ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Unapima assist kwa wachezaji gani?unaweza sema Ozil amedrop Asernal hana assist za kutosha lakini kimsingi ametoa assist nyingi tatizo hamna wafungaji em fikiria Giroud amemiss assist ngap za Ozil alafu linganisha CR7 amemiss assist ngap za Ozil.uwezo anaoonesha akiwa amepata mpira peke ake uwanjani!
kuna kutoa assist
kucreate chance
kutoa pass za uhakika
kufunga
kudrible
kufunga solo goal
izo ni moja ya sifa mchezaji anapopata mpira peke ake uwanjani na akzionesha kwa hali ya juu basi anakua mchezaji mzuri
gaucho kawazidi nini
nimemuona vizuri na nibeki mzuriUnamjua maldini au umesimuliwa?
gaucho alikua na etoo henryUnapima assist kwa wachezaji gani?unaweza sema Ozil amedrop Asernal hana assist za kutosha lakini kimsingi ametoa assist nyingi tatizo hamna wafungaji em fikiria Giroud amemiss assist ngap za Ozil alafu linganisha CR7 amemiss assist ngap za Ozil.
vigezo ili uitwe football god ni vipi ?Gaucho alifanya soka lionekane mchezo wa furaha.......
Gaucho kote alikopita aliitwa football god....
Barca, ac Milan, PSG, flamengo, fluminense, mineiro etc
safi we umenielewa mkuuGaucho sio sawa Messi au Ronaldo, hajawafikia hao. Ila Gaucho akicheza mpira anavutia zaidi kuangaliwa. Kila anapocheza kuna kitu kipya kizuri utakiona, na mpira wake haukua wa stress, hata wafungwe vipi yeye chenga atapiga tu.
huna macho ? mpaka mediaSasa hivi hao wakina messi na ronaldo media zinawapa sana promo.
kwa kipi?Gaucho hafananishwi
Wewe ungesema vitu ambavyo Gaucho hana maana kwangu ni most complete striker I've seen so fartwende taratibu
mchezaji kwako aliekamilika anatakiwa awe na vitu gan ?taja hata vinne
kati ya hivo vinne utagundua vyote kazidiwa
Pengine hajamshuhudia Gaucho uwanjaniHivi ile Barcelona ya around miaka 2006 Hivi unasemaje Gaucho hakuwa mtu wa msaada na timu? mmhh! Wewe ni mshabiki au mpenzi wa mpira?
Au unaona clips zake tuu?
"Kumzuia Ronaldinho ni kitu ambacho hakiwezekani ila tutakachofabya ni kuzuia pasi zinazoenda kwake, ili asilete madhara" - Zidane, World Cup Quarter Final 2006.
Sasa kama Zizou alikuwa anamjua huyu jamaa madhara yake kwa kuchezesha/msaada kwenye timu, afu wewe Mmatumbi unasema uliyosema.....Tanzania ya viwanda tutaisikia
Ila kumzuia mesi inawezekana?Hivi ile Barcelona ya around miaka 2006 Hivi unasemaje Gaucho hakuwa mtu wa msaada na timu? mmhh! Wewe ni mshabiki au mpenzi wa mpira?
Au unaona clips zake tuu?
"Kumzuia Ronaldinho ni kitu ambacho hakiwezekani ila tutakachofabya ni kuzuia pasi zinazoenda kwake, ili asilete madhara" - Zidane, World Cup Quarter Final 2006.
Sasa kama Zizou alikuwa anamjua huyu jamaa madhara yake kwa kuchezesha/msaada kwenye timu, afu wewe Mmatumbi unasema uliyosema.....Tanzania ya viwanda tutaisikia
wapi nimesema hakua na msaada?Hivi ile Barcelona ya around miaka 2006 Hivi unasemaje Gaucho hakuwa mtu wa msaada na timu? mmhh! Wewe ni mshabiki au mpenzi wa mpira?
Au unaona clips zake tuu?
"Kumzuia Ronaldinho ni kitu ambacho hakiwezekani ila tutakachofabya ni kuzuia pasi zinazoenda kwake, ili asilete madhara" - Zidane, World Cup Quarter Final 2006.
Sasa kama Zizou alikuwa anamjua huyu jamaa madhara yake kwa kuchezesha/msaada kwenye timu, afu wewe Mmatumbi unasema uliyosema.....Tanzania ya viwanda tutaisikia
Mess Anazuiwa hadi na mtoto wa chekechea,Ila kumzuia mesi inawezekana?
hahahha si ndo hapoIla kumzuia mesi inawezekana?
HahahahaMess Anazuiwa hadi na mtoto wa chekechea,
Sema media Zinawapromote sana na mabeki zao hao wala mayai na kuku wa kisasa
Well..Umeanza kufuatilia mpira katika Era ipi?? Yaani katika miaka ipi ulikuwa upo serious na mchezo wa mpira???
Uliwahi kufuatilia mechi ambazo Gaucho alikuwa anakuwa featured katika level ya club na timu ya Taifa???
Majibu ya maswali yako naweza kujaribu kukujibu kama ifuatavyo..
Uwezo:
Alikuwa na uwezo wa ku dribble, stamina ya kuficha na control ya hali ya juu!!
Pia alikuwa na skills, creativity ya hali ya juu ambapo aliweza kuonesha utofauti akiwa uwanjani..
Nawakubali sana Messi na Ronaldo ila siwezi kudharau wa nyuma yao maana kila zama na ma gwiji wake
umeangalia mpira mkuu ?Mess Anazuiwa hadi na mtoto wa chekechea,
Sema media Zinawapromote sana na mabeki zao hao wala mayai na kuku wa kisasa