Unaweza kuwa una jambo zuri sana la kuzungumzia - huenda ni tuimarishe lishe zetu na kuepuka baadhi ya tabia na tunaweza kuondokana na magonjwa.
Nakuona kama disgruntled person. Hufurahii order iliyopo. Hufurahii kufuata njia za kimagharibi za kuishi na kufanya mambo. Hata hiyo population inayokua kila siku unayoizungumzia utagundua ni kwa sababu life expectancy imeogezeka (wakati population growth iko moderate - si watu wengi wanazaa watoto kumi siku hizi).
Magonjwa mengi yanatibika leo kuliko zamani, hasa zile intrusive. Hata operations, imagery diagnosis, laboratory ni mambo yaliyotokea kwa hao wazungu. Haya ni mambo ambayo mababu zetu walishindwa kuyajua na wengi walikufa kwa sababu hayakujulikana.
Mkuu, kwa kifupi huna point!! ARVs ni dawa zinazoharakisha matokeo. Mtu akiamua kutumia lishe tu, kuna uwezekano mkubwa kuwa matokeo yatatokea katika muda mrefu.
Acha kutoa mapendekezo ya kipumbavu kwa jambo kubwa kama HIV/AIDS. Mapendekezo yako yapeleke kwenye matatizo ya macho, kichwa kuuma, baridi yabisi, nk.