Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I second youNKUONA KM MJENZI HURU IVIIIIIIIIIIIIIII!!&
Hahahaha dahKuna post inayozungumzia uvutaji bangi wa wanaforum
Dunia imekuwa kama kijiji kutokana na uwezo mkubwa aliounyesha mwanadamu wa kugundua hata ambavyo vilifikirika kwamba haviwezekani
Elimu na ufahamu kuhusu mwili wa mwanadamu kuanzia kuumbwa tumboni kuzaliwa hadi kufa umetafitiwa na kunyumbulishwa kwa mapana yake na wengi wamepata elimu ya juu kabisa PhD kwenye hili eneo, lakini wakashishindwa kitu kimoja tuu!!! Uwezo wa kumuita marehemu na kuongea naye
Zamani kabla ya dini za kigeni hazijaja Africa tulikuwa kwa kiasi fulani tuna uwezo wa kuwaita marehemu kwa njia ya matambiko na kuwaomba hili au lile, lakini ikumbukwe kwamba hawakuja live bali dalili na ishara kadha zilionyesha uwepo wao na kukubali au kukataa ombi husika
Tumekuwa tunaondokewa na wapendwa wetu na watu tunaowahitaji mno katika maisha yetu, tumekuwa na vipindi vigumu kabisa ambapo tunawahamu na kuwahitaji japo wajitokeze kwa dakika chache tu lakini haikuwezekana kabisa
Mfu ni mfu na hatuna uwezo wowote iwe wa kimwili au wa kiroho kuweza kumuita na kuongea naye lolote, hii ni kwakuwa roho inapotengana na mwili hakuna tena huyo MTU bali kunatokea vitu vitatu visivyoweza kuungana tena na kutengeneza kitu kimoja. vitu hivyo ni roho mwili na nafsi, vitatu hivi ndio vinatengeneza MTU nje ya hapo kuna 'mwili wake', 'roho yake' au 'nafsi yake'
Watu wamejaribu kutoa shuhuda nyingi za kutokewa na marehemu, hili linawezekana kwasababu baada ya kifo kuna roho huwa zinawayawaya duniani, zipo tu na hizi ndizo ambazo hugeuka mizimu mizuri au mibaya
Wakati mmoja tu marehemu anaweza kusikia sauti ya mwanadamu na kuitii ni pale tu anapoandaliwa kwa safari yake ya mwisho kaburini, hasa kwenye ishu ya kumsafirisha au kumvalisha nguo
Nikiwa mtu ambaye nilidili na miili ya marehemu kwa miaka mitatu mfululizo nilikutana mara nyingi tu na hizi hali, marehemu hataki dharau ubishi au kufokewa nguo hata iwe inamtosha Siku hiyo itakataa mpaka mumbembeleza
Tuna wajuaji wengi Siku hizi wanaojifanya wametokewa na marehemu fulani na kumpa maagizo Fulani hizi kwa asilimia 90 ni story tu kwakuwa hatujakuwa na uwezo wa kuwaita au wao kututokea tu na uchafu wote huu tulionao
Walikosea sana kumkatalia hii elimu ingetatua vitendawili vingi vya vifo vyenye utataMkuu wapo watu wenye uwezo wa kuongea na wafu. Kuna mtoto wa Mfalme wa Norway anaitwa Märtha Louise Harald. Huyu ana uwezo wa kuongea na watu live. Mwaka 2008, aliiomba Serikali ya nchi hiyo kuanzisha shule kwa ajili ya kufundisha watoto na watumbali mbali namna ya kuwasiliana na wafu moja kwa moja. Ila serikali haikukubaliana na hoja yake hiyo kwa madai kuwa hakuna tija yoyote kuongea au kuwasiliana na wafu. Ila kiukweli watu hawa wapo
Biblia pekee haitoshi bali lazima na kupata mtazamo wa upande mwingine ile kuweza kupata mizania ya kile unachotaka kukijengea hojaMshana jr asome sana BIBLIA ili awe na rejea nyingi na Mungu amtie nguvu aweze kutuletea mada nyingi humu ndani.
Marehemu huwa anaskia mkuu aminiuongo mtupu kudadeki
binadamu akifa yan hapo no connection no converstion no communication kwamba kinachobaki pale ni mwili tu.. na ayo mambo ya roho na nafsi vnakwenda wap tunamuachia SIR GOD
ayo mamvo mengine mnayosema ni swwaga za kale walikua wanazitumia mababu zetu pasipo kumjua MUNGU