Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

hiz
Naamini umeanza ushabiki ukubwani, kabla ulikua unashabikia mchezo mwingine. Haiwezekani useme ronaldinho hakuwa na sifa ulizotaja.
Usikasirike, ni vitu vya kawaida.
ujanielewa nimesema sifa hizo anazo ila sio kwa levo ya mess cr7
 
Duh..
Dinho hawezi kucreate chance? Labda nikuwekee sawa sentence yako uelewe, kucreate chance ndio assists...
Sina la ziada mkuu, sina la kuongea tena ktk uzi huu.
japo umepotea ila twende tu

anacraete ndio je ni kwa levo ya messi cr7

sjui umenielewa
 
Mtafute mtu anaitwa Gang Chomba atakusimulia kuhusu huyo kiumbe adimu...Mwenyewe humuita Saint Gaucho!

Inasemekana Gaucho akiwa na mpira hata malaika hutulia na kufuatilia kutaka kujua atafanya nini...inasemekana lakini!

Hakuna mechi ya Barca iliwahi kunipita wakati huyo kiumbe bado akilisakata kabumbu wakati huo nikiwa mpenzi wa Real Madrid...Naaam Gaucho alifanya nikapenda kuangalia mpira!
 
Naamini umeanza ushabiki ukubwani, kabla ulikua unashabikia mchezo mwingine. Haiwezekani useme ronaldinho hakuwa na sifa ulizotaja.
Usikasirike, ni vitu vya kawaida.
vitu anavofanya gaucho uwanjan messcr7 wanam-double mkuu

ila sio kwa kugandisHa mipira kifuani na tobo hata mimi namkubali mkuu kwahili
 
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
Chief
Lau utatulia vzr,huenda ukanikubali

Gaucho,alicheza mpira kama starehe hususan kuwafurahisha Mashabiki zake,hakuwa uwanjani kwa ajili nyengine
Ila
Kwa uwezo wake,anaweza kufanya lolote hata kuwazidi hao uliowataja mara 10 yao
Ana uwezo
Ana uwezo
Ana Uwezo

Usimfananishe Gaucho na wafua nepi ww Chalii.....
 
Mtafute mtu anaitwa Gang Chomba atakusimulia kuhusu huyo kiumbe adimu...Mwenyewe humuita Saint Gaucho!

Inasemekana Gaucho akiwa na mpira hata malaika hutulia na kufuatilia kutaka kujua atafanya nini...inasemekana lakini!

Hakuna mechi ya Barca iliwahi kunipita wakati huyo kiumbe bado akilisakata kabumbu wakati huo nikiwa mpenzi wa Real Madrid...Naaam Gaucho alifanya nikapenda kuangalia mpira!
akiwa na mpira hata kufunga hattrick kwa granada ni mbinde afu 😆😆😆unasema malaika wanatulia
 
Ni dhambi kumfananisha Gaucho na mchezaji mwingine, dhambi kubwa
 
Duh..
Dinho hawezi kucreate chance? Labda nikuwekee sawa sentence yako uelewe, kucreate chance ndio assists...
Sina la ziada mkuu, sina la kuongea tena ktk uzi huu.
ona kituko huyu yani chance create anasema ni assist sijui assist iwe nini
 
akiwa na mpira hata kufunga hattrick kwa granada ni mbinde afu [emoji38][emoji38][emoji38]unasema malaika wanatulia
Hatrick ndio kithibitisho cha ubora? Basi Chirwa ni bora kuliko gaucho,
 
ukitaja vitu naomba unitajie hivo vitu hata viwili ili tujue ivo vitu ni muunganiko wa vitu gani ?

usiongee tu quality ,ya vitu, vitu gani?
Ndugu yangu umesoma titles za hizo video??nimekuwekea karibia vigezo vyote ulivyosema kila kigezo na video zake, freekick goals 66, dribbling skills, solo goals nk unataka nini tena?Ukiweka hoja mezani Kwa ajili ya ushindani wa hoja usiamue kuwa kichwa ngumu, wenzako wakija na hoja zenye mashiko badili mtizamo, vinginevyo utaonekana umekuja kubisha tu.Ukiamua kubisha tu Hakuna anayeweza kubadilisha uamuzi wako
 
Chief
Lau utatulia vzr,huenda ukanikubali

Gaucho,alicheza mpira kama starehe hususan kuwafurahisha Mashabiki zake,hakuwa uwanjani kwa ajili nyengine
Ila
Kwa uwezo wake,anaweza kufanya lolote hata kuwazidi hao uliowataja mara 10 yao
Ana uwezo
Ana uwezo
Ana Uwezo

Usimfananishe Gaucho na wafua nepi ww Chalii.....
unamaanisha alikua na uwezo wakufunga ila afungi makusudi? au

furah ya mashabiki ni ipi kubwa kati ya ushindi na tobo ?
 
akiwa na mpira hata kufunga hattrick kwa granada ni mbinde afu 😆😆😆unasema malaika wanatulia
Mkuu mpira si kufunga tu.. Gaucho alikua anaupa mpira utamu wa kipekee akiwa uwanjani! Ni mchezaji pekee aliwahi kupata standing ovation pale Santiago Bernabeu offcourse Messi nae alituvuruga pale ila Gaucho aliwafurahisha wapenzi wa Madrid pale pale nyumbani kwao wakasimama na kumpa heshima yake!

Pengine umekuja kuhadithiwa tu yaliyojiri wakati Gaucho akiwa uwanjani..ila sisi wengine tulimuoana , tukamfuata na kuendelea kufurahia kipaji kile adimu
 
Huyu Mfungua uzi huenda amemaliza Darasa la Saba mwaka 2015

Maana anaongea kama hana meno vile.....
 
Huyu Mfungua uzi huenda amemaliza Darasa la Saba mwaka 2015

Maana anaongea kama hana meno vile.....

Yaani mfungua uzi kaleta hoja lakini kila anayeleta uchambuzi yeye anapinga tu. Sasa kama ana majibu yake tayari alifungua uzi wa nini?
 
ujanielewa wewe haina haja ya kumuangalia ytube
na tumemshuhudia wote

ukitoa danadana ronadinyo unaweza msajili kwenye timu yako?
mbele ya messironaldo

ikitoa danadana messironado wanafanya yote ya gaucho mara tatu zaidi

unaweza taja ambacho kawazidi ukitoa kuweka mpira mgongoni?
Vijana mlioanza kuangalia mpira enzi za Messiah na CR7 mna shida sana... Ulimuangalia hata the Phenomenon enzi zake akiwa barca kabla hajenda italy?
 
Back
Top Bottom