Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki zako haziwezi kubadilisha ukweli, una shida kichwani kumlinganusha Gaucho na Neyma.
NDIO. Ila cr7 mtoe kwenye aina hii ya uchezaji ya level za Gaucho. Ko apo ungeuliza Je? Ni kwa kiwango alichonacho Messi?.upo sahihi
anavyo ndio je? ni kwa kiwango alicho nacho messi/cr7
Una uhakika hizo burudani hazina msaada kwa timu kweli?Hiyo burudani hata Okocha alikuwa nayo ambayo haina msaada kwa timu
Umenikosesha hata power ya kuendelea kubishana na wewe hebu nenda YOUTUBEHiyo burudani hata Okocha alikuwa nayo ambayo haina msaada kwa timu
Ww humjui cristiano ronaldo au unaongea mahaba,NDIO. Ila cr7 mtoe kwenye aina hii ya uchezaji ya level za Gaucho. Ko apo ungeuliza Je? Ni kwa kiwango alichonacho Messi?.
Cristiano ni aina ya uchezaji wa kina Pere, Lewandosk, Diego Costa,Mandzkch, Dilima. Suarez, Kagere, Mavugo, nk..
Simaanishi kuwa analingana nao but aina ya uchezaji inafanana. Yan hawa jamaa kazi zao uwanjani nikutupia kamba2 habari za assist, dribbling, technic, ball exaggeration huwa inatokea kama ajali2. But Mtu kama Gaucho (Fundi) , Messi, Hazard, Isco, Maradona, Neymar, Morrison nk hawan ndo wanacheza aina moja ya mpira
Ww humjui jay jay okocha, huyo gaucho anamjua na alicheza nae timu moja.Umenikosesha hata power ya kuendelea kubishana na wewe hebu nenda YOUTUBE
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
Atamzidi vip wakati dinyo ni legend na mess dogo tu wa jana, unalazmisha maji kupanda mlimachenga zina madhara gani?
tunaangalia chenga zinaishia wapi golini ,asist ,chance create au unapiga chenga ili mradi tu
kua role modo sijakataaa
unaweza nambia kitu gani messi anafanana na gaucho?
hivi huoni messi kamzidi kila kitu gaucho?
Au mnazungumzia mchezaji wa Namungo aliyechezea Mtibwa, Simba na Azamburudani ya kuweka mpira kwenye kisigino namkubali pia
ila ukamilifu wa mchezaji hawafikii hawa watu
messi ronaldo wana kila kitu tena kwa asilimia za juu kabisa
Atamzidi vip wakati dinyo ni legend na mess dogo tu wa jana, unalazmisha maji kupanda mlima
Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
Tukiwaambia hawa watu kuwa Ronaldinho ni the last prophet of soccer huwa wanabisha. Angalia vikosi vilivyosheheni watu, mtu huwezi amini Zidane na Ronald "the phenomenon " walikuwepo uwanjani.Hata kina canavaro kuanzia kwa
mkuu, uwe na adabu! Huu ukuta unaopelekeshwa hapa ni wa kina canavaro..
matusi hayayani ukiimtolea kunatanata na mpira hamna kitu hata kwa neyma hafiki
babu eeeehhh wengine unawaacha tu ,sidhani kama kuna siku washabiki na wapenzi wa Madrid walisamama kumpigia makofi Messi ,ila mechi ya Elclasisco tena Santiago na zaidi wakiwa wamefunga,kwa kwenda mbali zaidi akiwa amewafunga mwenyewe uwanja mzima unasimama kumpigia makofi St Gaucho akifanyiwa sub yaani kwa kifupi Wapenzi washabiki na wanachama wa Real Madrid wanampongeza mbaya wao St Gaucho kwa kuwapa burudaniTukiwaambia hawa watu kuwa Ronaldinho ni the last prophet of soccer huwa wanabisha. Angalia vikosi vilivyosheheni watu, mtu huwezi amini Zidane na Ronald "the phenomenon " walikuwepo uwanjani.