Uwiano ya bajeti 2024 kwa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Tanzania Bara siyo sawa. Zanzibar imependelewa zaidi mara 12. Ona hapa

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1

Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1.
Ukiangalia mlinganyo huo, uwiano wa idadi ya watu kwa bajeti Zanzibar na Bara ni 120: 10 ambayo ni sawa na 12: 1.

Kwa tafsiri yangu ni kuwa gharama ya kuhudumia watu 12 Bara, kule Zanzibar inahudumia mtu 1. Kwa maana nyingine kiasi cha fedha za kutibu watu 12 Bara, kule Zanzibar kiasi hicho hicho kinatumika kutibu mtu 1.

Hii imekaaje kimaendeleo ? Naomba maoni na niko tayari kusahihishwa.

Je, ile maana ya kuwa hizi ni nchi mbili tofauti ndiyo hiyo?

PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
 
Lakini kumbuka Zanzibar imetupatia rais. Kwa hiyo kuna fevaz fulani fulani kama ilivyo Butiama, Sumbawanga, Msoga na Chato. Mwinyi sijui alikuwa wa barani au hukohuko baharini.

Just saying. Mjumbe hauawi.

Kwa mujibu wa mbunge Lusinde, mtoto wako anakula chungwa moja na nusu, ilhali wa kambo anapata tu hiyo nusu nyingine.

Aplikesheni yake ndiyo hii sasa.
 
Lakini kumbuka Zanzibar imetupatia rais. Kwa hiyo kuna fevaz fulani fulani.

Just saying. Ujumbe hauawi.

Kwa mujibu wa mbunge Lusinde, mtoto wako anakula chungwa moja na nusu, ilhali wa kambo anapata tu hiyo nusu nyingine.

Aplikesheni yake ndiyo hii sasa.
Imetupatia au amejichomeka
 
As of June 2023, the population of Zanzibar was 1,889,773, which is a five-fold increase from 1967, when the population was 354,815. Projections for 2025 estimate the population will be close to 1.9 million.
 
Bajeti Tz Bara ni takriban trilioni 50 . Bajeti ya Tz Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1

Ukija kwenye idadi ya watu Tz Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1.
Ukiangalia mlinganyo huo, uwiano wa idadi ya watu kwa bajeti Zanzibar na Bara ni 120: 10 ambayo ni sawa na 12: 1.
Kwa tafsiri yangu ni kuwa gharama ya kuhudumia watu 12 Bara, kule Zanzibar inahudumia mtu 1. Kwa maana nyingine kiasi cha fedha za kutibu watu 12 Bara, kule Zanzibar kiasi hicho hicho kinatumika kutibu mtu 1.
Hii imekaaje kimaendeleo ? Naomba maoni na niko tayari kusahihishwa.
Je, ile maana ya kuwa hizi ni nchi mbili tofauti ndiyo hiyo?.
Kuna mtu amewakataza watu wa Bara kuongeza uzalishaji na kulipa.kodi? Nyie si hamtaki kulipa Kodi mnadai zinaibiwa?

Toka nimekuwa mtu mzima,nachokiona huku Bara Huwa ni watu walalamishi,wakulaumu,Wavivu na wajinga wa kufikiri.

Endeleeni hivyo hivyo au laa Punguzeni kuzaa
 
As of June 2023, the population of Zanzibar was 1,889,773, which is a five-fold increase from 1967, when the population was 354,815. Projections for 2025 estimate the population will be close to 1.9 million.
Half came from mainland
 
Kuna mtu amewakataza watu wa Bara kuongeza uzalishaji na kulipa.kodi? Nyie si hamtaki kulipa Kodi mnadai zinaibiwa?

Toka nimekuwa mtu mzima,nachokiona huku Bara Huwa ni watu walalamishi,wakulaumu,Wavivu na wajinga wa kufikiri.

Endeleeni hivyo hivyo au laa Punguzeni kuzaa
Hoja yako haina mashiko. Nikifuatlia hata tuu matokeo ya mitihani ya kidato cha nne kati ya Bara na Visiwani,sijaona huo ujinga wa kufikiri unaosema uko Bara.
Ni vyema mtueleze, kilichopandisha uchumi wenu kwa miaka hii mitatu ni nini?
 
Huoni unachoandika hapa? 😂😂

Sasa Bajeti ya Zanzibar inahusikaje na huku Bara?

Ndio manaa nasema nyie ni wajinga sana ,Huwa mnatafuta kusukumia ujinga wenu Kwa wasiohisika.
 
Back
Top Bottom