Uwezo wa NIMR unafikirisha kutoa Tiba Lishe ya kufubaza Virus vya UKIMWI, tunaweza kuacha na ARV zenye masharti

"Likorona ni lifuta, linakufa kwa sabuni" alisikika mkemia mkubwa akisema
 
Mchezaji wa Simba aliyekutwa na corona yeye hapajui NIMRI?
 
Rafiki umesoma chemistry mpaka level gani? Umesoma medicinal chemistry?
 
Hizi zile chanjo na tiba zao za Corona zimefikia wapi?
NIMR ni kama wasanii fulani hivi wapumbavu pumbavu.
 
Rafiki umesoma chemistry mpaka level gani? Umesoma medicinal chemistry?
Remeber we have a drop out Bill Gate who is doing wonders in computer industry although he seems to misuse his gifted talent!
 
Remeber we have a drop out Bill Gate who is doing wonders in computer industry although he seems to misuse his gifted talent!
soma historia yake ya dropout, it is not that much simple as you are putting it!
 
Kwahiyo yale maji ya NIMR ya kuchanganya changanya majani na mizizi unaona ndiyo inamaliza Corona kwa kufikiri? Halafu eti unawashauri watengeneze ya kupambana na HIV? Mungu pitisha mbali maana kwa akili zenu hamshindwi kupotoshana.
Tatizo lako ndugu unaongea vitu toka hewani huna ushahidi hata mmoja herbs zinavyofanya kazi.

Kwa ufupi herbs mpaka sasa zinatibu VVU/HIV mimi nina ushuhuda toka kwa ndugu yangu. Amepona kabisa kabisa kwa herbs hizo.
 
Hao waathirika waliogoma kutuma ARV watakipata tu wanachokitafuta.Utakuja kutoa ushahidi hapa.
Sio kweli, akili yako umeishikilisha kwa wazungu ndio maana unadhani tiba lishe na herbs ni upuuzi.
 
Ile Dawa Iliyotoka Madagascar Kwani NIMR Wameshatoa Majibu Ama Ndiyo Mchakato Bado Unaendelea?
 
Usilinganishe HIV na virusi vingine.

Hata upate lishe bora ya namna gani ,bila kutumia ARVs utaondoka mapema.
Jiwe huwa anaanzia mbali sana ili atimize lengo la kuwaangamiza watu wake.

Hapa lengo la jiwe ni kuwahadaa watanzania waamini kuwa tuna dawa/lishe ya kufubaza HIV. Ili dona kantri wakiminya msaada wao wa ARV kwa ukandamizaji wa demokrasia halafu mkaanza kufa kama kuku msielewe na msimlaumu.
 
Ndugu believe it or not, tiba asili ya huu ugonjwa ipo. Na mimi nimeshuhudia watu wakipona. It takes just 3 months kwa dozi kupona. Na hata kinga ni siku 20 tu mtu anapata kinga ya maisha.

Wazungu wanasema kirusi hafi, but kwa hili wanakufa sasa. Amini usiamini hainihusu ila nimeshuhudia.

Kumbuka zamani kifafa walikuwa hawawezi tibu hospitalini kwa dawa za sasa lakini tiba asili ilikuwepo na ipo.
 
Kama kuna dawa za hivyo, why ARVs? Sijawahi ona kifafa kimepona.... sijawahi
 
Tatizo lako ndugu unaongea vitu toka hewani huna ushahidi hata mmoja herbs zinavyofanya kazi.

Kwa ufupi herbs mpaka sasa zinatibu VVU/HIV mimi nina ushuhuda toka kwa ndugu yangu. Amepona kabisa kabisa kwa herbs hizo.
Emb kwenda huko!
 
Na wagonjwa wanaotumia Arv but kinga zao zipo chini kila leo magonjwa nyemelezi yanawatinga inabidi watumie nini na kama kula balance diet wanazingatia ila afya migogoro kila leo mara fungus sugu na magonjwa mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…