Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Sasa mshana haya mambo na mungu mbona kama yanapingana?????
 
Hata kama ni noti ya sh kumi ya mwaka 70 but still haiwezi kuwa na thamani la laki moja au hata nusu yake sorry.................laki moja ni sawa na dola 50 sasa je sh 10 ya tz mwaka 70 ilikuwa na thamani ya dola 50?

Thamana ya pesa hupimwa na kias cha vitu amabavyo hueza kununua kama hiyo noti inaweza kununua kiasi fulani cha vitu enzi hizo ambavyo hivyo vitu now huuzwa kwa lak moja bhasi inaweza kuwa kqeli...
 
roho ni pumzi tu, ukifa ikitoka imetoka, anayesemammengine ati roho ina akili sijui inatoka inatembeatembea ni fix tu, wanaosema wameona marehemu waende tu kumuona daktari, watu wengi ni wagonjwa wana hallucinatenzaidi ya watu mnavofikiri, ila kusema ati marehemu kamuongelesha hua ni story tu hakuna ukweli wowote.. Tumejazwa madudu washa toka utotoni, inabidi tusiendelee kuwajaza watoto wanaokuja wasiendeleze ujinga miaka ijayo

Kwa hilo swala la roho ( soul) ikitoka imetoka nakupinga mkuu binadamu ni immortal, tofauti kati ya sisi na viumbe vingine ni ilo, viumbe vingine havina spirit kama sisi vina soul peke yake sisi tuna soul and spirit, sasa mwili wako ukifa ( your earthen vessel) your soul stay with the spirit, your soul ndo personality yako, your identity...na hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa, unadhani Mungu alivyosema tumuumbe Binadamu kwa mfano wetu alimaanisha nini!? God-like feature immortality...na ilo swala kuongea na soul ambazo hazina mwili its like make deal with devil, everything has a price
 
Dunia imekuwa kama kijiji kutokana na uwezo mkubwa aliounyesha mwanadamu wa kugundua hata ambavyo vilifikirika kwamba haviwezekani

Elimu na ufahamu kuhusu mwili wa mwanadamu kuanzia kuumbwa tumboni kuzaliwa hadi kufa umetafitiwa na kunyumbulishwa kwa mapana yake na wengi wamepata elimu ya juu kabisa PhD kwenye hili eneo, lakini wakashishindwa kitu kimoja tuu!!! Uwezo wa kumuita marehemu na kuongea naye

Zamani kabla ya dini za kigeni hazijaja Africa tulikuwa kwa kiasi fulani tuna uwezo wa kuwaita marehemu kwa njia ya matambiko na kuwaomba hili au lile, lakini ikumbukwe kwamba hawakuja live bali dalili na ishara kadha zilionyesha uwepo wao na kukubali au kukataa ombi husika

Tumekuwa tunaondokewa na wapendwa wetu na watu tunaowahitaji mno katika maisha yetu, tumekuwa na vipindi vigumu kabisa ambapo tunawahamu na kuwahitaji japo wajitokeze kwa dakika chache tu lakini haikuwezekana kabisa

Mfu ni mfu na hatuna uwezo wowote iwe wa kimwili au wa kiroho kuweza kumuita na kuongea naye lolote, hii ni kwakuwa roho inapotengana na mwili hakuna tena huyo MTU bali kunatokea vitu vitatu visivyoweza kuungana tena na kutengeneza kitu kimoja. vitu hivyo ni roho mwili na nafsi, vitatu hivi ndio vinatengeneza MTU nje ya hapo kuna 'mwili wake', 'roho yake' au 'nafsi yake'

Watu wamejaribu kutoa shuhuda nyingi za kutokewa na marehemu, hili linawezekana kwasababu baada ya kifo kuna roho huwa zinawayawaya duniani, zipo tu na hizi ndizo ambazo hugeuka mizimu mizuri au mibaya

Wakati mmoja tu marehemu anaweza kusikia sauti ya mwanadamu na kuitii ni pale tu anapoandaliwa kwa safari yake ya mwisho kaburini, hasa kwenye ishu ya kumsafirisha au kumvalisha nguo

Nikiwa mtu ambaye nilidili na miili ya marehemu kwa miaka mitatu mfululizo nilikutana mara nyingi tu na hizi hali, marehemu hataki dharau ubishi au kufokewa nguo hata iwe inamtosha Siku hiyo itakataa mpaka mumbembeleza

Tuna wajuaji wengi Siku hizi wanaojifanya wametokewa na marehemu fulani na kumpa maagizo Fulani hizi kwa asilimia 90 ni story tu kwakuwa hatujakuwa na uwezo wa kuwaita au wao kututokea tu na uchafu wote huu tulionao

Sorry kwa ku-pop up the topic.

Kuna sounds huwa naziskia mara kwa mara so i have to go through this upto the end.

Kuna baadhi ya JINNS ambao walisema huwa wanakuja na kuniongelesha lakini wanalalamika kuwa huwa si-pay attention wanaponiongelesha.

Niliwasisitiza sana wakija waongee na mimi kwa sauti au wanipe ISHARA aidha ya UDI AU PERFUMES lakini walifanya hivyo siku moja tu ambayo walikuja na harufu ya maua kama ya JASMINE hivi.

Sasa soon tu nilikuwa naangalia series ya SUPERNATURAL | DEAN & SAM then baada ya hapo nikaangalia series ya Being Human | IMDb nika-relate na maisha yangu ya kila siku, kuna kitu kikubwa sana nimejifunza.

Ila nahitaji kujifunza zaidi na zaidi as we both know kuwa elimu haina mwisho hasa kwa elimu kama hii ya hawa CREATURES nahitaji kuwajua kiundani mno, i hope i can learn something.

Sikuwa na sababu ya kuanzisha THREAD japo nna uwezo wa kufanya hivyo ila itakapofika time ya kufanya hivyo, WILL DO SO. But for now nipo darasani yet. LET ME GO THROUGH.
 
Karibu sana NDUKI
 
Last edited by a moderator:
Naomba pia tafuta kitabu hiki Magic: theory n practice kuna mambo humo ndani ambayo kwa hali ya kawaida ni ngumu kuyaelewa

Thank You a lot. Author ni nani mkuu ni Aleister Crowley...?..

Kama ni huyo naona kipo BOOK IV now, will you mind if i'll get a link ya BOOK I kiongozi...?.

I don't want to jump that fast, i wanna go step by step. Kama nikikosa BOOK I itakayokuwepo ntaanza nayo it's okay mkuu.

Thanks again & again.
 
Huyo huyo Aisee hapana ila nitafanya juhudi Kama Naweza kukipata
 
Huyo huyo Aisee hapana ila nitafanya juhudi Kama Naweza kukipata

Thanks a lot buddy.

Am waiting for that kiongozi, and when am going through this ntakuwa na some questions to ask ili kupata muongozo zaid na zaid.

Sorry if i'll bother you for that. But i have to.
 
Thanks a lot buddy.

Am waiting for that kiongozi, and when am going through this ntakuwa na some questions to ask ili kupata muongozo zaid na zaid.

Sorry if i'll bother you for that. But i have to.

No no never..! It will my pleasure to share with you what I have
 
hermetic.com/93beast.fea.st/files/section1/ABA/Book%204%20Part%20III%20MiTaP.pdf

pakua part III. vngne cjavipata. nafuatilia mjadala kimyakimya. hahahahah
 
hermetic.com/93beast.fea.st/files/section1/ABA/Book%204%20Part%20III%20MiTaP.pdf

pakua part III. vngne cjavipata. nafuatilia mjadala kimyakimya. hahahahah

Thanks a lot mkuu.

Nimeshakipakua hiko tayari na BOOK IV pia. Nataka nimalize kwanza uzi wote each post then ndo niende kwa hizo BUX nizisome.

Education has no boundaries mkuu japo upo kimya kimya we are together aaaaall the way.

You are not alone. And you'll never walk alone mkuu.

Thanks again buddy.
 
REALLY...!!!

Kwhy ikiwa mtu ashazikwa hivyo hakuna namna tena ya kumwambia nilichotaka kumwambia?

Hakuna tena hakuna jinsi

Staki kumwaga mchele kwenye KUKU wengi, ila i hope you know that IMANI ni kitu kikubwa sana.

And as i said before hii ILMU ni kubwa sana na ndio maana nimeamua kwenda SO DEEP, DEEP DOWN.

But one thing i want u to remember is "BELIEVE THAT, YOU ARE MORE THAN YOU THINK YOU ARE, THAT'S IT"

ANYWAY, LET ME GO BACK TO CLASS. I'LL BE BACK.
 
Hebu fafanua hapo uliongea nae vip kimoyo moyo au ulifanyaje na kuna elimu juu ya hilo swala na hiyo elimu ni ipi? Ya kidini ama? Msaada samahani
 
mshana jr.
Umetoa wapi mawazo haya leo? Au babu yako kakutembelea? Siku ya arusi yangu, bibi mzaa baba aliyekuwa amefariki miaka kama 12 hivi iliyokuwa imepita alinijia usiku. sisemi ilikuwa ndoto kwani nilikuwa sija lala na kibatari kilikuwa kinawaka. Akasimama karibu na kitanda changu akanikumbusha alivyokuwa ananipenda mjukuu wake.
Akasema; nasikia unaoa, ninataka nitoe mchango wangu. Nitakupa weye mchango wangu kesho. Aka[otea, nilifadhaika kidogo ila kwa kuwa hakuna mtu mwingine aliyesikia sauti ya bibi nkaogopa kusema wasinicheke.
Keshoye, tulipotoka tu kanisani, tukapitia sehemu tupate chakula kidogo kwani mambo ya harusi wayajua. Ghafula pale chini sakafuni nikaona noti ya shs 10. Enzi hizo za '70 hiyo ilikuwa hela kubwa sana. Kama laki+ leo.
Je huo haukuwa mchango wa bibi yangu? nafsi bado zipo hapa ila roho imerudi kwa mwenyewe ka mwili ulivyo rudi kuwa mavumbi

you are more than you think you are.

Ongeza knowledge. Bado nasoma.
 
Back
Top Bottom