Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ni noti ya sh kumi ya mwaka 70 but still haiwezi kuwa na thamani la laki moja au hata nusu yake sorry.................laki moja ni sawa na dola 50 sasa je sh 10 ya tz mwaka 70 ilikuwa na thamani ya dola 50?
roho ni pumzi tu, ukifa ikitoka imetoka, anayesemammengine ati roho ina akili sijui inatoka inatembeatembea ni fix tu, wanaosema wameona marehemu waende tu kumuona daktari, watu wengi ni wagonjwa wana hallucinatenzaidi ya watu mnavofikiri, ila kusema ati marehemu kamuongelesha hua ni story tu hakuna ukweli wowote.. Tumejazwa madudu washa toka utotoni, inabidi tusiendelee kuwajaza watoto wanaokuja wasiendeleze ujinga miaka ijayo
Dunia imekuwa kama kijiji kutokana na uwezo mkubwa aliounyesha mwanadamu wa kugundua hata ambavyo vilifikirika kwamba haviwezekani
Elimu na ufahamu kuhusu mwili wa mwanadamu kuanzia kuumbwa tumboni kuzaliwa hadi kufa umetafitiwa na kunyumbulishwa kwa mapana yake na wengi wamepata elimu ya juu kabisa PhD kwenye hili eneo, lakini wakashishindwa kitu kimoja tuu!!! Uwezo wa kumuita marehemu na kuongea naye
Zamani kabla ya dini za kigeni hazijaja Africa tulikuwa kwa kiasi fulani tuna uwezo wa kuwaita marehemu kwa njia ya matambiko na kuwaomba hili au lile, lakini ikumbukwe kwamba hawakuja live bali dalili na ishara kadha zilionyesha uwepo wao na kukubali au kukataa ombi husika
Tumekuwa tunaondokewa na wapendwa wetu na watu tunaowahitaji mno katika maisha yetu, tumekuwa na vipindi vigumu kabisa ambapo tunawahamu na kuwahitaji japo wajitokeze kwa dakika chache tu lakini haikuwezekana kabisa
Mfu ni mfu na hatuna uwezo wowote iwe wa kimwili au wa kiroho kuweza kumuita na kuongea naye lolote, hii ni kwakuwa roho inapotengana na mwili hakuna tena huyo MTU bali kunatokea vitu vitatu visivyoweza kuungana tena na kutengeneza kitu kimoja. vitu hivyo ni roho mwili na nafsi, vitatu hivi ndio vinatengeneza MTU nje ya hapo kuna 'mwili wake', 'roho yake' au 'nafsi yake'
Watu wamejaribu kutoa shuhuda nyingi za kutokewa na marehemu, hili linawezekana kwasababu baada ya kifo kuna roho huwa zinawayawaya duniani, zipo tu na hizi ndizo ambazo hugeuka mizimu mizuri au mibaya
Wakati mmoja tu marehemu anaweza kusikia sauti ya mwanadamu na kuitii ni pale tu anapoandaliwa kwa safari yake ya mwisho kaburini, hasa kwenye ishu ya kumsafirisha au kumvalisha nguo
Nikiwa mtu ambaye nilidili na miili ya marehemu kwa miaka mitatu mfululizo nilikutana mara nyingi tu na hizi hali, marehemu hataki dharau ubishi au kufokewa nguo hata iwe inamtosha Siku hiyo itakataa mpaka mumbembeleza
Tuna wajuaji wengi Siku hizi wanaojifanya wametokewa na marehemu fulani na kumpa maagizo Fulani hizi kwa asilimia 90 ni story tu kwakuwa hatujakuwa na uwezo wa kuwaita au wao kututokea tu na uchafu wote huu tulionao
Sorry kwa ku-pop up the topic.
Kuna sounds huwa naziskia mara kwa mara so i have to go through this upto the end.
Kuna baadhi ya JINNS ambao walisema huwa wanakuja na kuniongelesha lakini wanalalamika kuwa huwa si-pay attention wanaponiongelesha.
Niliwasisitiza sana wakija waongee na mimi kwa sauti au wanipe ISHARA aidha ya UDI AU PERFUMES lakini walifanya hivyo siku moja tu ambayo walikuja na harufu ya maua kama ya JASMINE hivi.
Sasa soon tu nilikuwa naangalia series ya SUPERNATURAL | DEAN & SAM then baada ya hapo nikaangalia series ya Being Human | IMDb nika-relate na maisha yangu ya kila siku, kuna kitu kikubwa sana nimejifunza.
Ila nahitaji kujifunza zaidi na zaidi as we both know kuwa elimu haina mwisho hasa kwa elimu kama hii ya hawa CREATURES nahitaji kuwajua kiundani mno, i hope i can learn something.
Sikuwa na sababu ya kuanzisha THREAD japo nna uwezo wa kufanya hivyo ila itakapofika time ya kufanya hivyo, WILL DO SO. But for now nipo darasani yet. LET ME GO THROUGH.
Naomba pia tafuta kitabu hiki Magic: theory n practice kuna mambo humo ndani ambayo kwa hali ya kawaida ni ngumu kuyaelewa
Thank You a lot. Author ni nani mkuu ni Aleister Crowley...?..
Kama ni huyo naona kipo BOOK IV now, will you mind if i'll get a link ya BOOK I kiongozi...?.
I don't want to jump that fast, i wanna go step by step. Kama nikikosa BOOK I itakayokuwepo ntaanza nayo it's okay mkuu.
Thanks again & again.
Huyo huyo Aisee hapana ila nitafanya juhudi Kama Naweza kukipata
Thanks a lot buddy.
Am waiting for that kiongozi, and when am going through this ntakuwa na some questions to ask ili kupata muongozo zaid na zaid.
Sorry if i'll bother you for that. But i have to.
No no never..! It will my pleasure to share with you what I have
hermetic.com/93beast.fea.st/files/section1/ABA/Book%204%20Part%20III%20MiTaP.pdf
pakua part III. vngne cjavipata. nafuatilia mjadala kimyakimya. hahahahah
Kwhy ikiwa mtu ashazikwa hivyo hakuna namna tena ya kumwambia nilichotaka kumwambia?
Hakuna tena hakuna jinsi
mshana jr.
Umetoa wapi mawazo haya leo? Au babu yako kakutembelea? Siku ya arusi yangu, bibi mzaa baba aliyekuwa amefariki miaka kama 12 hivi iliyokuwa imepita alinijia usiku. sisemi ilikuwa ndoto kwani nilikuwa sija lala na kibatari kilikuwa kinawaka. Akasimama karibu na kitanda changu akanikumbusha alivyokuwa ananipenda mjukuu wake.
Akasema; nasikia unaoa, ninataka nitoe mchango wangu. Nitakupa weye mchango wangu kesho. Aka[otea, nilifadhaika kidogo ila kwa kuwa hakuna mtu mwingine aliyesikia sauti ya bibi nkaogopa kusema wasinicheke.
Keshoye, tulipotoka tu kanisani, tukapitia sehemu tupate chakula kidogo kwani mambo ya harusi wayajua. Ghafula pale chini sakafuni nikaona noti ya shs 10. Enzi hizo za '70 hiyo ilikuwa hela kubwa sana. Kama laki+ leo.
Je huo haukuwa mchango wa bibi yangu? nafsi bado zipo hapa ila roho imerudi kwa mwenyewe ka mwili ulivyo rudi kuwa mavumbi