Uwezo wa NIMR unafikirisha kutoa Tiba Lishe ya kufubaza Virus vya UKIMWI, tunaweza kuacha na ARV zenye masharti

Miti shamba inachangia 80% ya tiba.
Waulize China,Indonesia,Vietnam, India walifanyaje ?
Lakini mkuu unasahau hata neno medicine siyo la kizungu,pia umesahau Acient Egyptian walivyokuwa wametangulia sana kwa tiba,wakati huyo mzungu alikuwa yupo kwenye caves
Turning point inakuja.
 
Hao waathirika waliogoma kutuma ARV watakipata tu wanachokitafuta.Utakuja kutoa ushahidi hapa.
 
Watu wengine bwana utafikiri wamelogwa. Kwa kuwa mzee wa kaya kapigia chapuo "fukizi" wote wanaimba wimbo huohuo. Wajaribu kuacha kutumia ARVs na ku-"Opt" vyakula lishe waone!
 
Tumetumia na tumepona hivyo kuniambia sio dawa mie nakushangaa kwakweli.
 
Tumetumia na tumepona hivyo kuniambia sio dawa mie nakushangaa kwakweli.
Aliyekuambia ukipata COVID-19 ni lazima utumie dawa ndo upone ni nani?

Asilimia 95 ya wagonjwa wa COVID hawahutaji dawa yotote.Elimu Elimu Elimu!!!
 
Yani huyu jamaa ndio waabudu wazungu wanaotukwamisha. Jamii ya watu kama hawa ndio wanakula dili na wazungu kuangamiza waafrika wenzao.
 
Ukipata lishe sahihi hata uspotumia ARV unaishi
Nakwambia hivi.Utakipata tu unachokitafuta.

Miaka ya 80 watu wakikufa sana kwa Ukimwi.Wakaja Wakenya na dawa yao famba ya Kemron na watu wakaendelea kufa.Tunashukuru kwa ujio wa ARV.

Sasa wewe endeleo na uji lishe
 
Hayo magonjwa yaliyotumaliza mbona bado tupo na population imekuwa ikiongezeka from day to day,
Nikuulize , una umri gani? This is important maana kama umezaliwa miaka ya 80, si rahisi kujua popl dynamics za Tanganyika! Popln explosion in Africa imekuja baada ya ujio wa wazungu and colonisation na dawa za kutibu magonjwa!
Magonjwa ya zinaa yalizuia sana waaafrika kuzaa mpaka ilipogunduliwa Peniccilin....
.......For those with limited exposure to science, a traditional model of disease may seem plausible, while the notion of infection by invisible microbes may seem fanciful. .........


Press contact:Stephanie Hedt(213) 821-4555
Posted in
  1. EVIDENCE BASE



The Tension Between Traditional and Western Medicine

Modern medicine: Infectious diseases, timelines, and challenges
 
Ukipata lishe sahihi hata uspotumia ARV unaishi
Utapotosha watu sana wewe! Ukimwi umeanzia Bukoba kutoka Uganda. Hilo unalilisema Wahaya walilifanya sana kwa vijana wao ambao walianza kuumwa Ukimwi. I was there with my eyes witnessing what was going on with Lishe and other traditional Haya medication. ALL FAILED mpaka with the advent of ARVs!
Usiwe mtu wa jabu, au wewe ndiye Jiwe? all in all, hypocrisy is reigning now in Tanzania, even Jiwe is hypoctite!
 
Nakwambia hivi.Utakipata tu unachokitafuta.

Miaka ya 80 watu wakikufa sana kwa Ukimwi.Wakaja Wakenya na dawa yao famba ya Kemron na watu wakaendelea kufa.Tunashukuru kwa ujio wa ARV.

Sasa wewe endeleo na uji lishe
Ignore that man, ni mpotoshaji tu! si ajabu yuko kwenye ARV, anawadanganya watu
 

Unaweza kuwa una jambo zuri sana la kuzungumzia - huenda ni tuimarishe lishe zetu na kuepuka baadhi ya tabia na tunaweza kuondokana na magonjwa.

Nakuona kama disgruntled person. Hufurahii order iliyopo. Hufurahii kufuata njia za kimagharibi za kuishi na kufanya mambo. Hata hiyo population inayokua kila siku unayoizungumzia utagundua ni kwa sababu life expectancy imeogezeka (wakati population growth iko moderate - si watu wengi wanazaa watoto kumi siku hizi).

Magonjwa mengi yanatibika leo kuliko zamani, hasa zile intrusive. Hata operations, imagery diagnosis, laboratory ni mambo yaliyotokea kwa hao wazungu. Haya ni mambo ambayo mababu zetu walishindwa kuyajua na wengi walikufa kwa sababu hayakujulikana.

Mkuu, kwa kifupi huna point!! ARVs ni dawa zinazoharakisha matokeo. Mtu akiamua kutumia lishe tu, kuna uwezekano mkubwa kuwa matokeo yatatokea katika muda mrefu.

Acha kutoa mapendekezo ya kipumbavu kwa jambo kubwa kama HIV/AIDS. Mapendekezo yako yapeleke kwenye matatizo ya macho, kichwa kuuma, baridi yabisi, nk.
 
Unajua immune system inafanyaje kazi? You should not generalize from a single incident like yours!
 
Wapuuzi sana, wajaribu na HIV waone moto wake! Unakuwa na zero white cell, halafu jifukize , utapata majibu mapema asubuhi!
Watu wengine bwana utafikiri wamelogwa. Kwa kuwa mzee wa kaya kapigia chapuo "fukizi" wote wanaimba wimbo huohuo. Wajaribu kuacha kutumia ARVs na ku-"Opt" vyakula lishe waone!
 
Hongera NIMR
 
Hujui kitu.. ?? Unajua HIV anatageti nn mwilin??.


Huyu kirusi alipewa uwezo wa matendo makuu nayaajabu ambayo virusi wengine Hawana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo lako ww unawaza siasa kila kitu kuna uhusiano mkubwa sana wa lishe bora na kuongeza kinga za mwili na kinga zikiongezeka ndio ushindi wa mwili ss ww kila kitu siasa. Drancuculus medinensisis loaloa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…