Uwezo wa Marais wa Tanzania kwenye kuongoza nchi pamoja na sababu zake

Nimeipenda hii ( ameonesha hata ndani ya Ccm kuwa Katiba mpya inahitajika ) 😂🙌🙏 !

Lakini Mheshimiwa Polepole bado sijamsikia anasema nini kuhusu Katiba mpya. 😳🤷🏿‍♂️ !
 
Katiba katiba, hata kama hatuipendi iheshimiwe mpaka ibadilike lasivyo wote tutakuwa wezi na watekaji
 
We labda ni dr love, sema Tz itaumia chini ya samia sio nyumbu...huyu mama ni hamna kitu ila tatizo kubwa limeanzia kwenyen katiba - hatoshi kwenye urais!!.
 
Imekaa vzr, samia ndio the worst ktk woote kupata kutokea!.
 
Kumuweka mkapa juu ya kikwete na samia.. na kumpa mkapa asilimia kibao ni dharau kwa wa Tanzania.

Rais aliyeomba msamaha kwa aibu ya kuwaibia wa Tanzania anaanzia wapi kupewa parcent kubwa hivyo
Kikwete ni matokeo ya huu mtandao awezi kuwa juu ya mkapa kamwe .....kikwete ndiye anaye tuuza watanganyika mikononi mwa Raia feki na kuiuza serikali yetu pia ....sasa hivi serikali si mali ya watanzania tena bali ni mali ya Raia feki pamoja na wanamtandao ....ndiyo maana hata wananchi wamepigwa stop kumchagua kiongozi wamtakaye
 
Ushamba ndio dude gani mkuu

Dadavua kidogo chief
 
Ushamba ndio dude gani mkuu

Dadavua kidogo chief
 
Kumuweka mkapa juu ya kikwete na samia.. na kumpa mkapa asilimia kibao ni dharau kwa wa Tanzania.

Rais aliyeomba msamaha kwa aibu ya kuwaibia wa Tanzania anaanzia wapi kupewa parcent kubwa hivyo
Na vip wal ambao wanaiba na msamaha hawaombi ,huoni kwamba huyo aliye omba msamaha ndiye anatakiwa awe juu kabisa maana anajua uwajibikaji
 
Kwahiyo kumbe unataka afanye unavyo taka wewe? Yeye ana fanya kulingana na taarifa alizo nazo
 
Nilipoona tu anamfukuza yule Mama mwenye shida na kumwambia anakuja kuharibu mkutano wake, nkasema eeh yashafika uku, yaliyoeendelea imekuwa historia.
Mama yupi huyo mkuu?
 
Kumuweka mkapa juu ya kikwete na samia.. na kumpa mkapa asilimia kibao ni dharau kwa wa Tanzania.

Rais aliyeomba msamaha kwa aibu ya kuwaibia wa Tanzania anaanzia wapi kupewa parcent kubwa hivyo

Ukimuondoa Mwl. Nyerere, Je, ni nani mwingine hapo kwenye orodha ambaye siyo mwizi na hakuwahi kuwaibia waTanzania???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…