Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
jamani ungemficha mpaka lini kuwa una watoto? mvumilie km akupenda kweli hasira zkipungua mtaongea yataisha!jaribu kuwa mpole!af kama unasiri nyingine jisalimishe mapemaaa kabla hujakatwa naniliu,unacheza na wachagaeee,pole