Bavicha!Mada kama hizi zilikua zinafanya mtu aitwe "Sukuma Gang"
Sasa hivi sijui wanaitwaje..🤣
On a serious note,mada hii ni muhimu.
Wafanye nani,wachumia tumbo tuwajuao au wachumi huru wenye taaluma yao.Ni wakati mgumu sawa kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi meshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara; Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu kitasimama.
RRONDONi wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara;
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye vibanda vya mpesa wengi wamefunga. Wamachinga Hari ni ngumu. Mitaji inakufa. Kila mtu analia..N.k
Hakika. Ukienda hata Mlimani city unawaonea huruma.. wahudumu wanapiga story tu.It's true kabisa..walio katika biashara wanaona hii Hali....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
C ndio wametuchelewesha sana hawa, au nasema uongo bwashee 🤣🤣Bavicha!
Wabongo wanapenda sana kulialia.
🐵🐵🐵Mada kama hizi zilikua zinafanya mtu aitwe "Sukuma Gang"
Sasa hivi sijui wanaitwaje..🤣
On a serious note,mada hii ni muhimu...
Titapoteza amani. Ndivyo tumefundishwa.Hili nalo litapita. Watanzania ni hofari sana kupiga kelele mitandaoni, lakini kwenda zaidi ya hapo imekuwa mtihani kwelikweli.
Tozo gangMada kama hizi zilikua zinafanya mtu aitwe "Sukuma Gang"
Sasa hivi sijui wanaitwaje..🤣
On a serious note,mada hii ni muhimu...