." (Mwanzo 2:17) ni nani kama siye shetani aliyemwambia Eva/Hawa kuwa .... HAKIKA HAMTAKUFA... (Mwanzo 3:4). Inategemea kuwa nani unamwona kuwa yupo sahihi, Mungu aliyesema tutakufa HAKIKA au shetani aliyemdanganya Eva kuwa badala ya kufa (ie: ...hamtakufa hakika) bali tutafanana na Mungu. Naamini Mungu ndiye asiyepatikana na mauti na shetani ndiye aliyeleta hilo wazo la binadamu kutokufa kabisa. Unless kama hoja hii ya kutokufa unaijenga nje ya Biblia basi hoja ya kutokufa unaweza kuitetea lakini usiitete kwa mamlaka toka katika Biblia.
 

Nafsi vs Roho . Je Tofauti zake lipi?
 
Ufufuo mkuu haujaletwa na shetani lakini kumbuka hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…