katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
- Thread starter
- #141
hiz
ujanielewa nimesema sifa hizo anazo ila sio kwa levo ya mess cr7Naamini umeanza ushabiki ukubwani, kabla ulikua unashabikia mchezo mwingine. Haiwezekani useme ronaldinho hakuwa na sifa ulizotaja.
Usikasirike, ni vitu vya kawaida.