Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1
Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1.
Ukiangalia mlinganyo huo, uwiano wa idadi ya watu kwa bajeti Zanzibar na Bara ni 120: 10 ambayo ni sawa na 12: 1.
Kwa tafsiri yangu ni kuwa gharama ya kuhudumia watu 12 Bara, kule Zanzibar inahudumia mtu 1. Kwa maana nyingine kiasi cha fedha za kutibu watu 12 Bara, kule Zanzibar kiasi hicho hicho kinatumika kutibu mtu 1.
Hii imekaaje kimaendeleo ? Naomba maoni na niko tayari kusahihishwa.
Je, ile maana ya kuwa hizi ni nchi mbili tofauti ndiyo hiyo?
PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025