Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

nikuulize tu tokea umezaliwa umeona evolution ya kitu gani ikakushangaza angalau mm nimeona player,cassete,disc na flash....ww umeona nn? na bado flash ipo sasa for more than ten years na hakuna kilichogunduliwa tena
usikazane kuuliza maswali, wewe jisemee binafsi kwamba una akili ndogo, usianze kutulazimisha tufanane akili na ya kwako na hatutaki.
 
Ushawahi kujiuliza kwa nini wanaoreport haya mambo mara nyingi ni marubani wa jeshi la US si Japan, siyo Korea, siyo Ufaransa wala siyo China?
brother hiyo maneno ni kila mahali belgium ndo usiseme..hadi iran google that ila turudi kwenye mada akili yako ina kiwango gani
 
usikazane kuuliza maswali, wewe jisemee binafsi kwamba una akili ndogo, usianze kutulazimisha tufanane akili na ya kwako na hatutaki.
tena wewe ndio plan Z umekwama kabisa...inawezekana hata hii mada hujaielewa unanifuja tu akili
 
Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia...speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu.

Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk) tunamsifia dunia nzima.

Tech ya magari ni ile ile
Electromagnetic inayotukomboa ni ile ile
Electronics ni ile ile
Yaaani sisi ni mbumbumbu bado

Tumejaribu kusend radio waves kwenye sayari za mbali sana ili kama kuna viumbe vitujibu vimekausha kimya miaka na miaka NASA wanahangaika kuestablish mawasiliano no one respond maana bado tupo primitive mno akili ndogo sana they dont bother, wanaanzia wapi kuwasiliana na viumbe wajinga?

Leo nilikua nasoma mada humu JF kuhusu stealth bomber..tech tunayotumia ni ya zamani mno yaani tunadivert radar waves zisirudi kwenye radar ndo tunajisifu eti ndege haziwi detected...upuuzi wa mwisho

Leo magari yanatumia umeme tunajisifu? really? umeme upo miaka kibao hatukua na wazo la kutengeneza umeme kutoka kwenye rotations za tyre mpaka leo? majinga fc!

Leo marubani wetu wanakutana na vyombo vyenye perfomance ya ajabu kabisa angani wanakua confused..how can that be? wanashangaa...hawajui kuwa sisi ni takataka?

Wanashangaa chombo kinakata 90 degrees corner,kinasimama, kinapanda vertical,kinawapisha horizontal na kinapotea kwa kasi ya speed 5000 hadi 8000 in 4 seconds ...wanaona uchawi? na tulivyo wajinga wakiriport wanaambiwa wakae kimya....mazuzu sisi....!

Leo tunasema bianadamu ana maendeleo wakati vyuo vyetu vinafundisha ujinga ule ule? maengineer wamefeli kabisa....(nikiri mm ni engineer) wabunifu wa vitu vikubwa hamna..tumebaki mazwazwa..!

Leo tunachemsha maji kwa kutumia atomic fussion,yaani mvuke unatoa umeme sa ndo nn? very common? tunaisifia hyperloop nn kigeni pale? eti driveless car...jamani kwann hatufikirii?

Bado tunatumia radio waves,bluetooth na infrared kwenye mobile phones for years kipya nini?

Bana eeh tusidanganyane sisi bado...kasi yetu ipo very limited na akili yetu ni ndogo mno...mno..tunajisifu ujinga ndio maana tupo wenyewe tu na msaada wetu lazima tuombe nje ya dunia...na unakuja kama muujiza maana ni nje ya akili yetu...

Nakaribisha maswali ya watu wenye Akili tu.

MP...Legend JF...5th july 2021
Wengi hawatakuelewa. Mwanadamu wa dunia hii hajitambui bali kiburi na ujinga ndo vimemtawala. Kufikiri kuwa yeye ni kiumbe mwenye ufahamu wa juu kuliko kiumbe chochote ndo vimetawala fikra zake. Pasipo kujua kuwa wapo viumbe katika sayahi hii na sayari zingine wenye uwezo na upeo zaidi ya "Spider man".

Ni sawa na sisimizi,ambao katika jamii yao hujiona wao ndo viumbe wenye akili nyingi kuliko kiumbe chochote bila kujua kuwa kuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutengeneza mitambo mikubwa na "Spacecraft" zenye uwezo wa kwenda mwezini,Mars na hadi nje ya Solar system.

Wapo viumbe wenye uwezo mkubwa mno kuliko mwanadamu,kiasi kwamba hata wakituangalia wanacheka na kutudharau km ambavyo tunavyowacheka sisimizi.
 
usikazane kuuliza maswali, wewe jisemee binafsi kwamba una akili ndogo, usianze kutulazimisha tufanane akili na ya kwako na hatutaki.
We kubali bro! Tumeshindwa hata kuwakabiri virus ambavyo havina utashi, tumeshindwa kugundua namna ya kuzuia centrioles na spindles kwenye animal cell ziwe jinsi tutakavyo ili kukikwepe kifo! Kwa sasa hatuwezi hata kufanya mummification kama wale wamisri wa kale! Sisi tupo tupo tu sasa
 
Mimi nachoshangaa ni matangazo ya radio kali ya kisasa pale gari jipya linapotangazwa mfano 2020 Range Rover Velar, labda unakuta wanasema lina radio ya screen ya inchi 10. Sasa huwa nashangaa kama tablet zipo na zinauzwa chini ya Tshs. milioni 1, hivi kweli gari la Tshs. milioni 250 kuwa na redio ya Tshs. Milioni 1 ni kitu cha kusifia?

Au teknolojia ya redio katika gari ni ngumu sana, yaani kuweka radio ni kitu kigumu sana? Unaambiwa kila seat kutakuwa na TV yake, je hivi ndio vinafanya gari lionekane la kisasa kweli karne hii?
Subiri wakuda waje wakwambie hio radio ya ndio state of art.
 
We kubali bro! Tumeshindwa hata kuwakabiri virus ambavyo havina utashi, tumeshindwa kugundua namna ya kuzuia centrioles na spindles kwenye animal cell ziwe jinsi tutakavyo ili kukikwepe kifo! Kwa sasa hatuwezi hata kufanya mummification kama wale wamisri wa kale! Sisi tupo tupo tu sasa
Halafu mkuu inaonekana kama tunavyozidi kwenda mbele ndo tunakua wajinga zaidi...heb angalia hiyo ishu ya mummifications?
 
Wengi hawatakuelewa. Lakini ekweli ni kwamba, mwanadamu wa dunia hii hajitambui kiburi,ujinga na kujidanganya mwenyewe kuwa yeye ni kiumbe mwenye ufahamu wa juu kuliko viumbe wowote ndo vimetawala fikra zake. Bila kujua kuwa wapo viumbe katika sayahi hii na sayari zingine wenye uwezo na upeo zaidi ya "Spider man"

Ni sawa na sisimizi katika jamii yao hujiona wao ndo viumbe wenye akili nyingi kuliko viumbe wote,bila kujua kuwa kuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutengeneza mitambo mikubwa na "Spacecraft" zenye uwezo wa kwenda mwezini,Mars na hadi nje ya Solar system.

Ukweli ni kwamba wapo viumbe wenye uwezo mkubwa mno kuliko mwanadamu wa dunia hii,kiasi kwamba hata wakituangalia wanacheka na kutudharau km ambavyo tunavyowacheka sisimizi.
kabisa mkuu
 
Kwamba sisimizi nao wanajiona wana upeo mkubwa kuliko kiumbe yoyote? Ila kama kuna viumbe wengine huko ambao wapo more intelligent watakuwa wanatushangaa sana, yaani kauvumbuzi kadogo tu utasikia kelele nyingiiii.......ibilisi katubana sana kwenye ufahamu, Mwenyezi Mungu hakutuumba tuwe wajinga namna hii. Imagine kama intelligence yetu isingekuwa imebanwa mahali, ile content ambayo ipo kwenye elimu ya kufikia ngazi ya PhD, badala ya kutumia miaka 18 kuielewa tungetumia mwezi mmoja pekee!
 
MwenyeziMungu alitupa page moja ya kitabu ndo hii tunaishi nayo mpk leo na ndo una Siri zote za maarifa..kitabu bado amekaa nacho huku ulimwenguni mtawala shetani anajitahid tu kuwatumia majin wake kufanya maajabu ila wako slow kweli km ulivyosema Kaka..
🤣 🤣 🤣 🤣 I see.
 
Binadamu mnapenda kujisifu...sa hv mnasema mnaweza kutengeneza chanjo ya corona kweli? hiyo base ya panadol tu ketamine na wenzie mnaagiza india ndo mtengeneze chanjo? wehu nyie hao wanaowauzia chanjo wenyewe hawajui hata wametengeneza nn...na wanakufa kama kuku shida upeo wenu ni mdogo...pamoja na upeo wangu pia...binadamu sisi wote ni wajinga
Mkuu huoni kwamba kuna vitu vinafanyika makusudi? vipo jinsi vilivyo kwasababu fulani fulani na si kwasababu hawawezi kugundua kingine??

Sijui kitu nafikiria tu!
 
akili ndogo kama yako ndio inafikiria modification...mi naongelea invention brother...kama huku africa ndo kabisa mtu anazaliwa hadi kufa hajagundua chochote hata style ya kula mbususu
Acha bangi wewe....
Fanya makubwa tuone hiyo akili yako kubwa...vinginevyo utakuwa una mental illness.
 
kwanza usilaumu watu,jiulize ww umegundua nn,usitumie mda wako kulaumu watu,technology iko mbali sana,ni ww tu hutaki kuelewa ivyo,
if u cant compete with technology bac ni bora ufanye ishu nyingine,inovation ni long process ina itaji dedication ya mda na resources,
just relax and observe wanaofanya innovation hawana mda wa ku complain kama ww.
 
Screenshot_20210706-114554.png

Ujinga mwingine huo kwenye teknolojia
 
Binadamu mnapenda kujisifu...sa hv mnasema mnaweza kutengeneza chanjo ya corona kweli? hiyo base ya panadol tu ketamine na wenzie mnaagiza india ndo mtengeneze chanjo? wehu nyie hao wanaowauzia chanjo wenyewe hawajui hata wametengeneza nn...na wanakufa kama kuku shida upeo wenu ni mdogo...pamoja na upeo wangu pia...binadamu sisi wote ni wajinga
Ninakuelewa sana.
Kwenye upande wa tiba binadamu amefeli sana(labda iwe ni ujanja wa kibiashara), aids imeitesa dunia kwa karibu miaka 40 sasa bila kupatikana dawa.
Hii ni aibu kwa binadamu.
 
Halafu mkuu inaonekana kama tunavyozidi kwenda mbele ndo tunakua wajinga zaidi...heb angalia hiyo ishu ya mummifications?
Kwa sasa magenius so wengi kama zamani! Magenius kwa sasa badala ya kupambana kuzikabili changamoto za ulimwengu wanakimbilia tamaa ya pesa! Wanatumia muda mwingi kujifunza IT ili waweze kupata soft money kwa kuhack!
Kwa sasa watu wanaodevote time yao kuisaidia dunia kwa maslahi kidogo kama Nikola Tesla au Newton wameisha kila mtu anaiwazia pesa siyo kuusaidia ulimwengu na walimwengu wake
 
Back
Top Bottom