robert deusi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2014
- 399
- 69
Mi huwa namuona hewa tu
Bora zembwela kuliko mnafiki zitto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi huwa namuona hewa tu
Jamaa ana kipaji cha kuongea licha ya elimu yake ndogo, ila pia ni bange mtu...kwake ni bora akose msosi lakini sio jani!
Kwa sababu ya bangi...ni mtumiaji mzuri tu wa hiyo kitu, alitaka kujaribu unga wakamwambia atakuwa bwabwa akaachaHalafu hawezi kutamka vizuri maneno, sijui mate huwa yanamjaa mdomoni!
Ana jazba kwenye hoja zake... na uchale mwingi sana. Anahisi bado yupo kwenye igizo la mizengwe.
Angebaki na kipindi chake cha uswazi tu maana akimudu sana.
Naunga mkono hoja.......ni gamba sana,anaweza akakandia wapinzani mpaka ukajiuliza ametumwa au nini?!!!!
at least nimetoa dukuduku langu!make anaimpact kubwa kwenye jamii anayoongea lazima yawe na mashiko,si hami sitesheni.
Kama kitabu haukielewi basi jua haukuandikiwa wewe!!! Tafakali ndugu watu wanamuelewa sana huyo jamaa Zembwela au Hilary Daudi Mtuta
wewe unataka kila kitu kifanywe na maprofesa?
Kwa sababu ya bangi...ni mtumiaji mzuri tu wa hiyo kitu, alitaka kujaribu unga wakamwambia atakuwa bwabwa akaacha