MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
ππππππ kumbe una google takwimu.yani mpaka kupiga faulo mkuu hahhaha em lala kwanza
Kama ni mfatiliaji wa mpira na ukakosa kuwaona hao mwamba wanasakata kabumbu utakuwa umekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yako.
Dogo hizo takwimu zako zitakuambia kuwa Kelvin de bruein ni bora kuliko Iniesta.
Ukiludi uwanjani utaelewa nani ni mkali.