Thanks bro, nilikua karibu ku comment ulichosema
Hoja yake nzima ina fail hapo, Kasi ya teknolojia ya binadamu ni ndogo ulikilinganisha na nini?
Hakuna comparison yoyote,
Huwezi kulinganisha na kasi ya 👽 alien, hatuna ushahidi kuhusu Alien wala Technologies zao
Pia major changes kwenye teknolojia zina tegemea kwa kiasi kikubwa Break through discoveries vitu ambavyo ni rare sana kwenye science
Once in a generation brains kama kina Newton, Einstein, Darwin, Hawking ni wachache sana
Pia hata kwa hizi vumbuzi zinazoendelea kiasi kikubwa cha akili kimetumika,kipe credit
Appreciate brains nyuma yake sio una take for granted tu
Tuna depend kwenye brains za wachache sana