Uwezo wa kutatua changamoto za maisha na kujiajili za mtoto

Uwezo wa kutatua changamoto za maisha na kujiajili za mtoto

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
688
Reaction score
1,126
Habari jamvini.
Leo nina jambo naliwaza kidogo. 80% ya mahudhui ya mitandaoni ni vichekesho na vituko na ndio wengi wanaangalia hasa hususan mabinti. Wenyewe wanaviita vibinti ya 200.
Fact 2: kuna ushahd mkubwa kuwa wanaume mara nyingi ndio wanaowahi kwenda akhera madukan na kuacha wake zao na familia.

Ila baada ya familia kubak chini ya uongozi wa mke huwa inashindwa kujiendesha na hatimaye kuuza nyumba na wengine kudanga na wengine wanapoteza mali zote nyumba, magari, kampuni n. K wanaingia kwenye historia ya walikuwaga na maisha mazuri

Lkn moja ya njia ya kupima uwezo wa mtu kutatua changamoto za maisha ni kutathmini mambo anayoyawaza mala nyingi, Hoja anazozitoa na vitu vinavyomvutia (content zinazomvutia) na anazoshinda nazo muda nwingi.

Tunaamini kuwa mama ana wajibu mkubwa wa kudevelop uwezo wa kutatua matatizo kwa mtoto (mtoto awe na sense ya kujitatulia matatizo mwenyewe) na hii itamfanya kuwa mpambanaji kwenye maisha na hatimaye kuondoa mtoto kuwa na mawazo ya kusubiri ajira badala yake ajiajili. Huwenda hii ndio imetufikisha leo vijana wanabe na visungura ukouliza hawana ajira kumbe n uwezo wa kutatua changsmoto mitaani hawana na elimu haijawafundsha hvyo

Hoja: je iko haja ya kuwekeza muda mwingi kuchunguza binti muda wake mwingi anautumia kwenye simu huwa anafuatilia kitu gani na ikiwa ni vichekesho tu basi hakuna kumwoa mana matokeo yake hata kuwa na wazo la kimaendeleo na hataipa familia hamasa ya kuendelea na hatimaye watoto na wenyewe watakuwa mizigo kwa jamii? ?
 
Hapa hujauliza bali umeamua kuchanganya tu akili zawatu
Labda nirudie tena
 
Back
Top Bottom