maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu.
Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk) tunamsifia dunia nzima.
Tech ya magari ni ile ile
Electromagnetic inayotukomboa ni ile ile
Electronics ni ile ile
Yaaani sisi ni mbumbumbu bado
Tumejaribu kusend radio waves kwenye sayari za mbali sana ili kama kuna viumbe vitujibu vimekausha kimya miaka na miaka NASA wanahangaika kuestablish mawasiliano no one respond maana bado tupo primitive mno akili ndogo sana they dont bother, wanaanzia wapi kuwasiliana na viumbe wajinga?
Leo nilikua nasoma mada humu JF kuhusu stealth bomber. Tech tunayotumia ni ya zamani mno yaani tunadivert radar waves zisirudi kwenye radar ndo tunajisifu eti ndege haziwi detected, upuuzi wa mwisho
Leo magari yanatumia umeme tunajisifu? Really? Umeme upo miaka kibao hatukua na wazo la kutengeneza umeme kutoka kwenye rotations za tyre mpaka leo? Majinga fc!
Leo marubani wetu wanakutana na vyombo vyenye perfomance ya ajabu kabisa angani wanakua confused. How can that be? wanashangaa, hawajui kuwa sisi ni takataka?
Wanashangaa chombo kinakata 90 degrees corner, kinasimama, kinapanda vertical,kinawapisha horizontal na kinapotea kwa kasi ya speed 5000 hadi 8000 in 4 seconds, wanaona uchawi? Na tulivyo wajinga wakiriport wanaambiwa wakae kimya mazuzu sisi.
Leo tunasema bianadamu ana maendeleo wakati vyuo vyetu vinafundisha ujinga ule ule? Maengineer wamefeli kabisa (nikiri mm ni engineer) wabunifu wa vitu vikubwa hamna, tumebaki mazwazwa!
Leo tunachemsha maji kwa kutumia atomic fussion, yaani mvuke unatoa umeme sa ndo nn? very common? tunaisifia hyperloop nn kigeni pale? Eti driveless car, jamani kwann hatufikirii?
Bado tunatumia radio waves, bluetooth na infrared kwenye mobile phones for years kipya nini?
Bana eeh tusidanganyane sisi bado, kasi yetu ipo very limited na akili yetu ni ndogo mno, mno. Tunajisifu ujinga ndio maana tupo wenyewe tu na msaada wetu lazima tuombe nje ya dunia na unakuja kama muujiza maana ni nje ya akili yetu.
Nakaribisha maswali ya watu wenye Akili tu.
MP...Legend JF...5th july 2021