Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

Hili swali tungemuuliza John Terry na wenzie ilikuaje wakakata Mauno wakati wanamzuia Gaucho
 
Reactions: BRB
upo sahihi

anavyo ndio je? ni kwa kiwango alicho nacho messi/cr7
NDIO. Ila cr7 mtoe kwenye aina hii ya uchezaji ya level za Gaucho. Ko apo ungeuliza Je? Ni kwa kiwango alichonacho Messi?.

Cristiano ni aina ya uchezaji wa kina Pere, Lewandosk, Diego Costa,Mandzkch, Dilima. Suarez, Kagere, Mavugo, nk..

Simaanishi kuwa analingana nao but aina ya uchezaji inafanana. Yan hawa jamaa kazi zao uwanjani nikutupia kamba2 habari za assist, dribbling, technic, ball exaggeration huwa inatokea kama ajali2. But Mtu kama Gaucho (Fundi) , Messi, Hazard, Isco, Maradona, Neymar, Morrison nk hawan ndo wanacheza aina moja ya mpira
 
We ulieuliza kuhusu Gaucho naona ulitaka tu kubishana na watu. Wenzio wanauliza vitu ambavyo hawavifahamu, sasa ww unauliza huku una majibu yako.


Gaucho alifunga magoli mengi ya freekick. Ingia youtube utayaona hata faulo mbazo hakuna mchezaji mwengine aliyefunga. Na timu zote alizochezea yy ndio alikuwa mpiga faulo anayetegemewa.

Gaucho katoa assist nyingi sana, hasa Barcelona.

Ktk ku dribble hilo sio la kuuliza. Hivi mtu anasema Ronaldo na Messi wamemzidi Gaucho kudribble daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Gaucho pia alikuwa na Speed, labda Ronaldo ndo anamzidi kwa speed Gaucho, ila sio Messi.

Hivyo unavyosema Gaucho hawafikii Messi na Ronaldo sijui Gaucho yupi unayemzungumzia ww[emoji849][emoji849][emoji849]. Messi na Ronaldo wamemzidi Gaucho idadi ya Magoli.

Pia Gaucho alikuwa Playmaker zaidi kuliko kuchezeshwa kama Striker lakini alifunga vilevile.

Messi amejifunza mengi sana huyu jamaa.

Na alikuwa mchezaji wa kutegemewa, kwa sababu alikuwa na madhara sana kwa timu pinzani.

Mchezaji wa Barcelona kupigiwa makofi Bernabeu sio jambo dogo. Mashabiki wa Madrid hawakumpigia makofi Gaucho kwa sababu ya chenga zake, au kupiga visigino vyake na kutoa pasi kwa mgongo, bali ubora wake uwanjani ndo ulifanya apigiwe makofi na wapinzani tena ktk DERBY kubwa duniani.

Kitu ambacho Gaucho aliharibu ni kutodumu ktk ustaa na kiwango chake km Messi na Robaldo. Na hii ilitokana na maisha yake binafsi nje ya uwanja.
Lakini sio kusema hawafikii Messi na Ronaldo kwa vigezo ulivyoweka.

Wenzio wanauliza vitu ambavyo hawavijui ili waweze kujua. Sasa wewe unauliza huku una majibu yako mfukoni ili ubishane[emoji849][emoji849][emoji849]

Messi na Ronaldo wamemzidi Gaucho idadi ya Magoli ya kufunga.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ww humjui cristiano ronaldo au unaongea mahaba,
 
Gaucho habari nyingine wewe hao akina Messi na Ronaldo hawana uwezo aliokuwa nao GAUCHO.


 
2005/2006 top assists provider LA LIGA
2005/2006 top assists provider CL
 
Series A top assister 2009/2010.
Copa libertadoress top assists 2012,2013
 
Dinho ndo. Mchezaji bora kwa Mabara mawili tofauti.
ULAYA.... 2005.
America Kusini 2013.
 
chenga zina madhara gani?
tunaangalia chenga zinaishia wapi golini ,asist ,chance create au unapiga chenga ili mradi tu

kua role modo sijakataaa
unaweza nambia kitu gani messi anafanana na gaucho?
hivi huoni messi kamzidi kila kitu gaucho?
Atamzidi vip wakati dinyo ni legend na mess dogo tu wa jana, unalazmisha maji kupanda mlima

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Au mnazungumzia mcheza
burudani ya kuweka mpira kwenye kisigino namkubali pia
ila ukamilifu wa mchezaji hawafikii hawa watu
messi ronaldo wana kila kitu tena kwa asilimia za juu kabisa
Au mnazungumzia mchezaji wa Namungo aliyechezea Mtibwa, Simba na Azam
 
Atamzidi vip wakati dinyo ni legend na mess dogo tu wa jana, unalazmisha maji kupanda mlima

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app


Mbongo na mpira dahh 🤣🤣




Gaucho mchezaji wa miaka mitatu utamlinganisha vipi na Messi aliedumu zaidi ya 10years katika ubora wake na kuipa mataji timu yake + Golden boot and Ballon d'ore za kumwaga kuliko mchezaji yeyote duniani !! Mchezaji wa kumlinganisha na Messi ni Maradona peke yake, though Maradona amecheza muda mfupi katika ubora wake usiofanana na hao mabishoo wako waliocheza miaka mingi ..maajabu aliyoyafanya yo soy el diego, gaucho n.k wakasome, madawa ya kulevya tu ndio yalimkalisha nje kwa muda mrefu otherwise yangekua mengine....ingia youtube umuone Golden boy "Yo soy el Diego Armando Maradona alafu uje na feedback babaa.


Messi ana kila kitu na hana mfanoe katika wachezaji, kwanzia mataji, na kudumu katika ubora wake ule ule.

1 Messi✔
2 Maradona✔
 
Hata kina canavaro kuanzia kwa

mkuu, uwe na adabu! Huu ukuta unaopelekeshwa hapa ni wa kina canavaro..
Tukiwaambia hawa watu kuwa Ronaldinho ni the last prophet of soccer huwa wanabisha. Angalia vikosi vilivyosheheni watu, mtu huwezi amini Zidane na Ronald "the phenomenon " walikuwepo uwanjani.
 
Tukiwaambia hawa watu kuwa Ronaldinho ni the last prophet of soccer huwa wanabisha. Angalia vikosi vilivyosheheni watu, mtu huwezi amini Zidane na Ronald "the phenomenon " walikuwepo uwanjani.
babu eeeehhh wengine unawaacha tu ,sidhani kama kuna siku washabiki na wapenzi wa Madrid walisamama kumpigia makofi Messi ,ila mechi ya Elclasisco tena Santiago na zaidi wakiwa wamefunga,kwa kwenda mbali zaidi akiwa amewafunga mwenyewe uwanja mzima unasimama kumpigia makofi St Gaucho akifanyiwa sub yaani kwa kifupi Wapenzi washabiki na wanachama wa Real Madrid wanampongeza mbaya wao St Gaucho kwa kuwapa burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…