Uwezo wa mwanadamu unaofunguka kwenye hali hatarishi

Uwezo wa mwanadamu unaofunguka kwenye hali hatarishi

Unaamini mambo ya ajabu na budha na Dini zao zimebase hasa ushirikina tuuuu amna cha ziada.
Unaamini ng'ombe ni Mungu?
Ma budha waliongelea kuhusu self awareness ufahamu kuwa mmoja na ulimwengu mzima, hayo mambo ya mungu kuwa ngombe na watu kuwa idolize kuwa ndio watu wa dini ni mambo yalikuja baada ya wao kuondoka,
 
Ma budha waliongelea kuhusu self awareness ufahamu kuwa mmoja na ulimwengu mzima, hayo mambo ya mungu kuwa ngombe na watu kuwa idolize kuwa ndio watu wa dini ni mambo yalikuja baada ya wao kuondoka,
Hiyo issue kuna ya kwenye uzi kuna jamaa mwingine anaitwa Robert Monroe kaizungumzia , najaribu kusaka kajitabu kake hapa
 
Mkuu kasome origin ya teaching za budha, ni nani aliyekuja na hzo teaching huyo ndio budha sio hao waliopo kwenye trmple sasa hao ni kama walimu tu
 

Attachments

  • IMG_20260405_122949.jpg
    IMG_20260405_122949.jpg
    603.9 KB · Views: 16
Duuuh ni.kweli kabisa mkuu aiseee ni.kweli kabisa ni kweli tatoa ushuhuda nilikutana na hatare aiseeee

Sema hawa wamama hawa watakuja kutukata moto
 
Back
Top Bottom