Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

yani mpaka kupiga faulo mkuu hahhaha em lala kwanza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe una google takwimu.
Kama ni mfatiliaji wa mpira na ukakosa kuwaona hao mwamba wanasakata kabumbu utakuwa umekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yako.
Dogo hizo takwimu zako zitakuambia kuwa Kelvin de bruein ni bora kuliko Iniesta.
Ukiludi uwanjani utaelewa nani ni mkali.
 
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?

Mtoa mada naomba urejee video za Gaucho akiwa uwanjani uone kisha utajibu mwenyewe.

Kwa upande wangu bado nakazia kuwa HAKUNA KAMA GAUCHO sema siku hizi vijana wanaocheza mpira wanatangenezwa na drama zikiwemo ndani yake. Wakati wa zamani wachezaji walikuwa wakionesha ufundi wao wazi kabisa.

Kingine, mfumo wa mpira siku hizi upo kivingine yaani sio rahisi kuona mtu akitoka na mpira goli hadi goli akipiga chenga.
 
wewe faulo imetokea unampa messi gaucho

sasa mtu kakuzidi takwimu unakuaje mkali kuliko yeye tena?

kila sehemu unayogusa mtu. mwingine anafanya mara tano yako utakuaje mkali hapo sasa kumpita
 
unajua kama messicr7 wana magoli mengo ya kutoka na mpira mpaka golini kuzidi gaucho?
 
Nadhani ni wachezaji wawili tu Walipigiwa makofi na mashabiki adui wa timu pinzani nao ni RONALDINHO na LIONEL MESSI
 
wewe faulo imetokea unampa messi gaucho

sasa mtu kakuzidi takwimu unakuaje mkali kuliko yeye tena?

kila sehemu unayogusa mtu. mwingine anafanya mara tano yako utakuaje mkali hapo sasa kumpita
Siwezi kukulaumu kama ungemuona gaucho yote usinge sema.
Faulo za gaucho zinatumika darasani kufundishia wakina messi na cr7.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe una google takwimu.
Kama ni mfatiliaji wa mpira na ukakosa kuwaona hao mwamba wanasakata kabumbu utakuwa umekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yako.
Dogo hizo takwimu zako zitakuambia kuwa Kelvin de bruein ni bora kuliko Iniesta.
Ukiludi uwanjani utaelewa nani ni mkali.
iniesta huyu huyu kiungo mchezeshaji lakini anamaliza msimu na asist chini ya 4 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
au kwako mpira ni pass nyingi zisizo na madhara

au goli la kombe la dunia ndo linakuchanganya

majadala si iniesta
 
wapi nimesema hakua na msaada?

huwezi mzuia gaucho ?umemwangalia kweli wewe?

tuelewane gaucho anauwezo mkubwa sana uwanjani ila hafiki uwezo wa messcr7 uwanjani

madhara ya mpira wa miguu ni magoli assist chance creativity na vyote kazidiwa !

mpaka hapa unamhitji zadane akuambie !
Hivi Ronaldo Ana assist ngapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe una google takwimu.
Kama ni mfatiliaji wa mpira na ukakosa kuwaona hao mwamba wanasakata kabumbu utakuwa umekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yako.
Dogo hizo takwimu zako zitakuambia kuwa Kelvin de bruein ni bora kuliko Iniesta.
Ukiludi uwanjani utaelewa nani ni mkali.
hahhahaha ujui takwimu ni record data ya kilichofanyika uwanjani na mchezaji?

kiufupi takwimu za mpira ni marudio ya tulichokishuudia?
 
Ronaldinho free kicks... 66
Messi free kicks... 52
Ronaldo free kicks.. 55
 
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
Kwanza umefanya dhambi kusema " eti mmefikia kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo" Hiyo ilibidi iwe kinyume na unavyosema. Iwe messi na ronaldo wanalinganishwa na gaucho.
Gaucho alikuwa na kila kitu na kubwa zaidi alikuwa ni ENTERTAINER. Kuna raha kumuangalia gaucho kuliko cr7 au kiwete messi.
So, unapo muandika, mpe heshima yake.
 
vit

taja vitatu anavowazidi basi au dandana ?
 
hahhahaha ujui takwimu ni record data ya kilichofanyika uwanjani na mchezaji?

kiufupi takwimu za mpira ni marudio ya tulichokishuudia?
Kwa takwimu zako iniesta na kevin de bruyne nani mkali?
 
vit

taja vitatu anavowazidi basi au dandana ?
1. moja na kubwa ni entertainment, kuna raha sana kumuangalia Gaucho akicheza.
2. Huwa anacheza kwa ajili ya timu.
Mi si mzuri wa records ila imani yangu ni kuwa jamaa ni mzuri zaidi ya hao.
 
Back
Top Bottom