Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu tukubali intelligence yetu imedumaa kwa kumtumikia ibilisi, kama tuliumbwa kwa mfano wa Mungu ina maana tunao uwezo wa ki Mungu ndani yetu. Kwa akili alizokuwa nazo binadamu alikuwa na uwezo wa kutatua changamoto yoyote ndani ya sekunde na ku predict changamoto za mbele na kuzitatua kabla hata hazijatokea.......leo hii magonjwa kama HIV yanakaa zaidi ya miaka 20 bila suluhu yoyote, kwenye korona ni kubahatisha bahatisha tu.......tumrudie Muumba tusijifanye wajanja.Time is relative not absolute..(Both literally and metaphorically speaking)
Siku moja kwako isiyo na maana kwako Kuna nzi amezaliwa kabalehe kaoa mpaka kafa.
Na wewe Toka uzaliwe mpaka Sasa una mvi Kuna nyangumi bado yupo tumboni Kwa mama ake hajazaliwa.
Kwahyo miaka iliyotumika kutoka iPhone 4 mpaka 12 unaona binadamu tupo slow Sana.
Hata aliens waliotumia mwezi kufanya hivo unaweza kuwaita slow kwasababu wameshindwa kutumia wiki Tu.
Na waliotumia wiki bado Ni slow kwasababu wameshindwa ndani ya masaa.
Kwahyo unaposema binadamu ni wajinga kwasababu WaPo slow inabidi useme ukilingamisha Na Nani.
Again. Time is relative.
Umeanza hadith Za ngano sasaBinadamu tukubali intelligence yetu imedumaa kwa kumtumikia ibilisi, kama tuliumbwa kwa mfano wa Mungu ina maana tunao uwezo wa ki Mungu ndani yetu. Kwa akili alizokuwa nazo binadamu alikuwa na uwezo wa kutatua changamoto yoyote ndani ya sekunde na ku predict changamoto za mbele na kuzitatua kabla hata hazijatokea.......leo hii magonjwa kama HIV yanakaa zaidi ya miaka 20 bila suluhu yoyote, kwenye korona ni kubahatisha bahatisha tu.......tumrudie Muumba tusijifanye wajanja.
Ndungu yangu kuna MUNGU aliyeumba mbingu na nchi na ndiye anatawala vyote na hata akili zetu anazitawala. Maarifa yote anayo yeye na ni kweli sisi tuko very limited kwa mambo mengi sana. Nikifikiria tu magonjwa kama ukimwi, cancer na mengineo tunashindwa kugundua kweli madawa. Tunarudi palepale kwamba kuna aliyejuu na hatuwezi kumtoroka na siku akisema leo ndiyo mwisho wako huna la kufanya.Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu.
Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk) tunamsifia dunia nzima.
Tech ya magari ni ile ile
Electromagnetic inayotukomboa ni ile ile
Electronics ni ile ile
Yaaani sisi ni mbumbumbu bado
Tumejaribu kusend radio waves kwenye sayari za mbali sana ili kama kuna viumbe vitujibu vimekausha kimya miaka na miaka NASA wanahangaika kuestablish mawasiliano no one respond maana bado tupo primitive mno akili ndogo sana they dont bother, wanaanzia wapi kuwasiliana na viumbe wajinga?
Leo nilikua nasoma mada humu JF kuhusu stealth bomber. Tech tunayotumia ni ya zamani mno yaani tunadivert radar waves zisirudi kwenye radar ndo tunajisifu eti ndege haziwi detected, upuuzi wa mwisho
Leo magari yanatumia umeme tunajisifu? Really? Umeme upo miaka kibao hatukua na wazo la kutengeneza umeme kutoka kwenye rotations za tyre mpaka leo? Majinga fc!
Leo marubani wetu wanakutana na vyombo vyenye perfomance ya ajabu kabisa angani wanakua confused. How can that be? wanashangaa, hawajui kuwa sisi ni takataka?
Wanashangaa chombo kinakata 90 degrees corner, kinasimama, kinapanda vertical,kinawapisha horizontal na kinapotea kwa kasi ya speed 5000 hadi 8000 in 4 seconds, wanaona uchawi? Na tulivyo wajinga wakiriport wanaambiwa wakae kimya mazuzu sisi.
Leo tunasema bianadamu ana maendeleo wakati vyuo vyetu vinafundisha ujinga ule ule? Maengineer wamefeli kabisa (nikiri mm ni engineer) wabunifu wa vitu vikubwa hamna, tumebaki mazwazwa!
Leo tunachemsha maji kwa kutumia atomic fussion, yaani mvuke unatoa umeme sa ndo nn? very common? tunaisifia hyperloop nn kigeni pale? Eti driveless car, jamani kwann hatufikirii?
Bado tunatumia radio waves, bluetooth na infrared kwenye mobile phones for years kipya nini?
Bana eeh tusidanganyane sisi bado, kasi yetu ipo very limited na akili yetu ni ndogo mno, mno. Tunajisifu ujinga ndio maana tupo wenyewe tu na msaada wetu lazima tuombe nje ya dunia na unakuja kama muujiza maana ni nje ya akili yetu.
Nakaribisha maswali ya watu wenye Akili tu.
MP...Legend JF...5th july 2021
Sababu havikuwepo kabla kwenye magari mengineMimi nachoshangaa ni matangazo ya radio kali ya kisasa pale gari jipya linapotangazwa mfano 2020 Range Rover Velar, labda unakuta wanasema lina radio ya screen ya inchi 10. Sasa huwa nashangaa kama tablet zipo na zinauzwa chini ya Tshs. milioni 1, hivi kweli gari la Tshs. milioni 250 kuwa na redio ya Tshs. Milioni 1 ni kitu cha kusifia?
Au teknolojia ya redio katika gari ni ngumu sana, yaani kuweka radio ni kitu kigumu sana? Unaambiwa kila seat kutakuwa na TV yake, je hivi ndio vinafanya gari lionekane la kisasa kweli karne hii?
ndo ujishughulishe ili ugundue, na ulete mawazo ya kujenga mfano; ukiunga kile na hiki unapata injini ya ndege, ukichanganya hiki na kile unajikuta uko sayari ya mars, ili yashughulikiwe na kuendelezwa, sio kulalamika tuuu for nothing.Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu.
Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk) tunamsifia dunia nzima.
Tech ya magari ni ile ile
Electromagnetic inayotukomboa ni ile ile
Electronics ni ile ile
Yaaani sisi ni mbumbumbu bado
Tumejaribu kusend radio waves kwenye sayari za mbali sana ili kama kuna viumbe vitujibu vimekausha kimya miaka na miaka NASA wanahangaika kuestablish mawasiliano no one respond maana bado tupo primitive mno akili ndogo sana they dont bother, wanaanzia wapi kuwasiliana na viumbe wajinga?
Leo nilikua nasoma mada humu JF kuhusu stealth bomber. Tech tunayotumia ni ya zamani mno yaani tunadivert radar waves zisirudi kwenye radar ndo tunajisifu eti ndege haziwi detected, upuuzi wa mwisho
Leo magari yanatumia umeme tunajisifu? Really? Umeme upo miaka kibao hatukua na wazo la kutengeneza umeme kutoka kwenye rotations za tyre mpaka leo? Majinga fc!
Leo marubani wetu wanakutana na vyombo vyenye perfomance ya ajabu kabisa angani wanakua confused. How can that be? wanashangaa, hawajui kuwa sisi ni takataka?
Wanashangaa chombo kinakata 90 degrees corner, kinasimama, kinapanda vertical,kinawapisha horizontal na kinapotea kwa kasi ya speed 5000 hadi 8000 in 4 seconds, wanaona uchawi? Na tulivyo wajinga wakiriport wanaambiwa wakae kimya mazuzu sisi.
Leo tunasema bianadamu ana maendeleo wakati vyuo vyetu vinafundisha ujinga ule ule? Maengineer wamefeli kabisa (nikiri mm ni engineer) wabunifu wa vitu vikubwa hamna, tumebaki mazwazwa!
Leo tunachemsha maji kwa kutumia atomic fussion, yaani mvuke unatoa umeme sa ndo nn? very common? tunaisifia hyperloop nn kigeni pale? Eti driveless car, jamani kwann hatufikirii?
Bado tunatumia radio waves, bluetooth na infrared kwenye mobile phones for years kipya nini?
Bana eeh tusidanganyane sisi bado, kasi yetu ipo very limited na akili yetu ni ndogo mno, mno. Tunajisifu ujinga ndio maana tupo wenyewe tu na msaada wetu lazima tuombe nje ya dunia na unakuja kama muujiza maana ni nje ya akili yetu.
Nakaribisha maswali ya watu wenye Akili tu.
MP...Legend JF...5th july 2021
Thanks bro, nilikua karibu ku comment ulichosemaUnasema teknolojia yetu ni ndogo, je, ni ndogo kujilinganisha na viumbe vipi?
Ni viumbe gani waliowazidi wanadamu kwa teknolojia? Ng'ombe, mbuzi, kuku, vipepeo, kambale au viumbe gani waliotuzidi?
We unajua kirefu cha hiyo z? Au unafikiri ni herufi tu.tena wewe ndio plan Z umekwama kabisa...inawezekana hata hii mada hujaielewa unanifuja tu akili
Hapana, mimi siwezi kukubali najijua.We kubali bro! Tumeshindwa hata kuwakabiri virus ambavyo havina utashi, tumeshindwa kugundua namna ya kuzuia centrioles na spindles kwenye animal cell ziwe jinsi tutakavyo ili kukikwepe kifo! Kwa sasa hatuwezi hata kufanya mummification kama wale wamisri wa kale! Sisi tupo tupo tu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]me siwezi kucheka, kwahiyo Vivo wameleta ujinga mwingine tena according to maisha popote
Kwa mujibu wa maisha popote jamaa wa Vivo hawajitambui, 🙄🙄🙄[emoji23][emoji23][emoji23]me siwezi kucheka, kwahiyo Vivo wameleta ujinga mwingine tena according to maisha popote
Bado za mtama...Umeanza hadith Za ngano sasa
kwa muktadha huo bado hawako mbali...tech ya drones inaweza kuwa aplicable kila mahaliKwa mujibu wa maisha popote jamaa wa Vivo hawajitambui, 🙄🙄🙄
Ndo maana anaitwa maishapopote, anashindwa kutambua kupanga ni kuchaguaKwa mujibu wa maisha popote jamaa wa Vivo hawajitambui, [emoji849][emoji849][emoji849]
Tatizo kazi tuliyopewa na Mungu pia hatufanyi, Kushukuru, Kuabudu na Kutukuza ni kazi kubwa tuliyopewa wakati wa uvumbuzi Sasa wengi tunawasifu waliovumbua badala ya Mungu na wakati mwingine tunaomba tu bila Kushukuru tulivyopewa mfano mtu Kesha pata chakula badala ya Kushukuru anaanza kuomba tena hata kwenye tekinolojia hivyo hivyo badala ya kutumia na kushukuru Mungu mtu anaanza kuomba tena alichonacho.Binadamu tukubali intelligence yetu imedumaa kwa kumtumikia ibilisi, kama tuliumbwa kwa mfano wa Mungu ina maana tunao uwezo wa ki Mungu ndani yetu. Kwa akili alizokuwa nazo binadamu alikuwa na uwezo wa kutatua changamoto yoyote ndani ya sekunde na ku predict changamoto za mbele na kuzitatua kabla hata hazijatokea.......leo hii magonjwa kama HIV yanakaa zaidi ya miaka 20 bila suluhu yoyote, kwenye korona ni kubahatisha bahatisha tu.......tumrudie Muumba tusijifanye wajanja.
Basi ndo mje na solution au ndo akili zimeishia kutambua kama tupo nyuma na zimeshindwa kupata solutionHaaahaaaaaaa! Kuna watu Huwa nawaambia Dunia ni Kama Dome no escape anywhere, hii dunia ni kama jela binadamu Bado tupo kifungoni yaani imagine ikitokea siku magimba makubwa angani yakawa yanakuja ku hit Dunia human civilization ndio itakua mwisho wetu sababu hatuna sehemu mbadala wa kwenda.
Tutakufa wote na ndio Hadith yetu itaishia hapo.
Ulisemalo mkuu ni kweli ukiangalia Kwa jicho la tatu Bado tupo primitive tu!
Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu.