Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Kwakwel niseme ukweli uzi umenibamba sana. Lakin nina swali chief.

Inakuwaje baba yangu kabla hajafariki nikiwa namuona ndotoni alikuwa anaongea sauti inatoka vzr,lakin tokea amefariki sasa imepita miaka 9 akinijia ndotoni hutoa ishara tu....kuna nini hapo?
Maana kuna wakat nlimuota namueleza shida yangu badala yake kuna kitu akanipa baadae akaondoka na nyingne nyingi
 
Wakati akiwa hai mlikuwa na mawasiliano ya moja kwa moja kwakuwa wote mlikuwa kwenye level moja ya kibinadamu... Baada ya yeye kuondoka mmetengana kwakuwa sasa yeye ni roho tu nawe ni roho na mwili...
Mawasiliano ya ishara ni kuonesha bado ana connection na wewe kiroho, wengine huwa ni sauti hivyo usijali kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja chief nakubali sana
 
M
Kuongea na mfu?? Iv n maana ya kifo ?? Ama kweli giza limetanda asubuhi ya mapambazuko inakaribia
 
M

Kuongea na mfu?? Iv n maana ya kifo ?? Ama kweli giza limetanda asubuhi ya mapambazuko inakaribia
Kifo kipo cha aina nyingi.. Lakini kwa muktadha wa mada ni ile hali ya roho kutengana na mwili moja kwa moja!
 
Wafu unaongea nao Tena bila shida na mkajibizana vizuri tu ila inahitaji ufahamu na nguvu za rohoni
 
Wafu unaongea nao Tena bila shida na mkajibizana vizuri tu ila inahitaji ufahamu na nguvu za rohoni
Huo n umizimu kama huujui n malaika waovu wanachukua maumbo ya wafu sura zao tabia yao sauti zao na kujibu au hata kutembelea ili walimwengu waendelee kuamini kuwa MUNGU aliposema HAKIKA UTAKUFA kuwa aliongopa. Angalizo n kuwa wasije kuanza kukwambia uwapelekee vyakula kwa makaburi kwa nguvu hizo huziitazo za rohon
 

Ndo aliye kurithisha ulozi
 
Uzi wa muda mrefu lakini umenikumbusha Mkasa wa Mfalme Sauli kuongea na Nabii Samweli. Wakati huo Samweli akiwa alishafariki miaka ya kutosha, Mambo yalivyomchachia Mfalme Sauli, alienda kwa mganga na akafanikiwa kuongea na Samweli. Hii Elimu /ujuzi ipo/upo ila nadhani inapaswa Kiwango fulani cha utakatifu.

Mada njema Sana hii Mshana Jr.
 
IKO HIVYO INAWEZEKANA KUWASILIANA NAO, KUNA BWANA MMOJA AILISHA DHIBITISHA KUONGEA NA BABA YAKE USINGIZINI AKIMUOMBA AMSAIDI KULIPA DENI KWA MTU FULANI AMBAYE MWANAE HAKUWAHI KUJUA KAMA WANA DAIANA NA MZEE WAKE, NA ALIPOKWENDA KWA HUYU MZEE ALIKIRI KWELI ALIKUA AKIMDAI. NA HII ILIKUA NATURAL TU AKIWA USINGIZINI KWENYE NJOZI TU SIO VYENGINEVYO.
SASA KWA WENGINE WANAWEZA FANYA WANAYO YAJUA, ISHU WAFU WANAONGEA INAWEZEKANA KABISA MAANA ROHO HAZIFI.
 
Karma life
 
Mifano yako haiendani na mada husika. Sio lzm upinge na kusema hovyo,kukaa kimya nao ni ustaarabu. Nani alikwambia issue za imani zina karne!?
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
nitakuwa wa mwisho kuamini maarifa yako.
 
Mzee unapatikana wapi; nina hamu ya kuongea na marehemu baba yangu alifariki miaka 20 iliyopita. Nisaidie kama kweli inawezekana ingawa huwa siamini hizi metaphysics, ila kama kweli inawezekana nitaipokea!
 
Mzee unapatikana wapi; nina hamu ya kuongea na marehemu baba yangu alifariki miaka 20 iliyopita. Nisaidie kama kweli inawezekana ingawa huwa siamini hizi metaphysics, ila kama kweli inawezekana nitaipokea!
Nisaidie kama kweli inawezekana ingawa huwa siamini hizi metaphysics,[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Kichuguu Tayari umeshaweka shaka hapo
Ngoja tutawasiliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…