Uwezo wa Zembwela

Uwezo wa Zembwela

Ana jazba kwenye hoja zake... na uchale mwingi sana. Anahisi bado yupo kwenye igizo la mizengwe.
 
Huyu hana uelewa sana...mara nyingi anadhani yeye anajua sana
 
jamaa yuko vzuri kwenye kipindi cha uswazi
 
Ana jazba kwenye hoja zake... na uchale mwingi sana. Anahisi bado yupo kwenye igizo la mizengwe.

Hivi Zembwela wa Mizengwe,Uswazi na Jay Milions ni huyuhuyu? Kuna mtu nilimwambia akawa anabisha kuwa wa kwenye Mizengwe ni mwingine. ufafanuzi please.
 
Angebaki na kipindi chake cha uswazi tu maana akimudu sana.

Nami nashindwa kumwelewa mleta hoja. Tunaujadili uwezo wa Zembwela katika uendeshaji wa kipindi gani? Kama ni Uswazi wala haupo mjadala na anakimudu kipindi vizuri mno na amejivunia watazamaji wengi wa kipindi chake. Kama kuna kingine anachokiendesha sielewi. Suala la elimu tuanze na ya kwako kwanza. Kwani hawapo wenye elimu kubwa lakini hawawezi kuendesha chochote na kueleweka?.
 
Kiukweli kwa jinsi nilivyokuwa nikimfuatilia jamaa katika super mix na uswazi anajitahid sana kwa uwezo wake katika kuelezea mambo ambayo kwa namna moja au nyingne hata wasomi wetu hawathubutu
Niwaombe tu ndugu zangu pale Eatv pamoja na Ea-radio customers tunayo nafasi ya kutoa maoni na ushauri pia kwa Yale ambayo tunaona hayako sawa...
Ikiwa kweli tuna nia ya dhati kumjenga bwana Zembwela basi tumpe maoni na ushauri ili kumjenga...
 
ajui kitu uyu Luna jamaa anaitwa maleli yuko moshi FM uyu jamaa anajua kuchambua sana ana makelele kama ya zembwela
 
Jamaa anatakiwa kujua wapi awe serious na wapi aweke commedy..akishafanya hivyo baas he is good
 
Wewe mswazi? or nowadays kipindi cha uswazi kinapatikana pia huko DSTV ?

Tuachie wenyewe WAUSWAZI tunamuelewa sana jombaa , kwa uccm siungi sana mkono coz jamaa kunasaa huwa anawaacha uchi hadi naogopa .

ukihisi humuelewi temana nae fanya yako if aje arifu.
 
Kwa sababu ya bangi...ni mtumiaji mzuri tu wa hiyo kitu, alitaka kujaribu unga wakamwambia atakuwa bwabwa akaacha


hahahaha! mkuu umenifurahisha sana kwa comment yako! pamoja na kunifurahisha nimengundua kwenye ubongo wako kuna upunguvu wa madini flani!
 
Back
Top Bottom