sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Miti shamba inachangia 80% ya tiba.Utanisamehe, do you believe hizi concoctions za NIMR zinaua virus? seriously? Are these herbs new in our daily lives with our diseases? Zimetumika from time immemorial na magonjwa yakatumaliza mpaka hapo wazungu walipokuja na modern medicine. Kwahiyo unaamini kujifukiza? Kwani kujifukiza hakukuwepo tangu dunia inaumbwa?
Unaamini wazungu lishe yao ni duni ndiyo maana wameshindwa kukabiliana na corona? NIMR wametengeneza lishe bora kuliko lishe ya kila siku ya wazungu? (inawezekana)...
Kumbuka plagiarism is an international crime and a civil wrong!
Washauri waende kwenye modern solutions to evolving and re-emerging diseases, traditional herbs with modern approaches, siyo kuwa encourage kuchemsha miti na kunywa/kujifukiza
Waulize China,Indonesia,Vietnam, India walifanyaje ?
Lakini mkuu unasahau hata neno medicine siyo la kizungu,pia umesahau Acient Egyptian walivyokuwa wametangulia sana kwa tiba,wakati huyo mzungu alikuwa yupo kwenye caves
Turning point inakuja.