Uwezo wa Marais wa Tanzania kwenye kuongoza nchi pamoja na sababu zake

Uwezo wa Marais wa Tanzania kwenye kuongoza nchi pamoja na sababu zake

Nimeipenda hii ( ameonesha hata ndani ya Ccm kuwa Katiba mpya inahitajika ) 😂🙌🙏 !

Lakini Mheshimiwa Polepole bado sijamsikia anasema nini kuhusu Katiba mpya. 😳🤷🏿‍♂️ !
 
Ndo faraja pekee zilizobaki hizo za haters baada ya kushindwa Kila mpango wao mchafu....... Hii imepimwa kwa kipimo kipi, na nani na Ina faida gani?!!!! Poleni sana nyumbu kwa kuendelea kuchanganyikiwa na Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Huyo mama ni mpango wa Mungu hivyo mtaumia sana sana sana.
We labda ni dr love, sema Tz itaumia chini ya samia sio nyumbu...huyu mama ni hamna kitu ila tatizo kubwa limeanzia kwenyen katiba - hatoshi kwenye urais!!.
 
Imekaa vzr, samia ndio the worst ktk woote kupata kutokea!.
 
Kumuweka mkapa juu ya kikwete na samia.. na kumpa mkapa asilimia kibao ni dharau kwa wa Tanzania.

Rais aliyeomba msamaha kwa aibu ya kuwaibia wa Tanzania anaanzia wapi kupewa parcent kubwa hivyo
Kikwete ni matokeo ya huu mtandao awezi kuwa juu ya mkapa kamwe .....kikwete ndiye anaye tuuza watanganyika mikononi mwa Raia feki na kuiuza serikali yetu pia ....sasa hivi serikali si mali ya watanzania tena bali ni mali ya Raia feki pamoja na wanamtandao ....ndiyo maana hata wananchi wamepigwa stop kumchagua kiongozi wamtakaye
 
Udhaifu wa Magufuli ni ushamba alikuwa hana exposure ya mambo mengi.alikuqa na nia njema na Tz Laiti angekuwa na exposure kwa Tanzania kama hii angetawala hata milele.Ushamba ni mzigo walisema wahenga.alishindwa hata kuiga model ya putin.
By the way siasani ndivyo kulivyo ni kuliwa au kula,that's why unaitwa mchezo mchafu.
Ushamba ndio dude gani mkuu

Dadavua kidogo chief
 
Udhaifu wa Magufuli ni ushamba alikuwa hana exposure ya mambo mengi.alikuqa na nia njema na Tz Laiti angekuwa na exposure kwa Tanzania kama hii angetawala hata milele.Ushamba ni mzigo walisema wahenga.alishindwa hata kuiga model ya putin.
By the way siasani ndivyo kulivyo ni kuliwa au kula,that's why unaitwa mchezo mchafu.
Ushamba ndio dude gani mkuu

Dadavua kidogo chief
 
Kumuweka mkapa juu ya kikwete na samia.. na kumpa mkapa asilimia kibao ni dharau kwa wa Tanzania.

Rais aliyeomba msamaha kwa aibu ya kuwaibia wa Tanzania anaanzia wapi kupewa parcent kubwa hivyo
Na vip wal ambao wanaiba na msamaha hawaombi ,huoni kwamba huyo aliye omba msamaha ndiye anatakiwa awe juu kabisa maana anajua uwajibikaji
 
Hamna Raisi umo, mi ni mtu niliyekuwa namkubali sana mama alipoingia madarakani, siku ya kwanza anapokea ripoti ya CAG, kuona madudu ya bandari hapo hapo akala kichwa cha Mkurugenzi wa TPA, nkasema Raisi si ndo uyu. Nilipoona tu anamfukuza yule Mama mwenye shida na kumwambia anakuja kuharibu mkutano wake, nkasema eeh yashafika uku, yaliyoeendelea imekuwa historia.
Kwahiyo kumbe unataka afanye unavyo taka wewe? Yeye ana fanya kulingana na taarifa alizo nazo
 
Nilipoona tu anamfukuza yule Mama mwenye shida na kumwambia anakuja kuharibu mkutano wake, nkasema eeh yashafika uku, yaliyoeendelea imekuwa historia.
Mama yupi huyo mkuu?
 
Kumuweka mkapa juu ya kikwete na samia.. na kumpa mkapa asilimia kibao ni dharau kwa wa Tanzania.

Rais aliyeomba msamaha kwa aibu ya kuwaibia wa Tanzania anaanzia wapi kupewa parcent kubwa hivyo

Ukimuondoa Mwl. Nyerere, Je, ni nani mwingine hapo kwenye orodha ambaye siyo mwizi na hakuwahi kuwaibia waTanzania???
 
Back
Top Bottom