ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Unapima assist kwa wachezaji gani?unaweza sema Ozil amedrop Asernal hana assist za kutosha lakini kimsingi ametoa assist nyingi tatizo hamna wafungaji em fikiria Giroud amemiss assist ngap za Ozil alafu linganisha CR7 amemiss assist ngap za Ozil.uwezo anaoonesha akiwa amepata mpira peke ake uwanjani!
kuna kutoa assist
kucreate chance
kutoa pass za uhakika
kufunga
kudrible
kufunga solo goal
izo ni moja ya sifa mchezaji anapopata mpira peke ake uwanjani na akzionesha kwa hali ya juu basi anakua mchezaji mzuri
gaucho kawazidi nini