Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,293
- 70,866
Gaucho mpira wake ulikuwa burudani sana, kila akishika mpira tegemea chochote cha kukuburudisha kutokea!! Ila kutokana na mambo yake ya kibinadamu alishindwa kudumu kwenye ubora wake kwa muda mrefu kama wenzie messi na cr7 ndio maana anaonekana kama si chochote mbele yao! Lakini jamaa alikuwa amekamilika na anastahili heshima zake, usikute hata hao akina messi nao wanatamani wangekuwa na skills na manjonjo kama yake!!
Kwa mtazamo wangu, haraka haraka messi na cr7 wataonekana bora zaidi ya gaucho kwa sababu ya kuweza kucheza kwa mafanikio kwenye clubs zao na kukaa kwenye ubora kwa muda mrefu, na hayo ndio mategemeo ya kila mchezaji uwanjani.