mshana naona haya ni ya kweli;
Marehemu baba alipokufa alikuwa ananijia sana kwenye ndoto na kuniambia maneno fulani fulani;
nakumbuka sana haya;
1. Alinionea huruma jinsi ninavyoishi alone na watoto, kitu ambacho ni kweli na kuna wakati akawa ananipa hata ushauri.
2. Nikawa nimepata bwana mmoja hivi, akanitokea akasema huyo atakuuwa, haraka sana niliachana na yule bwana.
3. Mwisho aliniambia sitaenda tena pale home yaani kwake kule kijijini kwa kuwa kile chumba chake wamekichafua;
Hili ni kweli, mahali alipopenda kupumzika mchana wakati akiwa hai walianza kulaza kuku, na hatimaye ile nyumba
wakaibomoa, ilikuwa ni nyumba ya miti tu.
...................... nitarudi...........