Uwezo wa Marais wa Tanzania kwenye kuongoza nchi pamoja na sababu zake

Mkapa ndio alitakiwa kuwa wa kwanza..alifanya vyema kwenye UCHUMI na kuweka mifumo ya kiutendaji...Nyerere alizingua kwenye UCHUMI + kaelement ka Udikteta..ila Mzee wa Chato ndio angeshika nanga..hakufaa kabisa
Nchi yoyote Duniani ambayo ilifanikiwa kuunganishwa kuwa Taifa moja basi lazima element za udikteta ziwepo, angalia USA walichowafanyia wale wazawa wa USA (wahindi wekundu sijui), Walikula shaba za kutosha maana walikuwa wanagomea ardhi yao kuunganishwa na kuwa nchi mmoja.

Angalia yule mfalme wa China alipo pigana vita na kuua viongozi wa kingdoms mbali mbali ili China moja itokee, list ipo kubwa, ila kuunganisha Taifa moja hahiitaji demokrasia, we unafikiri angebembeleza leo hii tungekuwa na lugha moja, hatuna ukabila kama Kenya?, na Nchi za Africa zitaendelea kwa style hii ya uongozi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu Pascal, uhalisia ndo umpatia mtu heshima, kwahyo mwalimu akimpa mtu 0% ina maana hajamuheshimu?, kuna Dr mmoja chuo fulan, Mkurugenzi wa Taasisi fulan alikuwa anasoma PhD, na uyo Dr ni mdogo sana kiumri, Mkurugenzi alikula 10% kwenye mtihani wake, sio kwamba hamuheshimu bali ndo uwezo wake huo, afanye nini? Ndo Samia uwezo wake.
 
VIpi kuhusu nchi za Kiscandinavia ambazo takwimu zinaonyesha kwamba wanamifumo na ustawi bora wa maisha kuliko hiyo Marekani na propaganda zake..na wao kaelement ka Udikteta kalitumika na kanaendelea kutumika?
 
VIpi kuhusu nchi za Kiscandinavia ambazo takwimu zinaonyesha kwamba wanamifumo na ustawi bora wa maisha kuliko hiyo Marekani na propaganda zake..na wao kaelement ka Udikteta kalitumika na kanaendelea kutumika?
Usisahau, hizo nchi za Scandinavia zina element za ujamaa.
 
Kwa hiyoJiwe anakuzidi akili 😂😂😂😂😂
Wazee wa shujaa wenu. Ni mtazamo tu
 
Mkapa ndio alitakiwa kuwa wa kwanza..alifanya vyema kwenye UCHUMI na kuweka mifumo ya kiutendaji...Nyerere alizingua kwenye UCHUMI + kaelement ka Udikteta..ila Mzee wa Chato ndio angeshika nanga..hakufaa kabisa
Huyo hakufaa hata kuwa kiongozi wa bodaboda
 
Hapo nadhani nafasi ya Kikwete umempa Samia, na ya Samia umempa Kikwete. Chakata vizuri data zako.
 
Nini 100, Watu wenye IQ ya hadi 300 wapo boss.
 
Nyerere mnamchukulia poa, mtu mpaka anasaidia nchi zingine kimawazo ili kuzikomboa kwa wakoloni, yaan watu wanakuja kuchota mbinu kwa Nyerere, uyo mnamuona ni mtu wa kawaida kweli?
 
VIpi kuhusu nchi za Kiscandinavia ambazo takwimu zinaonyesha kwamba wanamifumo na ustawi bora wa maisha kuliko hiyo Marekani na propaganda zake..na wao kaelement ka Udikteta kalitumika na kanaendelea kutumika?
Mkuu unalinganisha linchi likubwa kama USA na vi inchi vidogo vidogo vya europe? Changamoto ya nchi kubwa kunakuwa ethnicities nyingi, ambazo kuziunganisha ni mtiti, hapo ni sawa unalinganisha Tanzania na Rwanda.
 
Mama yako wewe na mmeo, sisi huku hatumtaki
 
Samia na JK umewapendelea sana... kwangu wapo sawa ama wanazidiana kwa decimali chache sana!
Mkapa alikuwa juu ya JPM.


Kosa lingine kubwa la JPM ni kuwa hakuwa mwanasiasa na hakuandaliwa kuwa Rais.

Hivyo hakujua tofauti baina ya uongozi wa kisiasa, kifamilia na biashara binafsi. Kama kiongozi mkuu hakuwa tactical na hakujua namna nzuri ya ku-maneuver strategy zake!

Kama binadamu friji lake lilikuwa haligandishi ongezea uhasama, upendeleo, one-man-show na ubabe!
Zaidi, alikosa uwezo wa kuvumilia waweke sheria/policies/procedures, yeye alikuwa anaziropoka possible changes kabla.

Sehemu alizokuwa mvumilivu hadi sasa system zinaonekana - mfano malipo kwa control numbers, miundombinu, etc. Hizo ni legacy zinajisimamia (japo wahuni bado wanajipigia).

Laiti kama angekubali ule mchakato wa katiba mpya ili imani kidogo aliyopata kutoka kwa wananchi ingempa audacity na support kubwa kushinda vita dhidi ya wahuni!
 
Mkuu unalinganisha linchi likubwa kama USA na vi inchi vidogo vidogo vya europe? Changamoto ya nchi kubwa kunakuwa ethnicities nyingi, ambazo kuziunganisha ni mtiti, hapo ni sawa unalinganisha Tanzania na Rw
Now nimekuelewa point yako, mwanzoni nilifikiri umeunganisha Ukubwa----Udikteta ----Maendeleo..ndio maana nikataja hizo nchi za Scandinavia...

Pili , usijekujenga dhana kwamba sijui THAMANI ya huu late Mwl, la hasha
Nafikiri "WAKOROFI" wangeadhibiwa na mifumo ya KISHERIA na sio kuwaweka kizuizini kwa muda mrefu..hili kwangu sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…