Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

Gaucho mpira wake ulikuwa burudani sana, kila akishika mpira tegemea chochote cha kukuburudisha kutokea!! Ila kutokana na mambo yake ya kibinadamu alishindwa kudumu kwenye ubora wake kwa muda mrefu kama wenzie messi na cr7 ndio maana anaonekana kama si chochote mbele yao! Lakini jamaa alikuwa amekamilika na anastahili heshima zake, usikute hata hao akina messi nao wanatamani wangekuwa na skills na manjonjo kama yake!!
Kwa mtazamo wangu, haraka haraka messi na cr7 wataonekana bora zaidi ya gaucho kwa sababu ya kuweza kucheza kwa mafanikio kwenye clubs zao na kukaa kwenye ubora kwa muda mrefu, na hayo ndio mategemeo ya kila mchezaji uwanjani.
 
Heeheee angalia vijana walioanza kushabikia mpira mwaka 2015,...
Enzi zetu mpira ulikua kachumbari, makanzu kanzu, matobo, machenga ya kutwanga na kupepera ebu mwambieni uyu kijana kama okocha aliwai kuchenga mtupaka akavunjika kiuno, mpiraa ulikua buuuuruuuuudaaaaaaniiiii,
Sio siku izi mpira hakuna mnaesabu magori tu eboo eti dribo speed, waulize mabeki waliomkaba dinho kama kuna mtu alithubutu kunyakua mpira akiuweka katikati ya miguu, acheni masihara vijana mpira ulikua zamani sio sasa
 
Hiyo burudani hata Okocha alikuwa nayo ambayo haina msaada kwa timu
We kijana okocha alikua anapiga mavyenga unasikia utamu kama una ugwadu wa siku mbili unapiga bao, so siku izi mpira mkavu hauna radha
 
ndoo maana nikasema gaucho hana jipya uwanjani ukitoa tobo na kanzu sijui umenielewa
vitu vingine vinavohusu mpira uwanjani hawafikii hawa watooto
hawa watoto kila unachotaka anakupa kwa asilimia 97

na lengo kuu la mechi ni ushindi fanya yote ila tunasubiri ushindi
 
Tawireee uyu kijana anawafananisha malegend na mayoungsters
umekurupuka nimesema uwezo binafsi anapokua uwanjani

kombe la dunia dembele,giroud, villa wanayo unajua hilo?

pedro anamakombe yote mpaka ambayo gaucho hana unajua hilo?
 
vigezo ili uitwe football god ni vipi ?

kama ni danadana na kuweka mpira begani tupo pamoja mkuu

ila kwasifa nyingine za kichezaji hamna kitu
Yani magoli, assists na makombe ya maana aliyochukua kwako vyote ni danadana sio?!

Ina maana hata FIFA walikua wanapenda danadana zake kuliko ww na kumpa best player of the world mara mbili?
 
Sasa izo chenga na tobo anachezea shambani, braza ukimuuliza messi atakuambia rolo modo wake ni dinyo,
 
Ni kweli bana pengine ata dinyo hamfaham
hahajahahah dinyo hana madhara ya messi/ cr7 uwanjani

nitajie uwezo wa uhakika wa gaucho ukitoa danadana za visigino unaodhani messi na ronaldo bado hawajamfikia
 
umekurupuka nimesema uwezo binafsi anapokua uwanjani

kombe la dunia dembele,giroud, villa wanayo unajua hilo?

pedro anamakombe yote mpaka ambayo gaucho hana unajua hilo?
Kuna jamaa mmemwonesha comment zako amesema kama uwezi kushabikia mpira nenda kwenye muvi
 
Yani magoli, assists na makombe ya maana aliyochukua kwako vyote ni danadana sio?!

Ina maana hata FIFA walikua wanapenda danadana zake kuliko ww na kumpa best player of the world mara mbili?
safi
aya kwa vigezo ivo nambie gaucho kwazidi kipi messi/cr7

huoni ivo ulivotaja wanamzidi mbali mno huyo gaucho

kwanini na wao wasiiwe football god mara kumi ya gaucho
 
Kuna jamaa mmemwonesha comment zako amesema kama uwezi kushabikia mpira nenda kwenye muvi
mbona taarabu

twende kwa uhalisia si maneno

taja gaucho anawazidi nini hawa kwa uwezo binafsi wa mchezaji anapokua uwanjani?
 
Sasa izo chenga na tobo anachezea shambani, braza ukimuuliza messi atakuambia rolo modo wake ni dinyo,
chenga zina madhara gani?
tunaangalia chenga zinaishia wapi golini ,asist ,chance create au unapiga chenga ili mradi tu

kua role modo sijakataaa
unaweza nambia kitu gani messi anafanana na gaucho?
hivi huoni messi kamzidi kila kitu gaucho?
 
magoli?

vipi kuhusu
assist
dribble per game
chance created
shoot
pass accurate
dribble speed
solo goals
free kick
Mpira umeanza kuangalia mwaka gani?
Nimekuambia wanamzidi magoli tu.
Messi na CR7 wamewazidi wakina KAKA,ZIDANE,OKOCHA na wengine ni magoli tu.
Inaonekana mpira umeanza kuangalia juzi.
Wanachojivunia MESSI NA CR7 Ni magoli hakuna kingine.
Kama hauwamini wapigie simu watakwambia.
 
asee hahahhahhahaha

kaangalie takwimu zako urudi

nilicho kiandika hao uliowataja labda uwaunganishe !
 
yani mpaka kupiga faulo mkuu hahhaha em lala kwanza
 
hahaha mkuu unamiliki timu yako unaambiwa uchague mmoja kati yao unachukua nani?

A
mtu anaekupa goal 30 ña assist 20 na chance created za kutosha kila msimu au mtu anaegandisha mpira kifuani

jibu. hapo
Inaonekana kwenye mpira bado sana.
Sasa hapa ndio nimejua kuwa GAUCHO humjui umehadithiwa tu.
Achana na kugandisha mpira kifuani anakupigia goli za kutosha ana ku assist na kombe uwakika unajua goli la kwanza la messi assist alitoa nani?
Mpira wa sasa umebadilika sana sio sawa na ule wa miaka 15 nyuma.
Messi na cr7 kama wangecheza kwenye era za wakina gaucho,zidane,okocha,kaka,viera na wengine wengine wengi basi hao watu wako ungewaona takataka tu.
Wakati huo no 6 na mabeki walikiwa wakatili kwelikweli na watu walikuwa wanaonyesha maufindi kama kawa.
Cr7 alimkuta gattuso kashazeeka na alimtoa mavi.
 
Mtoa mada umeanza kufutilia mpira kwenye simu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…