dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Kwa kawaida nguvu au uwezo wa mwanadamu tumezoea ni ule mtu anao ishi nao au kutumia kila siku kuwa ndio ukomo wake ila kiuhalisia hivyo sivyo hapo sio ukomo wake ulipo bali kuna uwezo wa ziada mwilini wako unao ila unapatikana au kufunguka pale tu unapkuwa kwenye hatari zaidi, hizi hapaa ni nguvu/uwezo wa mwanadamu unaofunguka
Hysterical Strength {nguvu za ziada au ajabu} hii hutokea pale mtu unayependa yupo kwenye hatari na unahitajika kutumia nguvu aidha kunyanyua au kushikilia kitu fulani hapa mwili huachia nguvu ambazo hukujua kuwa unazo, watu wananyayua gari, pindisha chuma, huhamisha vitu ambavyo mwili wao kwa kawaida usingeweza
Extreme endurace {uvumilivu uliokithiri} kwenye mazingira kama jangwa,barafu,bahari,mashimo au mazingira kama hayo watu wame survive kwa masaa mpaka masiku kwenye hali ambayo wanasayansi wanasema walitakiwa kufa ila pindi Ari au mzuka wa kuishi unapokuja mwili unafungua uwezo uliowekwa kuishi kipindi cha zamani enzi za uwindaji na mtu anaweza ku survive kwenye hali mbaya kwa muda mrefu
Pain immunity { kutokuhisi maumivu} pindi endranaline inapojaa kwenye mishipa ya damu maumivu yanakuwa hayasikiki watu hukimbia wakiwa wamevunjika/kutenguka mguu, kupigana wakiwa na majeraha makubwa kutoka kwenye nyumba zinazowaka moto na husikia maumivu pale tu wanapkuwa salama
Survival instict super focus, pindi unapokuwa kwenye mazingira ya kifo ubongo wa mwanadamu unakuwa makini sana uwoga unapotea huzingatii distraction, kila wazo hugeuka mbinu kila pumzi inakuwa ya mahesabu
Bullet time perception, kwenye hali ya kifo au uhai ubongo ni kama una punguza kasi ya eneo uliokuwepo {slowdown} kwa uwiano wa miliseconds, unaona kila kitu kwa uwazi kama kuna vitu vinadondoka au kuja kwa kasi unaweza kuviona na kukwepa baadhi
Binadamu huhisi wanajua ukomo wa uwezo wao ila hawauji ni nini hasa wanachoweza kufanya mpaka pale maisha yanapokufanya kugundua upande wako wa pili ambao hujawahi kuutambua.