Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

toka lini wafu wakaongea hizo iman haba kwamba wafu huadhibiwa wakiwa kaburin kitu ambacho hakiwazekan ktk hari ya kawaida,nackia hata sanda inachanwa kwenye masikio ili marehem asikie sauti?!
Kwani unapoambiwa kuna ''kilio na kusaga Meno.....'' hutokea Kaburini mpendwa kwa kuadhibiwa ati........!!! hapo kuna wafu hutamani warudishwe duniani ili waweke mambo yao sawa lakini haiwezekani.........Na ukumbuke KABURI ni sehemu ambayo Mwanadamu atakaa akisubiri Parapanda/kiama ili Hukumu ifanyike ( Duniani hayupo wala kwenye Uwanja wa Hukumu hayupo.... Hapo ndipo KABURINI kwake) haijalishi umeliwa na Simba, Mamba, umeyeyuka na Acid....... nk
 
Mkuu asante kwa ujumbe wako ila kulingana na vitabu vya dini naomba unifafanunulie kuwa ila Mtu awe nafsi hai ni nini vinatakiwa kuwepo?

Nafsi hai kidini ni jambo la kiimani zaidi kuliko uhalisia! Nafsi iliyo hai hasa kikristo ni roho iliyopondeka kuongoka kwa kupokea Kristo Yesu rohoni yaani kuokoka na kuachana na yote ya dunia hii
Hii ndio nafsi hai na roho ikiachana na huu mwili uharibikao na kuzikwa kaburini roho ile hubaki pale pale kwa amani kabisa ikisubiri kiama au parapanda kuu siku ya mwisho.......
 
(1)Mkuu Mshana Jr naomba unijibu swali langu samahani Kama nitakuwa nimeenda out of ur topic.Nakuuliza sababu naona una upeo mkubwa kwenye haya
mambo.
(2)Nafahamu unaelewa kuhusu ile mizimu inayosumbua sana binadamu waliyo hai hadi kuwadhuru kabisa hadi kuwauwa.Wapo watu kwa kushirikiana na mizimu wao wenye utaalamu wa kukamata hii mizimu misumbufu na kuichoma tu ashes(unaona majivu tu)
3)from my knowledge point of view nafahamu mzimu ukishachomwa hauwezi tena kuonekana sehemu yeyote duniani including hata other planets.Utaweza tu kuonekana pale ambambo Yesu atakaporudi mara ya pili ile siku haswa ya hukumu.
SWALI LANGU NI KWAMBA UNAFAHAMU NINI MZIMU UKISHACHOMWA?UKISHACHOMWA NDIYO INAKUWAJE?KUNA REBIRTH YEYOTE?
 
Mzimu ni roho na roho haifi kinachochomwa ni jumba/object
Roho ya Mzimu ni zile roho zinazotangatanga duniani kwahiyo makazi yake yakiteketezwa kwa njia yeyote ile huhama na kutafuta makazi mengine
 
Nawakumbuka wote mambo yakiwa ok tutawasiliana kwa pm au nitaweka mada spesheli kwa ajili ya hilo

Mkuu Mshana , na mimi napenda kwenda kujionea, lakini iwe mchana bana usiku noma aisee. Au mchana hakuna maisha huko?
 
mshana naona haya ni ya kweli;
Marehemu baba alipokufa alikuwa ananijia sana kwenye ndoto na kuniambia maneno fulani fulani;
nakumbuka sana haya;
1. Alinionea huruma jinsi ninavyoishi alone na watoto, kitu ambacho ni kweli na kuna wakati akawa ananipa hata ushauri.
2. Nikawa nimepata bwana mmoja hivi, akanitokea akasema huyo atakuuwa, haraka sana niliachana na yule bwana.
3. Mwisho aliniambia sitaenda tena pale home yaani kwake kule kijijini kwa kuwa kile chumba chake wamekichafua;
Hili ni kweli, mahali alipopenda kupumzika mchana wakati akiwa hai walianza kulaza kuku, na hatimaye ile nyumba
wakaibomoa, ilikuwa ni nyumba ya miti tu.

...................... nitarudi...........
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa kushare hii na sisi Mamndenyi ukirejea ukamalizia kuna kitu takuambia
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kali Zaidi,
Miaka ile ya 90s mwanzoni nikapata bwana mmoja, (Usiulize mumeo alikuwa wapi kwa kuwa hayatakusaidia kitu).
Wakati huo ndo babu mzee baba Mzee Ndesamburo (R.I.P) alitoka kutangulia mbele za haki.

Nilikuwa naishi mkoa Fulani,
Yule bwana kweli alikuwa na pesa yake nzuri tu.
Tukaweka miadi ya kukutana nyumba ya wageni,
tena akanipa mkwanja mzuri tu.

Ok nikaanza safari yangu vizuri ya kwenda huko kwenye makutano.
Ile nakaribia tu nikamwona yule babu yangu mbele yangu ananifukuza na panga,
Niligeuze huku natimua mbio walioniona pengine walishangaa sana.

Safari ya kwenda huko ikafa. Baada ya muda mfupi sana yule bwana akafa, kumbe alikuwa na maradhi.

Hadi leo nakumbuka hiyo kitu.

.................. Nina mambo mengi sana ya hao waliotangulia ambayo wanawasiliana na mimi moja kwa moja,
nitakuwa naandika kidogo kidogo............
 
Nikuambie kitu Mamndenyi tayari una kipaji cha elimu ya roho fanya meditation kidogo ti kuactivate hiyo supernatural power ILA usiitumie vibaya
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ukweli wowote kuhudumia thread hii, Mtu akifa amekufa hajui jambo lolote, hawezi kufanya chochote, tafadhali soma Mhubiri 9:5, 10 na 11.
 
Toka nje ya jumba la kioo ambalo unaona kila kitu kinachotokea nje lakini huna jinsi ya kufanya mawasiliano yoyote ya moja kwa moja
 
Back
Top Bottom